Mtoto Mdogo wakiume alimuuliza Mama yake kwa upole: "Unalia nini Mama?"
Mama yake akajibu: "Kwasababu Mimi ni mwanamke!"
Sijakuelewa Mama.
"Sijakuelewa Mama!?"
Mama yake akamtazama kidogo, kisha akasema: "Na kamwe hutoelewa"
Basi Mtoto hakulizika, ivyo akamfuata Baba yake nakumuuliza swali...