member

A member of parliament (MP) is the representative of the people who live in their constituency. In many countries with bicameral parliaments, this category includes specifically members of the lower house, as upper houses often have a different title. Member of Congress or Deputy is an equivalent term in other jurisdictions. Another term is Parliamentarian.
Members of parliament seem to tend to form parliamentary groups (also called parliamentary parties) with members of the same political party.

View More On Wikipedia.org
  1. FLAVOR

    JamiiForums Tanzania Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Done
  2. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Namtafuta huyu ndugu yangu member wa JF

    Namtafuta ndugu yangu jidu la mabambasi au jidu reli popote ulipo...ukiupata ujumbe huu popote pale nitafute
  3. Poker

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujuzwa hali ya member mwenzetu kama alipona au la!

    Ningependa kujuzwa kwa mwenye taarifa za member mwenzetu mama sabrina atujuze anaendeleaje maana kuna mtu nilimsikia akisema alikuwa akiumwa sana na jino na hali yake ilikuwa mbaya sana mpaka kulazwa ila ghafla naona kimya kimetanda! Kwa mwenye taarifa zake naombeni mtujuze anaendeleaje?
  4. mutu murefu

    JamiiForums Tanzania SoC02 R.I.P ip_mob, JF member aliyebadili maisha yangu

    Habari za leo wakuu. Siku ya leo nimeguswa sana kutambua mchango wa member mwenzetu ip_mob aliyetangulia mbele za haki. Ame play part kubwa sana katika mafanikio yangu, kwa bahati mbaya ametangulia hata kabla hajasuhudia matunda ya mchango wake kwangu. Kama mnakumbuka around mwaka 2018 na 2019...
  5. bahati93

    JamiiForums Tanzania Wasanii wakianzisha mahusiano ya kimapenzi ndani ya kundi kuna hatari ya kundi lao kuvunjika

    Haiwezekani bana yaani tupo group moya, alafu nyinyi mnaenda kulala kitanda kimoja, huu ni usengenyaji wa wazi wazi. Group la kwanza walikuwa Pah One, embu vuta picha jinsi ambavyo wale member wengine walivyokuwa wakijisikia, yaani tupo kufanya kazi alafu nyinyi mnaleta mapenzi! Hili group la...
  6. Sengiyumva 01

    JamiiForums Tanzania New member

    Hello to everyone! Mi ni mgeni hapa jamii forum ivo basi ningependa kupewa maelekezo na member wenzangu ambao wamejiunga JF kabla yangu 👊👊👊
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msiba mkubwa MSD na member wa JF: Erick Betram Mapunda afariki dunia

    Kuna Msiba mkubwa umetokea MSD na mwenzetu alikuwa JF member wa miaka mingi. Poleni sana sana JF , familia na ma rafiki kwa Msiba mkubwa uliopo kwa..
  8. officialmabanda

    JamiiForums Tanzania New member

    Hbr, said abdalah new member wa jamii forums what i need from you is your cooperation 🙏
  9. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Siku nikifa au ukifa nani atawajulisha watu humu JF

    nimewaza na kujiuliza sana.... Nani atatangaza/kujulisha kuhusu kifo CHANGU/CHAKO humu jamvini... Au ndo mtaenda na CODE
  10. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Mshirika mpya

    Salaam.. mnipatie orientation
  11. A

    JamiiForums Tanzania Member mpya naomba mnikaribishe

    Habar wakubwa humu jf naomba mnikaribishe member mpya hapa the War machine
  12. Fundi Mgumu

    JamiiForums Tanzania New member

    Wakulungwa mgeni nahitaji kupata madini ya humu jf ,
  13. M

    JamiiForums Tanzania New member humu..nisome

    Nipokeeni member mpya..lakini ni mtumiaji wa jamii forum tangu 2010
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Team Member - Data Quality Assurance (multiple positions) based in Mwanza at ICAP

    Job no: 496272 Work type: Temporary Full-Time Location: Tanzania – Mwanza Categories: Strategic Information/Surveillance/Monitoring & Evaluation ICAP at Columbia University, a global health leader situated within the Columbia University Mailman School of Public Health in New York City, seeks...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali yule JamiiForums Member maarufu aliyesema mapema kwa Kujiamini kuwa Simba SC anatolewa leo na akatukanwa sana aombwe Radhi upesi

    ID yake nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja hapa au wale wanaoijua wataitaja muda si mrefu kwani ni Maarufu mno. Nakumbuka alianza kwa kusema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kama ilivyo kawaida yake kuwa Yanga SC ndiyo watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League huku akitoa sababu zake za Kiufundi...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Habari

    Hello ,New member here
  17. Priscallia

    JamiiForums Tanzania History is made! Democratic Republic of Congo is now a new member of the East African Community

    EAC Heads of State OFFICIALLY admit the Democratic Republic of the Congo (DRC) into the East African Community. H.E Uhuru Kenyatta,Chair of the Summit of EAC Heads of States announces during the 19th Extra-Ordinary Summit of EAC Heads of State. === Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya...
  18. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Member maarufu

    Kwema wakuu, Kwa wale memba maarufu humu wa mda mrefu mnaoheshimika kwenye michango yenu, Kama huna ufahamu wa jambo fulani usiwe unacomeent negative kwenye mabandiko ya watu, Baadhi ya watu wengine sijui ni uwezo mdogo wao wakiona mtu maarufu kacomment kitu wanamini ni kweli tu nao...
  19. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Leo nimemkumbuka member wa JF Folk (RIP)

    Tukiwa humu tunakorofishana tunatukanana muda mwingine na muda mwingine tunafurahi pamoja, ni kama vile tuko kwenye metaverse. Unaweza pretend you have it all, umefanikiwa, umesoma sana you can be anybody. Lakini ukweli tunaujua sisi wenyewe. Leo nimekutana tena hii thread ya aliyekuwa member...
  20. K

    JamiiForums Tanzania New member

    Hiiiii everyone
Back
Top Bottom