UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI
Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo.
Kila siku...
Udini ndio unabeba viongozi ambao mpaka sasa unaona wengine wanakaa kimya na wengine upaza sauti.
Kwa mtindo huu kunasiku wananchi watachagua mtu ambaye ni buza maana kila wanaoletwa watawala wamekuwa washenzi.
Nimechungulia kila kibuyu, nimeenda kwa wenzangu wanaojua kuangalia kama mimi, Leo kama unataka ckukuu iwe njema wekea simba tu kwenye betting, kipigo kitakatifu atakula mwafrika kusini.
Iwe mvua iwe Jua ni mauaji tu hapa Zanzibar Leo.Dalili zote za maangamizi zimeonekana yaani ni kama
Hiini kwa wale wote wenye Biashara au kampuni na wanashindwa Kutumia Mfumo wa Nest
Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender
👉 Wasiliana Nasi 0764 148 221
Nachokijua tajiri atabakia kuwa katika standard hiyo hiyo jwa sababu ameshika mfumo wa mzima wa Fedha au biashara.
Kwa sasa vijana wengi tunabet na kuna idadi kubwa imejisajili kwenye mfumo huu kama mawakala na wengine dealer wa Mfumo wa kubet ila Code itabakia ni moja muanzilishi wa mfumo ni...
Nilikuwa kwenye pitapita zangu YouTube nikakutana na video hii
https://www.youtube.com/watch?v=8blC9qfUya8&t=222s
Kwenye hii video utajifunza kuwa taifa le kigeni tena siyo taifa jirani bali taifa ambalo liko mbali kabisa na nchi yetu limeamua kuingilia siasa za ndani ya taifa letu bila aibu...
Katika siasa za Afrika, kuna tofauti kubwa kati ya majeshi ya baadhi ya nchi. Wengine hujiona kama watumishi wa dola, wengine kama watumishi wa watawala, na wachache kama wakombozi wa kweli. Nimekuwa nikifuatilia mifano mbalimbali, na hii ndiyo taswira niliyoona:
1. Madikteta wengi huweka watu...
King cobra (Ophiophagus hannah) ana moja ya mifumo ya sumu ya kuvutia na yenye nguvu katika ulimwengu wa nyoka. Akiwa ndiye nyoka mrefu zaidi mwenye sumu duniani—anayefikia hadi futi 18—anachanganya nguvu, usahihi na utata wa kibaiolojia katika utoaji wake wa sumu.
1. Muundo wa Sumu
King cobra...
Kwenye miaka ya 90s Chama cha Mapinduzi na Serikali kiliridhia kwa utulivu uanzishaji au urejeshaji wa mfumo wa vyama vingi.
Hii ni baada ya mchakato wa kupata maoni ya watanzania japo wengi wao hawakutaka kuwepo kwa mfumo huu wa sasa.
Hivyo wala hatuhitaji ajitokeze mwanasiasa aliyeshiba bia...
💭 Hivi utajisikiaje pale ambapo mpaka ukawa na Neno la Siri ndo utaweza kufungua post za watu kwenye mtandao wa Instagram??
🥂 Instagram Iko kwenye majaribio ya kuweza kuachia mfumo mpya wa watu kuweza kuficha post zao kwa kutumia Neno la Siri.
💭 Mtumiaji atapaswa kufungua post za watu kama...
Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token.
Shirika la umeme Tanzania Tanesco wako kwenye mchakato wa kuleta mfumo wa kisasa wa watu kuweza kununua umeme kama kifurushi bila kuingizia token kwenye Mita namba ya nyumbani kwako.
Watumiaji watakua na...
Eti anakwambia kojolea nje.
bandugu zangu, hiyo si ni sawa na kupiga punyeto tu my friends, ladies and gentlemen?
Hakuna haja ya kukutana basi kama ni hivyo. Kupigishana nyeto haikubaliki nyakati hizi tafadhali.
kama hutaki kwendraa dhako huko 🐒
Mungu ibariki Tanzania
Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi
Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
ajenda
bora
hii
kuelekea 2025
kuwepo
mfumomfumo wa vyama vingi
no reform
no reform no election
no reforms no election
tanzania
tundu lissu
vingi
vyama
vyama vingi
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
Habari naitwa Rashid
kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi.
Namba za Simu 0627225627/ 0745747368
Email...
Habari naitwa Rashid
kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta,
Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi.
Namba za Simu
0627225627/ 0745747368
Email...
Miaka ya nyuma niliwahi kukutana na Naibu Waziri wa Fedha huko Dodoma kwenye kongamano moja la vijana kuhusu masuala ya fedha. Nilipata wasaha wa kuzungumza naye mawili matatu kuhusu mambo ambayo yeye yapo kwenye wizara yake.
Katika jambo ambalo nilipata wasiwasi ni kuhusu mfumo wa kodi, Mfano...
Baada ya kuona CAG alichosema, Tanzania tunapaswa kubadili kabisa mfumo wa utawala wa taifa letu ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kuboresha uwezo wetu wa kufikiri 🧠, kuuliza na kutenda. Mfumo huu mpya unapaswa kupunguza gharama za uendeshaji wa serikali, kuhakikisha usimamizi bora wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.