TANZIA Msiba mkubwa MSD na member wa JF: Erick Betram Mapunda afariki dunia

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,818
21,425
Kuna Msiba mkubwa umetokea MSD na mwenzetu alikuwa JF member wa miaka mingi.

Poleni sana sana JF , familia na ma rafiki kwa Msiba mkubwa uliopo kwa..
57E98550-0EE0-4F3D-988A-786E0186B7BB.jpeg
 
Apumzike kwa amani mwamba, bila Shaka pangua pangua ya juzi hapo msd haikumgusa.
 
Dah; poleni ndugu, jamaa, na marafiki. Marehemu apumzike kwa amani.
 
... ili iweje? Itoshe kueleweka alikuwa member wa jf.
Nadhani mtoa mada angeleta taarifa kuwa member wa JF anaetumia ID flani kafariki maana hiyo ndio ingekuwa na maana kwa members wa JF.

Kama ni ID kubwa hiyo ni mbaya zaidi maana mtu unatoa RIP kwa stranger tofauti angejua anazitoa kwa nani kama tu ilivyofanyika kwa warumi maana inaleta mguso anaostahili.

Yote kwa yote sisi sote ni binadamu kwa hiyo apumzike kwa amani
 
Mngetaja na 🆔 yake ingekuwa sahihi zaidi




Anyway apumzike anapostahili
 
Back
Top Bottom