Habarini wana bodi.
Thred hii iende kwa wazazi wote ambao wanajituma kwa mali na hali kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata elimu yenye ubora na viwango kwa kuzingatia mafunzo muda wa ziada/tution.
Kwa muda mrefu nimeshiriki katika kutoa tathmini ya maendeleo ya watoto ya kielimu kama...
Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali"
======
Waziri wa Elimu, Prof...
Mpangilio wa nyimbo katika Album ya msanii ni ubunifu ambao unapaswa kuonekana. Wasanii wengi wanapangilia nyimbo katika Album zao kwa mpangilio maalum; na wanapendelea kuona wasikilizaji wakisikiliza Album katika mpangilio ambao msanii alikusudia.
Adele ametoa Album yake ya “30” ambayo...
MIEZI YETU NDANI YA MWAKA NA MILA ZA WAPAGANI
Naam
Asilimia kubwa ya wengi wetu tunaamini katika Mungu hilo hata mimi nlifundishwa tangu wakati ule nipo madrasa kule jang'ombe zanzibar.
Na kama tujuavyo Historia tangu kipindi cha Eve na Adam mpaka sasa ni vita kati ya shetani na watoto wa...
Instagram inaweka mfumo wa kuhakiki akaunti mpya ambazo zinafunguliwa na akaunti ambazo Algorithm itahisi ni bot au Spam Account. Mfumo mpya utamhitaji mtumiaji mpya kujirekodi video fupi ya Selfie, ambayo inatumwa na kukaguliwa kama anayefungua akaunti ni mtu na sio robot.
Instagram itaanza...
Kila mtaa uwajibike kusimamia upigaji kura na kuhesabu.
Fomu za matokeo zijazwe hapohapo.
Viongozi wadini wawe maafisa wa usimamizi.
Wananchi wawe guru kwenda kituo cha kata kusimamia matokeo toka kwenye vitongoji.
Polisi wasikae vituoni
Mgambo/Sungusungu ndio waangalie usalama vituoni.
Kila...
Ushindi haupatikana bila mikakati thabiti, ukiwa kama mpenzi na shabiki wa soka je unafikiri kocha wetu aanze na mfumo upi?
1. Mfumo wa 5-4 -1 Kujilinda na kupeleka mashambulizi ya kushitukiza kupitia kwa Msuva kutumia zile mbio zake.
2. Mfumo wa 3-5-2 Huu ni kujilinda kama hamna mpira, zile...
FAHAMU SAYARI ZETU 8 ZILIVYOJIUNDA 🤔
Sayari zimeanza kujiunda mara baada tu ya mfumo wetu wa Jua ulivyomaliza kuundika kutokana na mawingu mazito yenye gesi na mavumbi mavumbi yatokayo huko interstellar space
Mawingu mazito yalipasuka kutokana na mvumo au twaweza kusema shockwave iliyotokea...
Hili ni suala la kisera linalohitaji utashi wa kisiasa. Kwa matokeo ya darasa la saba kwa mfano, kinachotakiwa ni alama na grade kwa kila mtoto maana ndicho kigezo kinachotakiwa ili mtoto aweze kuendelea na masomo au la na ndicho kipimo cha ufaulu wa mtoto.
Kuhusu shule kupangwa ipi ya kwanza...
Napendekeza TAMISEMI wangeanzisha mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi yaan kuwe na mfumo ambao unawatambua watumish wote na vituo vyao vya kazi kwa kila idara halafu watumushi waweze kuutumia
Mfano:mfumo unakuwa na transfer request hivyo mtumishi anaye taka kuhama ana request wilaya au kata...
NA PILI MWINYI
Kwa miongo kadhaa sasa ushirikiano kati ya China na Afrika umeshuhudiwa ukileta mabadiliko makubwa kwenye miundombinu, elimu, huduma za afya na hata teknolojia ya kisasa. Ushirikiano huu umekwea juu na hata sasa kufika kwenye matumizi ya Mfumo wa Satelaiti ya Uongozaji ya...
Kwa kawaida tulitarajia...
1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo.
2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa.
UHALISIA
1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu ambao haujawahi kuwepo.
2: Wapinzani hawana time nao. Wala hakuna anayejishughulisha nao.
TATIZO NI...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema ipo haja ya kufungua Mjadala wa Elimu, na ndiyo maana Wabunge wamekuwa wakisema washirikishwe.
Akiwa Bungeni Dodoma amemwambia Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako, "Sisi tunataka Elimu ya Tanzania tuitazame. Hayo sijui ipo Wizara gani, sisi...
Facebook itafuta alama za Sura (Faceprint) za Watu zaidi ya Bilioni moja baada ya kutangaza kuwa itaacha kutumia mfumo wake wa utambuzi wa Sura (Facial Recognition).
Kumekuwa na shinikizo la kisiasa na kisheria dhidi ya Mtandao huo wa Kijamii kutokana na wasiwasi unaozunguka matumizi ya...
Hi wakubwa.
moja kwa moja kwenye mada, tumedisign mfumo (it solution) kwenye mnyororo mzima wa thamani kwenye kilimo (agricultural value chain) ambao utarahisisha mahusiano na mawasiliano kwa washikadau (stakeholders) wote ambao wanaingia kwenye sekta hii ya kilimo na ufugaji. washika dau hao...
Usishangae kukutana na mwanafunzi wa elimu ya juu anaeandika na ukashindwa kusoma muandiko wake. Vijana wanafanya kazi za shule kwa kutumia computer, wanatumiana ujumbe kwa simu. Hii imefanya sanaa ya uandishi wa mkono kupotea.
Vitabu siku hizi wanasoma kwenye kindle. Niliongea na binti...
1. Kwa Kufuata Katiba?
2. Kwa Nidhamu na Utu?
3. Kwa Kuwazidishia Madeni IMF na WB?
4. Kwa Kuwadanganya kama Watoto?
5. Kiupole ila Moyoni ukiwa Mnafiki?
6. Kwa Kubambikia Wapinzani Kesi?
7. Kwa Jicho la Huruma la Wine?
Nasubiri majibu nikijiandaa kuwa Rais.
Habari waungwana,
Kuuliza sio ujinga, nilikuwa naomba kujua kuhusu huu mfumo mpya wa Insurance za magari wa kutokuwa na sticker za kubandika kwenye kioo.
Je, inapaswa utembee na cover note kama ithibati kuwa Insurance yako ni hai. Hofu yangu ni hawa ma traffic wetu wanaweza kukamata na...