Hivi unamchunguzaje future wife ikiwa huishi naye?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,808
45,481
Watu wanatushauri kabla hatujaamua kuoa mke basi tumchunguze. Mtu utamchunguza vipi ikiwa hukai naye yupo kwao na wewe uko busy na kazi. Yaani unampimaje mtu huruma yake na uvumilivu wake ikiwa hamkai pamoja ili kwenye changamoto za maisha ujue reactions zake.

Mimi binafsi naona madhaifu ya mtu wa kuingia naye kwenye ndoa huwezi kuyajua eti Kwa kuwa mnawasiliana tu kwenye simu labda na kukutana mara moja moja. Nachoona mimi ni kujilipua tu ila uwe unajua utakavyoshughulikia matukio utakayopigwa ili usipate depression basi yaani uamue tu unaoa Kwa ajili ya kupata walau mtoto ndo liwe lengo namba moja. Mambo nyingine hizi zitakupasua kichwa sijui mambo ya tabia na nidhamu uongo.
 
Watu wanatushauri kabla hatujaamua kuoa mke basi tumchunguze. Mtu utamchunguza vipi ikiwa hukai naye yupo kwao na wewe uko busy na kazi.. Yaani unampimaje mtu huruma yake na uvumilivu wake ikiwa hamkai pamoja ili kwenye changamoto za maisha ujue reactions zake. Me binafsi naona madhaifu ya mtu wa kuingia naye kwenye ndoa huwezi kuyajua eti Kwa kuwa mnawasiliana tu kwenye simu labda na kukutana mara moja moja.nachoona mimi ni kujilipua tu ila uwe unajua utakavyoshughulikia matukio utakayopigwa ili usipate depression basi yaani uamue tu unaoa Kwa ajili ya kupata walahu mtoto ndo liwe lengo namba moja. Mambo nyingine hizi zitakupasua kichwa sijui mambo ya tabia na nidhamu uongo.
Ngoja ukue na ufikie kufanya maamuzi ya kuoa.

Sasa hivi wewe endelea kuchakata tu. Utakuja kutupatia mrejesho mwenyewe.
 
Watu wanatushauri kabla hatujaamua kuoa mke basi tumchunguze. Mtu utamchunguza vipi ikiwa hukai naye yupo kwao na wewe uko busy na kazi. Yaani unampimaje mtu huruma yake na uvumilivu wake ikiwa hamkai pamoja ili kwenye changamoto za maisha ujue reactions zake.

Mimi binafsi naona madhaifu ya mtu wa kuingia naye kwenye ndoa huwezi kuyajua eti Kwa kuwa mnawasiliana tu kwenye simu labda na kukutana mara moja moja. Nachoona mimi ni kujilipua tu ila uwe unajua utakavyoshughulikia matukio utakayopigwa ili usipate depression basi yaani uamue tu unaoa Kwa ajili ya kupata walau mtoto ndo liwe lengo namba moja. Mambo nyingine hizi zitakupasua kichwa sijui mambo ya tabia na nidhamu uongo.
Waziri wa maji lomalisa mutambara
 
Huwa ni kamari tu kama kuke kwa wazee wa kuweka mizigo. Mnakutana once kila wiki utajua nini, japo kuna vitu unaweza kujua mapema kabisa kama unajua kuchunguza.

Kuoa ni betting tu kama zilivyo betting nyingine, ndio maana tunaambiwa tumtangulize Mungu.
 
Back
Top Bottom