media

  1. Diva aomba kurejea Clouds Media, apewa sharti la kwenda kufanya kazi Wasafi FM. Kutambulishwa hivi karibuni

    Wasalaam wana jamvi. Baada ya Mtangazaji Diva kuacha kazi kwa mwaka sasa ni rasmi kurejea tena. Baada ya kukaa muda mrefu bila kufanya kazi na uku hakuna media iliyomfata kutaka kufanya nae kazi baada ya kukaaa muda mrefu nje ya utangazaji. Mtangazaji Diva aliandika barua kwa kusaga kuomba...
  2. Wakuu fungueni account za social media na mzikuze mapema

    Hizi ishu baadaye huwa mtaji mkubwa sana. Wale followers wanakuja kuwa wateja wazuri. Hata ukiamua kuanzisha kakitu tayari unakuwa na wateja wa kutosha. Ningekuwa nipo active huko toka zamani leo nisingekuwa nahngaika kujitangaza. Tusidharau facebook, insta na Twitter. Fungua account na...
  3. Diamond na Wasafi Media mmeonesha "lack of professionalism" kwenye hili la Forbes

    Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond kawakashifu Forbes kutokana na list zinazosambaa mitandaoni zikionesha wasanii tajiri Afrika. Unawaponda forbes wakati hakuna mahali popote forbes wametoa list ya wasanii tajiri Afrika zaidi ya page zisizo rasmi!!! Naona pia wasafi tv na radio wanali...
  4. Social media politics; Heri au shari? Kipi ni kipi, kwa nini, nani afanye nini na ili iwe nini

    Hivi karibuni, mijadala juu ya siasa za mitandaoni zinavyoathiri siasa rasmi nchini na kuathiri maamuzi ya kitaifa imeshika kasi. Limejitokeza kundi linalofurahi kuwa maoni yao wanayoyatoa mitandaoni yanafanyiwa kazi huku kundi lingine likilalamika kuwa si sahihi kwa maoni ya watu wa mitandaoni...
  5. J

    Wakuu wa wilaya wengi wana tabia kama za Ole sabaya labda uwatoe Gondwe na Jokate, Sabaya media imemponza!

    Wakuu wa wilaya wengi tu uongozi wao hautofautiani sana na wa Ole sabaya sema tu Ole kiki za kutumia media ndio zimekuwa zikimuumbua. Lakini kuna maDC na maDAS wana roho za uovu kuliko huyo Ole sabaya. Fuatilia utagundua ukweli. Naamini tochi ya mama itamulika kabati zima na kuuwa chawa wote...
  6. M

    Sabaya ungekuwa 'Smart' usingefanya Interview na Clouds FM kipindi hiki

    Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana. Kubugi kwenyewe ni hivi: 1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda. Kwamba mnataka upande wa...
  7. IT Officer at BBC Media Action

    Job Title: IT Officer, Tanzania Location: Tanzania Reports to: Operations Manager, Tanzania Duration: 12 months (with possible extension) Closing date: 23 May 2021 Context: We are the BBC’s international charity, and we believe in the power of media and communication for good. We work across...
  8. Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

    Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Kitendo cha kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa yake pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na taifa kubwa la Tanzania. Hii ni nini kama sio "Cyberbullying"? Nimesikitishwa...
  9. Kwa Spika Job Ndugai: Busara na hekima inataka mambo mengine mzungumze na wabunge wenzako mkiwa ktk "off the media cameras"

    Moja ya sifa ya mtu kamili na hususani kwa kiongozi wa umma kama alivyo Spika wa Bunge la JMT ndugu Job Ndugai, ni kutumia busara na hekima katika kufanya maamuzi yake iwe ni kwa kutamka kwa maneno au kwa kutenda kwa vitendo. Leo asubuhi spika Job Ndugai ametamka pasipo umuhimu wala ulazima...
  10. J

    Kama CAG amewaonea Clouds Media atashindwaje kuzionea taasisi nyingine kama ATCL n.k?

    Jana alisikika meneja wa fedha wa Clouds media akidai kuwa taasisi yake iliwasilisha kwa CAG risiti zote za kielectronic kama alivyoagiza na siyo kweli kwamba kuna utata katika malipo waliyolipwa na wizara ya maliasili na utalii. Ndiposa natafakari kama meneja huyo wa fedha bwana Masoud anasema...
  11. Ukipitia kwenye social media baada ya cag, utaona haya

    Kwanza utaona ujinga wa baadhi yetu juu ya kupambanua mambo makubwa ya Taifa. Nimetumia ujinga kwa kuwa "UJINGA" siyo tusi bali ni ukosefu wa maarifa ya kitu fulani ambacho hukijui. Ukishafundishwa ujinga unapotea. Pili nimeona upande wa pili ambao ninaweza kusema hoja zao ukizipima zinajengwa...
  12. Nyimbo kali ambazo hazikupewa nafasi katika mainstream media

    Nakutajia baadhi ya nyimbo kali ambazo zilistahili kuwa kubwa lakini hazikupewa nafasi kwenye mainstream. All my love - Ryan Leslie Never die- DJ Drama Going down- DJ Drama Hiphop - DJ Khalid All aboard- Romeo Santos ft Lil Wayne Not that simple - Mike Posner Reminded - Tyga ft Adele...
  13. B

    Rais Joe Biden ajikwaa mara mbili na kudondoka akijaribu kupanda ndege maalumu ya Air Force One

    Rais Joe Biden wa Marekani mwenye miaka 78 ameanguka mara tatu kwenye ngazi za ndege ya Airforce one akiwa anaelekea mji wa Atlanta. Lakini baadae aliamka na kuendelea na safari. Rais Biden ndie Rais mzee zaidi kuwahi kuchaguliwa Marekani. Source: THE INDEPENDENT
  14. SAKATA: Hii ndiyo tofauti ya Media za Tanzania na Nje

    Angalau huyu kwa kutumia katuni ameongea kitu kikubwa ambacho mwandishi wa kawaida story yake isingetoka👇🏾. Huyu ni mwandishi wa nje ya Tanzania au ni yule asiye na mipaka, yawezekana yupo hapa nchini ila katumia chombo cha nje, ambapo hapa ndani ni hofu inatawala 👇🏾...
  15. Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

    Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki. Mfano People Daily online hasa la leo. Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
  16. H

    Mr flavour wa Nigeria aomba media za Nigeria zimpe heshima inayostahili Diamond Platnumz

    Msanii mkubwa kutoka Nigeria Mr Flavour amefunga mengi wakati anahojiwa na moja ya media kubwa ya Nigeria hapo Jana. Mr flavour amevilaumu vyombo vya vingi vya Nigeria kutosapoti vyakutosha sana miziki ya nje japo kuwa yeye pia ni mnigeria. Akatolea mfano Ngoma ya diamond "Waah" imeweka record...
  17. Maandamano ya BLM yalipikwa na media kwa kuficha ukweli na kugharimu maisha ya watu, je hii ni sawa?

    TAZAMA VIDEO HAPA Ni siku ambayo media ilileta taharuki kwa kuijazia chumvi habari ya Mwafrika kuuwawa na mapolisi kitu kilichopelekea Wafanya biashara kuingia hasara kwa kuvamiwa maduka , Watu wengi kuuawa, watu wengi kuwa vilema, Mindombinu kuharibika, Nembo za taifa kama masananu...
  18. M

    Hizi kampeni za Valentine's Day katika media za Tanzania zina tija gani kwa maendeleo ya Watanzania?

    Wiki hii kila ukifungulia tu Redio yoyote cha Kwanza utakachokutana nacho ni mambo ya Mahaba hasa kuelekea Siku ya Wapendanao (Valentine Day). Je, ina maana Media za Tanzania zinashindwa pia kwa Umoja wao huu huu (Media Agenda) basi wakawa Wanayasema yale ya Ukweli kuhusu Maisha ya Mtanzania...
  19. Natengeneza matangazo madogo madogo kwa ajili ya kukuza biashara yako kwenye mitandao ya kijamii

    Habari za wakati huu wakuu, naomba tenda za kutengeneza matangazo madogo madogo kwa ajili ya kukuza biashara yako kupitia mitandao ya kijamii, pia napiga picha za kupromote biashara yoyote ile. Naomba kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa namba 0656 249 607. Nina ujuzi na uzoefu katika kazi hii...
  20. N

    Hali ya kwenye media (TV) ni tete

    Nilikuwa jana na jamaa mmoja ambaye ni mtangazaji wa kituo kikubwa cha TV bongo ananimbia hali ya kifedha ya media nyingi haswa Tv ni tete,hapo sisemei magazeti ukiondoa yale ya michezo maana yana afadhali. Anasema afadhali radio bado sponsors wako wengi haswa vipindi vya michezo na vile vyenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…