Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,107
52,832
Kila mmoja ana pitia changamoto hapa duniani, iwe changamoto ya kifedha, uchumi,msiba na hata mahusiano.

👉 Ila kumekuwa na tatizo kwa baadhi ya wanna jamii, ambao wamekuwa wakishindwa jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo.

Na hii hupelekea wao kujiona Kama walioshindwa, laaniwa au kutokuwa na bahati katika dunia, lakini hi si kweli kwani kila mmoja wetu katika dunia hii amepitia tatizo au majanga fulani. Na baadhi ya walikuwa wavumilivu, wenye imani, basi walivuka hatua hizo ngumu🙏🙏

nichukue fursa hii kumkaribisha Tena ndugu yangu, Kaka yangu na hata mwizi mwenzagu National Anthem, kwa kumpa pole kwa yaliyo mkuta. Nimjuze tu kuwa tuko pamoja nae hasa chama chetu Cha wizi, jf usiku wa manane na hata jamii forum kwa ujumla.

nakukumbusha kuwa majonzi ni sehemu ya mwanadamu, lakini yeye Kama baba anapaswa kukaza Moyo ili aendelee kuiongoza na kupambania familia yake🙏🙏.

👉 Nyakati ngumu hupita, ila watu imara hudumu🙏
👉Imani huamisha milima.
👉I can, I must, I will.

I mean no malice to nobody

FB_IMG_16837949106853555.jpg
FB_IMG_16837949532756840.jpg
FB_IMG_16837949456424427.jpg
 
Mnapata faida gani kuanika maisha yenu mitandaoni humu? Is this real necessary? Do you think people genuinely care?

1. Kapata watoto mapacha (Uzi)
2. Mapacha wamefariki (Uzi)
3. Karibu tena mitandaoni (Uzi)

Seeking attention? From who? Kama kuna mabinti ambao pengine alishawaahidi kuwaoa humu akaishia kuwachezea na kuwaacha unafikiri walifurahi waliposikia kuwa kapata watoto mapacha? Unafikiri machozi yao waliyolia waliposikia kaoa yalikwenda bure?

Mambo mengine mnafanya ni utoto tu wallahi!

Anyway pole sana kwa mfiwa japo nilitegemea pengine achukue angalau kama mwezi hivi ili kuliflect na kumuomba Mungu; na kupata msaada wa kichungaji/kisaikolojia kabla ya kukimbilia kurudi tena kutamba mitandaoni humu hata wiki moja haijaisha.

Anyway, Mungu Ambariki na kuwapoza wafiwa.

Note: Haya ni mawazo yangu tu huru na hayana nia ya kumkwaza mtu wala kudogosha tukio la kusikitisha lililotokea. We all gonna die anyway!
Uhakika kama kids existed? If they passed away?
 
Watu wanapenda sympathy za kijinga sana, Yani kila hatua ya maisha yako Uzi! Nilitaka kusema hili juzi, ila.... Basi tu

Kuna mtu alifiwa na baba yake siku Hio Hio akapost Instagram, yaani Kuna vitu mpaka unashangaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom