Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".
TBC ni chombo umma wa watanzania kinachoendeshwa kwa Kodi za watanzania wote. Ninamshukuru waziri mwenye dhamana ya michezo, waziri wa habari na mawasiliano na Mkurugenzi wa TBC kwa kuwafikiria matajiri wao (walipa Kodi) kuwaletea matangazo ya moja kwa moja kutoka Qatar, ahsanteni sana kwa...
Habarini wadau wa soka.
FIFA wangeanza kwa kuondoa hii nafasi ya tatu kwenye mashindano haya ya kombe la dunia then wengine wangefuata.
Sioni maana ya hii nafasi zaidi ya kupoteza muda na kujichosha tu.Labda iwe kwa ajili ya kupata pesa tu.
Dhumuni la timu ni kucheza fainali na...
Sisemi mengi.
Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari?
Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana na...
Muda huu Brazil wamejaa matumaini hewa kwamba wao ni bora. Kiufundi, Korea hawakubana njia, waliacha open spaces kila mahali na walikuwa na mfumo mbovu wa kukaba pale walipopoteza mpira.
Nikiwaangalia Croatia, ninaona Brazil akienda kukutana na mechi ngumu sana japo wakijitahidi watapita...
Habari za mapumziko wana jamvi
Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti la mwananchi silaha zilizoibwa ni mbili na zenye risasi ndani. hatujui zimeenda wapi na zinaenda...
If you want God to change your destiny make sure you live with God, saidia Masikini wenye uhitaji wa kweli ukifanya hivi hautokuwa miongoni mwa masikini Maisha yako yote.
Saidia wazazi wako wakiwa bado hai .
Hakikisha unaitunza Familiya yako vizuri .
Walipe wafanyakazi wako ujira mzuri...
Kwenye demokrasia hakuna kitu cha maana huwa kinafanyika. Mnaishia tu kuwa na viongozi waongeaji sana na waongo waongo.
Wanaotatua matatizo kwa maneno na si matendo. Watu wa zamani waliona kabisa ubaya wa huu mfumo. Leo nchi yetu imejaa wapiga maneno, matapeli na waongo-waongo.
Mtu anaweza...
Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalumu hadi kufikia leo Nov 17, 2022 jioni wawe wamezikabidhi.
Musk amesema "ili kwenda mbele, na kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na...
Ninasoma kila thread ili nijifunze, sio ili nibishane. Kuna watu wanaandika kama comedy, ila thread zao zina mafunzo mengi sana.
Usichukulie poa thread kwa sababu ya title iliyo beba, soma ndani
Nadhani kila mtu anajua kuwa makabulini sio sehemu ya furaha . ni sehemu ambayo tumepumzisha miili ya ndugu zetu, marafiki zetu ,naa wapendwa wetu inawezekana tulikuwa tunatamani sana leo hii tungekuwa nao ila mungu kawapenda zaidi.
Japo kiimani tunaamini bado wapo na sisi ila kimwili hatupo...
Ni akili ya kawaida tu ambayo wala mihogo mibovu kamwe hawawezi kujua, kuwa ni rahisi sana kwa adui yako kukusoma akijua uko naye karibu tena ndani ya eneo lake kuliko ukimshtukiza tu.
Halafu mkiambiwa hamna akili mnakataa na kukasirika. Mlichokifanya kuwahi kuondoka (kusafiri) leo ni kama vile...
MATATIZO YA NCHI HII MENGI YANATOKANA KUTOKUHESHIMU AKILI KUBWA.
Na Thadei Ole Mushi.
Morogoro wametangaza Mgao wa Maji, Dar wameshatoa ratiba ya mgao wa maji, Huko mjini kila mahali Majenereta yananguruma kuashiria kuwa kuna tatizo la Umeme japokuwa waziri January hajatutangazia.
Tuliwapa...
Wana JF kuna mpangaji mwenzangu mumewe alimtelekeza na mtoto wa miaka 7, na mda sana tangu amtelekeze dada huyu amekuwa akipambana mwenyew akiuza genge lake ili kujikimu katika mahitaj yake mbalimbali.sa nmetokea kumtamn sana maan bado n mdogo umri ake hauzid miaka 25.
Huwa anakuja getho kwang...
Mamlaka ya Huduma za Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imetoa agizo la kusitisha biashara ya usambazaji wa maji ya visima katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es salaam ndani ya siku thelathini (30) kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa kwa wahusika.
Agizo...
Habari wana jukwaa.
Leo nataka niseme kitu kidogo sana.
Ushajiuliza kwanini mahusiano mengi yanavunjika, namaanisha mahusianoa ya mwanamke na mwanaume?
Jibu ni rahisi sana, sababu ni kuwa, wengi wa wale wanaoingia kwenywe mahusiano ya kimapenzi lengo kubwa ni kupata furaha kupitia mapenzi...
Inapaswa waswahili mliopandikizwa chuki na waarabu za kuichukia Israel muanze kubadilika maana wenye dini zao huko wanaendelea kushikamana na kuingia makubaliano ya kindugu, mpunguze povu huko kwa Mtongole.
Israel's Security Cabinet on Wednesday voted in favor of the U.S.-brokered maritime...
Tozo pekee sio suluhisho la uchumi wetu .
Rudisha vitambulisho KWA wajasiria mali,vitambulisho viwe na gredi kutokana na mtaji wa muhusika,yaani ;-
Gredi A
Wajasiria mali wenye mitaji ya kuanzia milion 100 na kuendelea hao walipe hata laki tatu KWA mwaka!TRA watamuandalia kanuni mpya ya...
Mahakama imeeleza kuwa uamuzi wa kiasi halisi kinacholipwa lazima ufanywe kwa kuzingatia njia na hali ya maisha ya baba. Mawasilisho na viambatanisho vinadhihirisha kuwa kabla ya kifo cha marehemu alikuwa akitoa kiasi kilichoombwa kutokana na uwezo na hadhi yake. Marehemu alikuwa baba mzazi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.