A member of parliament (MP) is the representative of the people who live in their constituency. In many countries with bicameral parliaments, this category includes specifically members of the lower house, as upper houses often have a different title. Member of Congress or Deputy is an equivalent term in other jurisdictions. Another term is Parliamentarian.
Members of parliament seem to tend to form parliamentary groups (also called parliamentary parties) with members of the same political party.
1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar.
2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini.
3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka.
4. Sidhani kama panya wanakatiza karibu yake.
Kuwa off wiki ambazo walevi wenzio ndo wamebananika kazini shida sana.
Ngoja nipoteze muda kuongelea hili swala la raraa reree
Huyu ndugu yetu ana kiwanda cha likes, hebu nipe siri na mm niwe natoa likes hvo, au jamaa ni BOT?
On a serious note jamani kuna yeyote mwenye taarifa zozote za Kuadimika Kwake kusiko kwa Kawaida hapa JamiiForums kwa Member (Mwanachama Mwandamizi) Daudi Mchambuzi?
Ni Mmoja wa Marafiki zangu Wakubwa sana hapa JamiiForums kama walivyo Wengine wengi tu wakiongozwa na adriz, Shunie, Bila bila...
Good night
Kuna baadhi ya member humu mnatukana watu vibaya mno ukija kufwatilia Pole pole unakuta mtu anae kutukana au anae mtukana mwezie ni wakumuonea huruma sana hajui pesa inavyo tafutwa wembe tu wa kunyolea kwapa anaomba kwa mama au anasubiri atumwe dukani abanie chenji ndio asafishe...
Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako.
Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF
Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa...
Habari zenu humu....
Member ninao wakubali sana ambao nyuzi zao zinabamba sana,tena wakicomment kwenye nyuzi za watu lazima ufurahi tuu hawana baya..
1.mshana.
2.mpwayungu.
3.mangi shangali
4.Great of all time
5.umughaka
6.smart 9
7.depan
8.simba buyenze
9.extrovet
10.sakayo...
Watu wa Mungu mpoo?
Mimi ni member wa JF tangu miaka ilopita nimekuja na ID tofauti ili nieleze yaliyonikuta iwe funzo na ushuhuda kwa wengine.
Niliweka post hapa mika ilopita na kwa bahati tu sijui niseme nzuri au mbaya ila Mungu ndio anajua, nikapata mwanaume ambaye tulianza mahusiano...
Salaam wakuu, naamini kila mmoja ana watu ambao wamekuwa wakimpa kampani au kuichangamsha siku yake hapa JF Kiasi cha kutengeneza muunganiko baina yenu, kama team ya mpira au jeshi.
Ambapo wakiwepo mna tengeneza vurugu au furahi day, kwa upande wangu nina team nyingi, ila hi ni imara zaidi...
Namshukuru sana Mungu kwa kunipa neema ya kuongeza mwaka mwingine. Nashukuru leo nimetimiza miaka kadhaa kwa kuingia floor mpya ya majukumu.
Mwaka huu umekuwa wa neema sana kwangu mwenyezi Mungu anazidi kunipigania. Kweli tunazeeka na miaka inaenda sana. Happy birthday to me.
Intelligent...
Hahah kwanza ni kitambo kipindi hiko nina kasimu kadogo kwenye batani na browser ya operamini (itel) huduma ya freebasic ilikuwepo Airtel hivyo JF niliipata bure kabisa. Niliisoma hii story for 3yrs (darasa la 5 mpaka darasa la 7 Nilisoma story nyingi humu za mapenzi pia Facebook nilisoma soma...
Hodi bandugu
Nawasalimu kwa jina la tanzania me mgeni wenu naombeni mnikaribishe ndani ya nyumba yenu Bora kabsa tanzania mzima.
Nyumba yenye wazee wa busara na vijana wengi wa hovyoo, me ni kjana wa faida. Naimani mtanirisha madini nami ntawarisha yangu pia.
Asanteni sana
Update ya Msiba wa Mwana JF Mwenzetu, William Malecela (Le Mutuz).
Kwanza natoa pole sana kwa familia ya Mzee John Malecela kwa msiba mkubwa na mzito wa mtoto wake, William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz, aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Msiba upo nyumbani kwa Baba yake Mzee...
Kila mmoja ana pitia changamoto hapa duniani, iwe changamoto ya kifedha, uchumi,msiba na hata mahusiano.
👉 Ila kumekuwa na tatizo kwa baadhi ya wanna jamii, ambao wamekuwa wakishindwa jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo.
Na hii hupelekea wao kujiona Kama walioshindwa, laaniwa au kutokuwa...
Habari wana JF,
Member mpya nipo Uturuki kwa wale watakao kuwa na shida ya kuniagiza bidhaa karibuni pia tuunganishane me ni mwanafunzi huku na pia mtafutaji kwa wale wanaotaka kusoma na kuuliza kuhusu scholarship tafadhali me ni kijana wenu.
Natanguliza Shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.