Wasafi Media waandaa futari Bungeni

Lady Mwali

Senior Member
Nov 15, 2018
147
332
Jamii yetu inapotosha maana ya kuandaa na kutoa futari ktk jamii.

Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza.

Leo unasikia futari inaandaliwa kwa matajiri wenye uwezo huku
wakiachwa masikini wahitaji.

Mathalani jana Wasafi Media imefuturisha bungeni Dodoma
huu ni zaidi ya unafiki.

Wabunge hawahitaji kufuturishwa kwani wanajiweza
wanapokea posho lak 3 kila siku na mshahara milioni 12 kwa mwezi.

Ingependeza zaidi Wasafi Media wangefuturisha masikini na makundi maalumu kama yatima,walemavu na wenye ukoma.

Nakumbuka marehemu Mengi alikuwa tajiri sana lakini mara nyingi alikutana na walemavu na kula nao chakula,sijawahi kusikia Reginard Mengi ameandalia chakula wabunge.

Jamii yapaswa ibadilike, iache unafiki na kufake maisha.
 
C075B1AE-4482-4555-8F71-97EA251D375D.jpeg
 
Jamii yetu inapotosha maana ya kuandaa na kutoa futari ktk jamii.

Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza.

Leo unasikia futari inaandaliwa kwa matajiri wenye uwezo huku
wakiachwa masikini wahitaji.

Mathalani jana Wasafi Media imefuturisha bungeni Dodoma
huu ni zaidi ya unafiki.

Wabunge hawahitaji kufuturishwa kwani wanajiweza
wanapikea posho lak 3 kila siku na mshahara milioni 12.

Ingependeza zaidi Wasafi Media wangefuturisha masikini na makundi maalumu kama yatima,walemavu na wenye ukoma.

Nakumbuka marehemu Mengi alikuwa tajiri sana lakini mara nyingi alikutana na walemavu na kula nao chakula,sijawahi kusikia Reginard Mengi ameandalia chakula wabunge.

Jamii yapaswa ibadilike, iache unafiki na kufake maisha.
Sidhani kama ni busara kumpangia mtu mwingine cha kufanya hasa kama anachotumia ni chake na katafuta mwenyewe na wakati huohuo ukijiuliza wewe kwa uwezo wako unewapa wangapi hata ya kununua muhogo
 
Uncle Shamte ana ulimbukeni wa mapenzi

Inaonekana huwapendi Wasafi kiujumla.
 
Jamii yetu inapotosha maana ya kuandaa na kutoa futari ktk jamii.

Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza.

Leo unasikia futari inaandaliwa kwa matajiri wenye uwezo huku
wakiachwa masikini wahitaji.

Mathalani jana Wasafi Media imefuturisha bungeni Dodoma
huu ni zaidi ya unafiki.

Wabunge hawahitaji kufuturishwa kwani wanajiweza
wanapikea posho lak 3 kila siku na mshahara milioni 12.

Ingependeza zaidi Wasafi Media wangefuturisha masikini na makundi maalumu kama yatima,walemavu na wenye ukoma.

Nakumbuka marehemu Mengi alikuwa tajiri sana lakini mara nyingi alikutana na walemavu na kula nao chakula,sijawahi kusikia Reginard Mengi ameandalia chakula wabunge.

Jamii yapaswa ibadilike, iache unafiki na kufake maisha.
Binafsi pia nimeshangaa huyu Almasi kwenda kujikosha kwa MPs, afazali ange futurisha makundi maalum pale dodoma
 
Sidhani kama ni busara kumpangia mtu mwingine cha kufanya hasa kama anachotumia ni chake na katafuta mwenyewe na wakati huohuo ukijiuliza wewe kwa uwezo wako unewapa wangapi hata ya kununua muhogo
Anazungumzi maana na dhana ya kufuturisha vinginevyo angeweza kuwaandalia dinner ya course kumi pale Kempnsiky na kufikia lengo lake, lakini sio kuupotosha Uislamu
 
Sidhani kama ni busara kumpangia mtu mwingine cha kufanya hasa kama anachotumia ni chake na katafuta mwenyewe na wakati huohuo ukijiuliza wewe kwa uwezo wako unewapa wangapi hata ya kununua muhogo
"Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza."

Soma hapo juu utaelewa lengo la mada,anachozungumzia ni upotoshaji wa dhana nzima ya kufuturisha,amewapangia nini sasa hapo?
 
Back
Top Bottom