mchungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mtego Kwa Mchungaji Upo hapa

    Kichwa cha uzi kiwe " MTEGO KWA MCHUNGAJI MAGEMBE UPO HAPA" Moderator Siku moja Rapper Jadakiss aliwahi kumchana 50 live kwenye kipindi cha radio kilicho ongozwa na mwanamama Angie Martinez. Ilikuwa ni kipindi ambacho 50 na G.unit Yake walikuwa wana feud na The Lox ( Styles P, Jadakiss and...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu ya kujua kuwa Mchungaji fulani si Mtumishi wa kweli wa Mungu

    Habari zenu wanajamii, siku hizi kuna makanisa mengi sana yanaibuka yenye wachungaji, manabii, mitume, walimu, n.k. Jambo linalopelekea upotoshwaji mwingi kufanyika kwa kutumia jina la Mungu na mwanae wa pekee Yesu Kristu. Haya ni mambo matatu unayoweza kutumia kujua kanisa au mtumishi gani ni...
  3. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Soon tu aliyezaliwa 2002 hatokuwa mtoto tena

    HERI YA MWAKA MPYA 2025 aseeeeee siku zinaenda kasi sana. naona kizazi cha 90 nacho kishatoka kwenye enzi za utoto... na enzi za ujana zinaelekea kuisha kwa kizazi hichi chetu cha 90 sooon tuu hivi vidogo vyetu vya 1998,1999 ,2000,2001,2002 na hata 2003. navyo vitasema FINALY CHILDHOOD...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao ndoa zao zina matatizo yupo Mchungaji Daniel Mgogo.

    Huyu Mchungaji kwa kweli ndiye atayeweza kuleta amani katika familia zote kwa ajili amelivalia njuga swala la ndoa. Lakini siku za karibuni amekuwa na hasira sana na wote wanaoyakosoa mahubiri yake. Huyu Mchungaji anamtishia maisha ya Wachungaji wengine na anaondoa Umoja wa Kanisa. Sasa hivi...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mchungaji auliwa na muumini aliyepandwa na mapepo

    Mchungaji wa Kanisa la Agule Pentecostal Assemblies of God (PAG), Wilaya ya Serere, Uganda, John Michael Ekamu (52) amefariki Dunia baada ya kushambuliwa na muumini anayedaiwa kuwa na mapepo wakati wa lbada ya mkesha wa Krismasi Wakati wa maombi ya mkesha huo, muumini huyo, anayejulikana kwa...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Swali la ufahamu; kwa kuwa Mchungaji Magembe anakiri familia yao walikuwa wachawi balaa, kuna uhakika gani kwamba yeye hakurithi?

    Nimekuwa nafuatilia habari za mchungaji Magembe, na kuna mahali alitoa historia ya familia yao kwamba walikuwa wachawi balaa. Je hakurithi? Nani ana uhakika? Na Je ndio chanzo cha ugomvi wake na Kanisa labda wenzake wanataka arudie asili?
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa kada wa CCM anapata wapi nyaraka za maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA?

    Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa CHADEMA kuzungumza baadaye. Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Katekela: Ningekuwa Lissu ningeokoka na kuwa Mchungaji, Mungu anakusudi naye

    Mchungaji Mmoja ambaye ni maarufu sana huko Mkoa wa Geita amesikika akihubiria Mamia ya umati wa watu akisema Mungu ana kusudi na Tundu Lissu. Amesema yeye angekuwa Lissu angeokoka na kuacha siasa na kugeukia uchungaji. Mchungaji huyo ambaye awali aliokoka baada ya kutumikia Shirika la Siri la...
  9. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Atuganile Mwakyosa aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja akidai anafanya matendo machafu kinyume na tamaduni za Tanzania

    Mchungaji aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja katika ukurasa wa Facebook Mchungaji anadai Martha Mwaipaja anajihusisha na vitendo vichafu vya usa**ji) visivyokubalika ndani ya jamii ya Tanzania na kwa Africa kwa ujumla Ushahidi: Tembelea Page hii Atuganile Mwakosya Dada wa ICU aweka yake...
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mchungaji Msigwa: CHADEMA inajiandaa kuendeleza upotoshaji

    Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Peter Msigwa ametahadharisha watanzania juu ya upotoshaji unaotarajiwa kufanywa na vyama vya upinzani nchini kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza na Vyombo vya Habari Disemba 09, Msigwa amesema...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA kimepoteza mvuto, hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani

    Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani. "Wamepoteza dira, wamepoteza misingi ya chama chao, wamepoteza mvuto na kujiita chama cha upinzani kikuu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: CCM inaongoza kwa utekelezaji wa Ilani barani Afrika

    Wakuu Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini chama hicho na kukichagua mara zote. Msigwa amezungumza hayo akizungumza na wahabari Disemba 09, 2024.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagombana waliko, hawana mwelekeo

    Kada wa CCM mchungaji Peter Msigwa awataka vijana wote nchini kupuuza propaganda za CHADEMA na Kuiunga Mkono CCM. "Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagomba huko waliko, hawana mwelekeo, wamepoteza dira. Wakina mama fanyeni biashara zenu, vijana msipoteze muda kusubiri...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Ubadhilifu wa Fedha katika Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania: Mchungaji Mwasomola Aongea na Vyombo vya Habari

    Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania. Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Maiti ya Mchungaji John Chida iliyosubiriwa ifufuke kwa miezi miwili yazikwa Iringa, Agnes Mwakijale anashikiliwa na Polisi kwa kuishi na Maiti

    Hatimaye mwili wa aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la El-Huruma (E.H.C), John Chida aliyetarajiwa kufufuka, umezikwa leo Desemba 6, 2024 katika makaburi ya Mlolo Manispaa ya Iringa. Mwili wa mchungaji huyo ambaye alifariki dunia Oktoba, uligunduliwa Desemba 3, mwaka huu ndani ya nyumba yake ukiwa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Ukosoaji kwa Serikali kunaiua CHADEMA

    Mchungaji Peter Msigwa aliyekihama Chama Cha Chadema hivi karibuni na kuhamia Chama Cha Mapinduzi CCM, wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, akiwa mstari wa mbele kuipigia chapuo CCM huko mkoani Iringa, asubuhi hii amekuja na hoja binafsi wakati huu ambapo Kamati kuu ya Chadema inaketi...
  17. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kijana anayechunga mifugo akutwa amefariki na majeraha usoni.

    Mchungaji akutwa amefariki na majeraha usoni. Aron Daniel (16), mkazi wa mtaa wa Msimamo, Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro amekutwa amefariki dunia katika eneo la 'Youth Mission' huku mwili wake ukiwa na majeraha usoni. Baba mdogo wa marehemu, Baraka Kamele, amesema Aron alikuwa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mchungaji wa mifugo akutwa amefariki huku uso wake ukiwa na majeraha

    Aron Daniel (16), mkazi wa mtaa wa Msimamo, Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro amekutwa amefariki dunia katika eneo la 'Youth Mission' huku mwili wake ukiwa na majeraha usoni. Baba mdogo wa marehemu, Baraka Kamele, amesema Aron alikuwa akijihusisha na uchungaji wa mbuzi, ambapo Novemba 16...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Padre unampiga konzi hivi mwanangu labda uyeyuke vinginevyo pangechimbika

    Wakuu, Kuna hii Video inayosambaa inamuonyesha Padre akimpiga konzi msaidizi wake aliyeshika Mic wakati akifungisha ndoa, jambo lililowaacha wageni midomo wazi. Tukio hilo limezua mjadala kuhusu hatua ya mchungaji kumwadhibu msaidizi wake hadharani kwa kushindwa kuielekezea vizuri Mic kwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima. Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu...
Back
Top Bottom