mdada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mung Chris

    Mdada wa kiarabu, kizungu au shombe anahitajika haraka sana

    Wana JF Nina rafiki yangu ni mchanganyiko wa kihindi na mwafrka yupo Dar ameajiriwa na kampuni flan kubwa sana ameniomba nimsaidie kupata mke wa kiarabu au mwenye asili ya kiarabu au kizungu au mzungu ili aoe. Yeye umri wake 46, anao watoto 2. Wataongea wafahamiane wakikubaliana tabia basi...
  2. HUKU ABROAD

    Uzi kwa Mdada anaetambua umuhimu wa Mahusiano ya Urafiki

    Mimi ni kijana wa miaka 30 ... natafuta rafiki wa kike mwenye kujua umuhimu wa urafiki lakini lengo langu kubwa ni kuwa na mpnz wa kudumu nae milele .. katika safari yangu ya maisha sikuwah kupata muda wa kuwa karibu sana na wasichana kwa sababu fulani , lakini kwa sasa niko available kwa...
  3. Makinisanatu

    Nilikuwa na maotea warts nilikula mdada mmoja yakapotea

    Imenitokea na nashangaa sana. SI kwamba nilikula mbichi no! Haikuwa nyama kwa nyama. Ila Cha ajabu baada ya siku mbili uume na eneo Lilo na warts nikakuta alama alama tu. Nimekuwa mahusiano na Hulu ni na maotea warts nilivyokula huyu mdada mmoja yakapotea na Leo Naogopa KILALA nae tena...
  4. Mkanaani

    Nahitaji connection ya kazi yoyote anayoweza kufanya mdada Mwanza

    ...
  5. S

    Kuwa mwanaume kuna raha jamani, yaani miaka 93 anaoa mdada miaka 24?

    Mwanamke zake tambo ni miaka 20 mpk 40 tu, baada ya hapo kwisha habari yako! Ikiwa mwanamke hajaolewa katika umri huo imetoka, na akiwa hana mtoto ndiyo nitolee hiyo. Lkn midume inaendelea kula mzigo na kuoa kama kawaida mpka siku atakayokwenda peponi.
  6. B

    Wanaume kabla ya kumhonga mdada pesa/kumhudumia, tujiulize hili swali moja tu

    Swali lenyewe ni hili, kama huyo mdada unae-date naye angekuepo kwenye nafasi ya kutoa msaada uliyo nayo wewe, huyo mdada angekupa huo msaada? Mfano umempa mwanamke unae-date naye smartphone ya laki 3, je yeye angekuwa na uwezo na pesa za kutosha, hlf ninyi ni wapenzi, huyo mdada angekununulia...
  7. Brain Kingdom

    Je, ushawahi fanyiwa jeuri au dharau na mpenzi anaedhani umedata na umahiri wake ndani ya 6x6?

    Salale Wanawake Mungu anawaona, acheni visa chezeni game fair, sio poa unatumia mchezo wa kujiviringisha sana na mpapaso kama wote mwanzo wa mechi hadi mwisho wa mechi mgongo massage mwanzo mwisho, mtu unagugumia maraha na mautamu hadi mwisho. Khaa sio poa. Baada ya hapo mnatumia hio fimbo...
  8. Raymanu KE

    Njia rahisi ya kupata number ya mkaka/ mdada unayemcrushia

    Mkiwa Kwenye party ile mida ya kujiphotoa jisogeze karibu ya mkaka au mdada ambaye Ni crush wako Kisha muombe apige nawe picha kwa kutumia Simu Yake. Ili kufanikisha Hilo kwa urahisi, Zima Simu yako Kisha mwambie Simu yako imezima kwa hiyo mkapige picha pamoja kwa kutumia Simu Yake. Wakati wa...
  9. B

    Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

    Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita...
  10. royal tourtz

    mdada au mmama wa kuchat au kuongea naye usiku huu kwenye simu

    za usiku huu wakuu, leo tena natupa jiwe angani, naamini kuwa wahitaji kama mimi pia, kama kuna mdada au mmama ambaye yuko free japo tuchat au kuongea usiku huu sio mbaya kwangu namba yangu ni 0767066113 ila uzi huu ni valid hadi saa 11 asubuhi na ninaobwa moods wauset ujifute mda huo
  11. DR HAYA LAND

    Kama una ndugu yako anahitaji Kazi/Ajira sheli kuuza mafuta Mdada au Mmama mjuze habari hii

    Kuna nafasi ya Mwanamke/Mdada Sheli Kama unamjua Mtu anayejiheshimu ,smart na yupo tiyari kufanya Kazi mpe habari Unakuja PM Mshahara unajulikana Update Wamepatikana watu tyari so nafanya nao mazungumzo ili waweze kufika kazini Kama watapendezwa na salary
  12. B

    Naona kama kumtongoza mdada ni namna fulani hivi ya mwanaume kujishusha na kujidhalilisha

    Kama Kutongoza mdada ni urijali na si kujishusha, mbona wao wadada hawatutongozagi? Maana Kimoyo moyo wao wanajua kumshobokea na kumfuata fata mtu ni kujishushia point. Sahivi mpaka nitongoze demu, ni iwe nimemwelewa sana, la sivyo nakula buyu tu. Kujidhalilisha bila sababu Kisa natongoza...
  13. S

    Zuchu, mdada anayeamini pombe tu ndiyo dhambi lakini siyo muziki na mavazi yasiyo na staha!

    Angalia alivyovaa na kujiachia! Lakini ni huyu huyu Zuchu aliyekataa kufanya tangazo la pombe (siyo kunywa pombe) kwa madai kuwa ni kinyume cha matakwa ya dini yake. Kungwi Sexless hajafurahishwa na undumila kuwili huu.
  14. Boss la DP World

    Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane. Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda. Miongoni mwa walio hudhuria ni...
  15. HUKU ABROAD

    Uzi kwa Mdada Mzuri Mwembamba

    Nimeanza maisha , sina mwenza wa kuishi nae , uwezo wa kugharamia ninao , ila tu nataka mwanamke ambae anaweza kupika na kufua nguo vizuri ... nikifanikiwa kumpata nitamsaidia kwa hali na mali .. ikiwezekana ntamfundisha na kazi ili asikae kizembe .. Kama kuna mdada yupo single .. basi uzi hu...
  16. L

    Mpenzi wangu ni mvivu sana

    Habarini Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hivi ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi. Na nilikua nimepanga mwakani...
  17. D

    Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

    Kufulia hakujawahi muacha mtu salama! Iwe mtu, kampuni au Serikali. Hata serikali pamoja na kwamba inakusanya kila kitu lakini ikiishiwa huwa inawaza kukusanya kodi kwenye barabara na madaraja wakati yamejengwa kwa kodi zao! Kuna wakati vyuma vinaweza kukaza kila kona hadi ukatamani kumkopa...
  18. Equation x

    Huyu mdada na mambo yake; simtaki tena

    Siku za karibuni nilitembelewa na mpenzi (mchepuko) wangu, na ilipofika jana jioni nikaona nimtoe 'out' kidogo, tuende 'club' moja kusikiliza mziki pamoja na kuburudika. Mpenzi wangu akaomba, huku akinilazimisha; avae kikaptula kifupi, pamoja na tshirt ya nyuzi nyuzi, kwa sababu kuvaa kwake...
  19. Edsger wybe Dijkstra

    Mdada wa kazi ya stationary mkoani Mwanza

    Natafuta mdada wa kufanya kazi stationary mkoani Mwanza, awe anajua kutumia computer. Tuwasiliane PM kama uko tayari.
  20. Ushimen

    Tabia ya wadada kujibinua kwenye bodaboda

    Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...😋 sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...😬 Dahhhhh. Man nilipata moto wa dunia, ila kiroho sayona nikasema barida m'baba nika kunjua noti huyooo nikasepa. Sasa ile natoka nje...
Back
Top Bottom