Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,681
- 140,332
Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo
Msigwa anatukana watu huku amefunga comments
Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha, Jamiiforums moto umewaka.
Unajua hawa viongozi wanatudharau sana. Serikali imeungana na Bunge kutupuuza.
Wanachostahili ni kiburi kama hiki. Tunaungana kuwakataa.