media

  1. Psychological Fact: Why are those who spend much of their free time (after work) on social media platforms, less talkative in real life environment?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi. Ndugu zangu...
  2. Kenyan journalists Making it Big in International Media

    From Left: Larry Madowo (BBC World), Edith Kimani (Deutsche Welle) and Sophie Ikenye (BBC). KENYANS.CO.KE Kenyan TV anchors are household names in their own right as the country tunes in to watch them presenting news during prime time hours. Some have gone on to make a mark in international...
  3. H

    Mtangazaji wa Wasafi media azawadiwa gari na uongozi wake

    Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi pale palipokuwa Ni office ya WCB label sinza .Baada ya kuonwa vizuri na...
  4. A

    How to social media -- Part 2

    Hello waungwana, let me tell you bout social media, au vip? Oky I won't wait for your answer 😅. Social media imekuja kuondoa mtu wakatikati. Au ww unaonaje, kwasbabu Sasa hivi mteja na biashara wote wapo Insta, Facebook etc. Wote wanauwezo was kupost, kucoment kushare etc. Kwahio ni kama...
  5. A

    How to Social Media

    Hello good morning peoples. Are you in social media platforms, Showcasing your business? How loud are shouting there? Or you are there just to keep up with the utandawazi thing? You have to shout, Lauder my freind to achieve more. So that you see it's impact to your business. Siri ya...
  6. K

    GE2020 Ombi mahsusi kwa uongozi wa CHADEMA Media juu ya hotuba za Tundu Lissu

    Please uongozi wa CHADEMA Media fanyeni hima hotuba zote za Lissu kila anakofanya mkutano zitengenewe clips za peke yake kuwezesha wadau mbali mbali kuweza kufuatilia kwa mtiririko hotuba hizo. Pia itarahisisha kuzisambaza kwa umma kupitia ma group ya WhatsApp na mitandao mingine! Vipande...
  7. GE2020 CHADEMA, tafuteni television station itakayorusha kampeni zenu mubashara

    Popote mlipo, huu Ni ushauri wangu kwenu, mikutano yenu haiwezi kutegemea matangazo ya gari za matangazo na social media, katika pesa mliyonayo, ongeeni na ITV/ AZAM wawe wanarusha matangazo na ratiba za kampeni zenu. Ikishindikana kwa hizo media, basi boresheni CHADEMA TV iwe active LIVE 24...
  8. J

    On Social Media, Only Some Lies Are Against the Rules

    Your guide to every major social media company's misinformation policies on vital topics from COVID-19 to voting An outrageous conspiracy theory vilifying a political candidate. A meme encouraging shots of bleach to fend off COVID-19. An official-looking post falsely announcing that your...
  9. TCRA, inakuwaje magazeti ya Uhuru na Jamvi la Habari hayajafungiwa kwa kuripoti habari sawa na Clouds Media?

    Hapa kuna tofauti gani au nayo ni sehemu ya kuendeleza udhalimu na kutishia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu kutotangaza habari za upinzani.
  10. Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi. TCRA imesema kosa walilolifanya ni...
  11. K

    GE2020 Vyombo vya Habari vya Tanzania vimeshindwa kuandika na kuripoti pingamizi, badala yake wameripoti matokeo ya pingamizi

    Media zetu zina kazi kubwa sana safari hii, wakati mapingamizi yaliyowekwa na wakasomewa content na context ya hayo mapingamizi walirekodi na wakawa wanafurahi jinsi hoja zilivyopangwa Baada ya kurekodi na kuandika, hakuna chombo chochote kilichoripoti Kama habari kubwa kuwa Lipumba na Mzee...
  12. GE2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

    Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
  13. H

    RDJ Mamie wa E-FM amejiunga rasmi na Wasafi Media

    DJ Maarufu wa E-FM na mwenye manjonjo ya aina yake DJ Mamie, jana ametanganza rasmi amejiunga na Wasafi Media kupitia Instagram yake. Baada ya kupost, hiyo post imepata like nyingi na comment nyingi kuliko post zake zote na kuonesha namna gani mashabiki walivyofurahia kuja kwake Wasafi Media...
  14. A

    GE2020 CHADEMA mjirekebishe kwenye Media Management

    Sasa ndugu zangu wa CHADEMA, kama mnajua fika kwamba serikali kupitia Dr. Abbas na TCRA wanahujumu katika vyombo vya habari kwanini msitumie mbinu mbadala kwenye press conference zenu na pia hata mikutano yenu? Katika presser ya Tundu Lissu leo, chombo kimoja tu - DAR MPYA - ndicho kilikua kina...
  15. S

    Ni kosa kubwa sana kisiasa kwa Wananchi kuona mikutano ya Lissu mitandaoni halafu mikutano hiyo haionekani kwenye Television na Media zingine

    Moja ya mambo yatayoigharimu CCM hii ya Magufuli, ni hiki kitendo cha mikutano ya Lissu inayovuta maelfu ya Wananchi kusambaa mitandaoni huku kwenye mainstream Media kama vile tv na redio mikiutano hii hairipotiwi wakati wananchi wanategemea kuiona ikiripotiwa katika vyombo hivi vya habari...
  16. Belarus television broadcasts empty studio as state media joins general strike

    Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Belarus wameacha majukumu yao na kujiunga na maelfu wa Waandamanaji kutaka Rais wa nchi hiyo, Alexander Lukashenko kujiuzulu Mmoja wa Wafanyakzi hao akihojiwa na Kituo cha Interfax amesema wanaenda na wao kuandamana na takriban wafanyakazi 100 wamekusanyika...
  17. Hadi Kesho nisipoona Clouds Media Group, MCT, TCRA na Serikali ( Wizara ) husika vimemchukulia hatua Kali Mtangazaji Adam Mchomvu nitawadharau mno

    Hatuwezi kumuacha Mpuuzi Mmoja kwasababu tu ya Mibange yake na Malezi yake ya hovyo hovyo atuchafulie Tasnia yetu nzima nchini Tanzania.
  18. R

    Adam Mchomvu aomba radhi, asema alikwazika

    “Dear #WashkajiZangu, kwanza nimuombe radhi Rais wetu wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Pili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuniamini na kunipa nafasi ambayo bahati mbaya ilitokea tukapishana kauli jukwaani na Bwana ndugu Msanii mwenzangu, nimepokea simu mbalimbali za Viongozi wa Serikali...
  19. S

    Baada ya Ofisi za CHADEMA kuchomwa moto, tusubiri kuona kama media za nchi hii zitatangaza tukio hili

    Kwa tukio kama hili,natarajia media za Tanzania ziwe zimeripoti tukio hili kama breaking news, ila mpaka sasa sijui kama kuna media imefanya hivi; hata hivyo, naomba tuendelee kufuatilia coverage ya hili tukio kwa media za hapa nchini. Media za nje bila shaka zitaripoti, ila za hapa ndani...
  20. S

    Katika msimu huu wa uchaguzi mkuu, mitandao ya kijamii itafanya kazi kubwa kuliko traditional media

    Yani lolote litakalofanyika kuzuia hivi vyombo vya habari vya kienyeji kama vile magazeti, TV, radio katika kipind hiki cha uchaguzi ni sawasawa na bure kwani kutokana na mageuzi ya sayansi na tekinolojia zinajulikana kama traditional media haitasaidia. Social media zina nguvu kuliko hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…