mdada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Ushirikiano wa Biashara kwa Mdada Mwenye Duka au Biashara Halali

    Natafuta mdada au mkaka mwenye duka au biashara inayofanya kazi kwa angalau miezi 6 na biashara hiyo iwe na lesen halali. Nina nyumba ambayo niko tayari kuitumia kama dhamana kwa ajili ya kuongeza mtaji wa biashara au kufungua biashara ya pamoja ya nafaka. Pia nina heka tano za kilimo ambapo...
  2. Stability

    JamiiForums Tanzania Huwa nashangaa sana ila kila mdada mwenye makebo makubwa lazima awe na besti yake huyo mwembamba ambae ni kama waziri wake wa ulinzi na mawasiliano

    Ukimuita tu dada mwenye makebo makubwa uanshangaa yeye lazima aje wa kwanza utafikir umemuita yeye, kila sehemu unakuta anamshika mkkono ila tu auze nae sura na kumpa ushauri wa kila mwanaume anaemtaka. Looh! Yeye ndio haji manara wake, yanj muda mwingine unajikuta unakosa fursa ya kutafuna...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mdada ana Annabelle kubwa anavutia kwa namna yake

    Umewahi kutana na mwanamke ana Annabelle la kutosha kifuani? (Annabelle ni maziwa makubwa) Sijajua lakini kwa nini wengi huwa hawana shape chini. Ni nadra kumkuta mwanamke ana Annabelle kubwa, hips na makalio. Ila wengi wanakuwa na Annabelle na sura nzuri lakini chini humkuti ana makebo...
  4. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mdada ajapata abaya mpaka sasa kuna elfu 30 apa aje achukue.

    Nipo magomeni kagera aje achukue elfu 30 ya abaya. Vigezo na masharti kuzingatiwa 0767903037
  5. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Kuna mdada nafanya naye kazi ofisi moja, nampenda lakini naogopa kumwambia — nifanye nini?

    Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya mazingira haya ya kazi, kuna mdada mmoja ambaye tumekuwa tukifanya kazi pamoja kwa muda sasa. Kwa mwanzo...
  6. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Kuna mdada asilimia 90 ananitaka

    Kaniita anaanza kuniambia mbona hauko sawa unamawazo gani yeye YANA muhusu nini Huo mtego siingii ng'oo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wanaume kuna muonekano ukiwa nao, huwezi kuja JF kulalamika kuwa kila mdada unayemtongoza anakuomba omba hela

    Habarini, Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive, ila aloo hiyo idadi ya wadada wanao-andika thirst comments kwenye picha za huyo mkaka , na...
  8. Stability

    JamiiForums Tanzania Bora nikusanye mbwa na paka wa mtaani niwalee kuliko kusomesha mdada eti kisa mapenzi na ahadi ya kuoana

  9. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Sikujui na haunijui bro ila kama upo 27-38 usioe mdada ambae ameshaona mengi kwenye mahusiano atakutesa sana

    Wewe uliojufunnza unataka kurekebisha. Yeye aliyojifunza anataka kuendeleza maana ndio anataka atumie kama defence mechanisma dhidi yako. So ndugu hakikisha kama upo 27-38, oa binti alie 18- 22. UTANISHUKURU.
  10. haszu

    JamiiForums Tanzania Kuna mdada amenitongoza zaidi ya miaka 10, na bado hakati tamaa

    Yani tangu hajaolewa hadi ameolewa bado ananililia mimi tu, halafu mimi moyoni hayupo. Kwa uzuri ni mzuri ila mimi tu sijamkubali. Fikiria zaid ya miaka 10 ananitongoza tu na hachoki. Imefika mahati naona tu nimkubalie labda akishakutana na mimi atapunguza hamu zake
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdada ambaye jimbo lipo wazi mwenye lifestyle kama hii yangu

    Habari wakuu, About Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua. mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer. Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa...
  12. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

    Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mdada kama ulimkataa jamaa ujanani endelea kumkatalia hadi ukiwa 35+ endapo bado anakufuatilia

    "Sikutaki", "Nina mtu wangu", "Sina hisia nawe", "Hatuwezi kuwa pamoja", "You are not my type"..... na majibu mengine kama hayo ulikuwa ukiyatoa wakati wote mkiwa under 30yrs tena mara nyingi below 25 years. Na utakuta jamaa alikuwa akiona jinsi ukila bata na vipenzi vya moyo wako huku...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Makongorosi Chunya mdada ambaye Hana phycologist PM Iko wazi.

    Husika na kichwa tajwa hapo juu. Asante.
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unamkejeli mdada kugeukia JF kutafuta bwana kisa amevuka 30 eti mtaani hasomeki. Hivi boy anakuwaje na wivu juu ya intentions za kimapenzi za mdada?

    Its either wanaingilia harakati zako humu au basi wewe ni sadist. Kuna wakati mwanaume alichohangaika na mwanamke ni kupata penzi lake pekee ila siku hizi vijana wa kiume nao wanaumia na maamuzi ya kimapenzi ya wadada 🤣🤣 Trash🚮🚮
  16. B

    JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Mara nyingi ukimpa mdada hela/zawadi bila yeye kukuomba, huko mbeleni ndo atazidi kukupiga vizinga

    Habarini, Kuna huu ushauri unaotolewa na wadada humu jf na baadhi ya wanaume, kwamba ukitaka mdada asikupige vizinga mara kwa mara, usiruhusu mpaka yeye akuombe, mwanaume inatakiwa ujiongeze, utoe bila kuombwa, juzi kati nikajaribu kuiweka hii myth to the test Sample za research yangu zilitoka...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mdada humu aliandika akiwa karibu na wanaume wanaweweseka, yeye anaona kama sifa hivi ila ajui kuwa wanamkimbia hawataki vizinga

    Saikolojia ya wadada wengi wenye makalio makubwa ni kufikiria kinyume nyume kama ilivyo minyama yao iliorudi nyuma.
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukimuuliza mdada yoyote, hivi ni kiumbe gani haswa una hisi kinadhalalisha wanawake, atajibu haraka "wanaume", ila ukweli halisi wanaujua moyoni mwao.

    Hivi ni kweli kuna kiumbe ambacho kinaongoza kujidhalalisha chenyewe alafu tena kilalamikia matokeo yake🤣
  19. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Huyu mdada vipi amenielewa au vipi

    wakuu habari za siku #NoReformsNoElection Kuna mdada mmoja nilikuwa namfukuzia sana lakini ni kama vile alikuwa hanielewi nikaamua kuachana na hilo swala tukiwa tunakutana nampa hi tu kisha nasepa lakini pia kazi zangu baadhi nilikuwa naenda fanyia ofisini kwake stationary Sa umepita muda...
  20. Isenye

    JamiiForums Tanzania Huyu mdada kanipenda au ananionea huruma tu?

    Niko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji, Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na...
Back
Top Bottom