mdada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hakuna mantiki yoyote itakayojibu swali la mwanamke la "Kwanini wanaume wanapenda kucheat sana?". Maelezo haya yanaweza kurelate na swali lao

    Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat. Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat. Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Si ajitokeze mdada mmoja anipikie pikie

    Si ajitokeze mdada mmoja wa dar aje anipikie pikie
  3. J

    JamiiForums Tanzania Sadat & Hussein Mumbarak-Egypt na Clinton wanafichua kuwa Amani kati ya Israel na Wapalestina inakwamishwa na chuki ya Wapalestina

    Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema makubaliano hayo yalilenga Wapalestina wawe na Serikali yao baada ya Miaka 5 ya utekelezaji wake...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

    Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

    Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Muangalie huyu mdada sniper risasi ilivyomkosa kosa kwa sentimita chache sana.

    https://youtube.com/shorts/DpPJZGaVFcs?si=XCZWQgMv64KBOJOR
  7. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Maisha bila Mdada wa kazi

    Habari wadau! Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kama mnavyojua maisha yanaenda kasi sana. Utandawaz naweza sema umeenea kila pande ya Dunia na hamna binadamu ambaye anakubali kuwa nyuma au jamii flani inakubali kuwa nyuma. Maisha kabla ya mitandao namaanisha kabla ya mobile phone kuanza miaka...
  8. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mdada wa miaka 25 ananitaka kimapenzi

    Simjui na wala hanijui, tulikutana kwenye baa moja hivi akanipa namba ya simu nikampa. sasa kila siku ananipigia au kutuma sms kuwa anataka kimapenzi. Namzidi miaka 20 hivi, shinikizo ni kubwa. Je nifanyaje?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi anahitajika

    Habari Wana jukwaa. Mdada wa kazi anahitajika mshaara 50000 kwa mwezi Majukumu 1 kukaa na mtoto , kumuhudumia , kimpa chakula nb mtoto ana mwaka na miez 2 Sasa 2. Kupika 3. Kufanya usafi ndani na nje ya nyumba nuyumb ni chumba sebure na choo ndani Mahali ni dsm temeke SIFA ZA MWOMBAJI umri...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nimem-miss Faiza haider, mdada aliekuwa presenter wa EATV kipindi cha 5 selekt

    Habarini, Huyu mdada alikuwa ana present 5 selekt na tbway 360, miaka ya 2011, huyu mdada alikuwa na muonekano mzuri kweli, na alikuwa ni tv crush wangu kwa kipindi kile 😍🫢😅she was veeery beautiful, Yani alivyo muonekano wake k.v pisi ya New York USA, kumbe alizaliwa na kukulia dar Damn time...
  11. maelekezo

    JamiiForums Tanzania Kozi gani ya Veta ina nafasi za ajira mtaani?

    Ni kozi gani nzur kusomea veta kwa sas yenye soko la kujiajiri na kuajiriwa bongo. Masada wakuuu
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama Mdada wa mjini akikuambia kuwe wewe ni "boring" basi tambua unaishi sahihi.

    ................Akikusifia sana basi tambua unajilazmisha kuishi nje ya mipaka yako na comfort zone yako ili kumridhisha yeye au ku-brag kwake kuwa unamuweza. Shikilia hapo hapo mwanangu ni bora uitwe mshamba kuliko kujisukuma sukuma hadi unajikuta umempangia nyumba malaya. A HOE IS A HOE.
  13. Batchelor Mpole

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Mschana au mwanamk3
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mdada aliye Arusha, njoo PM tuyajenge

    Uwe na miaka 30 kwenda juu usivuke 40 uwe tayari kuishi kiuhalisia
  15. Issuna

    JamiiForums Tanzania Nimedondokea Penzi na Mdada "Tom-Boy"

    Picha linaanza dem mzuriiiiii shyombe shyombee pisi ya kwenda. Mkiongea mkimya mtaratbu nikaona isiwe shida nijiweke. Kweli akanielewa Fresh tumeanza safari yetu. Onbed hana time she is like gogo wajua eeh hana muda huo sema Volume yake si haba ina stimulate veins. Maisha kawaida hana...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Tukipeana namba na mdada halafu akatumia neno "dear" katika kuchat na mimi siku 3 za mwanzo, huwa nam-delete fasta

    Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
  17. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Je, Nini kinakujia akilini kuombwa vocha na mdada baada ya kubadilishana namba za simu?

    Habarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu zinakata sina meseji ukizingatia bado hamjefahamiana vizuri hii inaashiria nini. Je? Hii ni sawa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume ushawahi tongoza mdada, baada ya muda ukajishangaa na kujiuliza kwanini ulimtongoza

    Habarini, Unakutana na mdada unamuona mzuri, na personality yake inaridhisha kiasi, unaanza kumtongoza (anakubali) mnakua kwenye courtship phase, jinsi mnavokaa na kuongea nae miezi kadhaa inapita, jinsi muda unavoenda, interest yako kwake inashuka (hapo hujala mzigo) mwishowe mtu unaanza...
  19. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

    Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine ikawa kweli. Basi unajaribu kuzama PM unakuta imefungwa. Kumuanzishia thread haijakaa poa. Hapa najua...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa raha niliyokuwa nayo kwa msimu huu

    ... 🙂 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗙𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗕𝗨𝗥𝗜 "Tumemsajili Ngoma Mchezaji tuliyemuiba Airport, tuna Chama, Miquissone karejea.. Tutachukua Ubingwa wa ligi kuu mapema sana msimu huu 23/24" ©️ Ahmed Ally Meneja wa habari Simba SC 1. 🎮 27 ⚽ +47 🅿️ 71 — Yanga SC 🏆 2. 🎮 27 ⚽ +34 🅿️ 60 — Azam FC. 3. 🎮 26 ⚽ +27 🅿️ 57 —...
Back
Top Bottom