G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,403
- 5,530
Ukiangalia tu kwa karibu jinsi ambavyo mwendokasi unajengwa na madaraja ya flover
yajayo ikiwamo la kurasini na Vetah pale.
Utagundua aidha mkandarasi amepewa standards za chini tofauti na aliyejenga phase ya kwanza ya Kimara Mwisho hadi posta pamoja na Morroco. Barabara zimeunganishwa na kutenganishwa na mistari badala ya blocks kwa maana kila gari ipite upande wake.
Kutenganisha kuna maana kubwa sana kwa sababu ile huepusha head to head collision, na hatujawahi kusikia ajali ya mwendokasi zimegongana uso kwa uso licha ya kuwa madereva wake wako rough sana ila huishia kugonga boda boda tu ambao wengi hujifyatua akili na kupita bila tahadhari.
Ukija kwenye flyover njia za daraja lenyewe ni finyu gari mbili kuongozana na kuweza overtake juu ya daraja sidhani kama itakuwa raisi ila kijazi na tazara hata scania mbili zinaweza kuongozana zikapanda juu na kupishana. Lami iliowekwa sio laini yani kokoto zimesimama wima. Inshort kuna mambo kadhaa hayako sawa.
Tutegemee ajali za uso kwa uso za magari katika njia hio ya mwendokasi,, tutarajie kusikia kuna mashimo kwenye lami juu ya daraja la flyover na mtu kapigwa pasi. Alamsiki. Tusije tukamtafuta mchawi tu maana anajulikana.