Ushauri: Mchumba wangu anataka kunipeleka kwa Mchungaji wake kabla

Ushauri: Mchumba wangu anataka kunipeleka kwa Mchungaji wake kabla

jaap

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2018
Posts
5,344
Reaction score
7,116
Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii mchungaji kutoa maono kwa Mwanamke kama Mwanaume anafaa kufunga nae ndoa?
Na je mliokua kwenye ndoa mlipelekana kwanza kwa wachugaji wenu ili kuwapa maono ya wenza wenu watarajiwa kama wanafaa kufunga nao ndoa kabla ya kwenda kutambulisha kwa Wazazi?
 
kama mchumba wako ni mpentekosti, ndio utaratibu wao,

kuna binti mmoja mkkkt alipata mchumba ambaye ni MTAG, jamaa akamshawishi binti ahamie TAG ili suala lako la ndoa liwe jepesi binti akakubali akaenda kule akajiunga na kwaya kabisa kuonyesha yuko serious, lilipofika suala la ndoa kupeleka kwa mchungaji, mchungaji akasema Mungu amemuonyesha kuwa yule binti hafai kuwa mke wa jamaa.......
 
mwambie bhana mapenzi ni ya wawili tu ,kama atahitajika basi mwingine ni Mungu pekee si vinginevyo kama ni mchungaji atahitajika basi ni sku ya kiapo chenu cha ndoa .usipomkatalia kwa sahizi hilo ombi lake kumbuka baadae mchungaji ndie atakuwa ana nafasi kubwa kwenye uendeshaji na maamuzi ya ndoa yenu hapo baadae.
 
*Hangalia *hasije *hakakupeperushia njiwa.
Tatizo lipo aliponiambia Mchugaji wake ana muamini tokea siku nyingi na huyo mchungaji wake ana maono ya Nyuma ya pazi na kaniambia akinipeleka kwa huyo Mchungaji atapewa maono kama mimi nina wapenzi wengi au kwetu ni watu wa kwenda kwa waganga nk
 
Nenda tu ili usijemuharibia maisha mtoto wa watu mbeleni maana Pana watu wanaouwezo wa kuona ulivyo ndani.
Ila tegemea refa Hapo ni mchungaji kama vipi wahi mapema kwa mchungaji kabla yake ukajisalimishe akimuweka binti sawa hakuna wa kumbandua
 
Yeye anavyomita nimesikia anamuita Mchugaji, Mimi nimeingiwa na hofu baada ya kuniambia ana muhamini Mchungaji kwa % 100 kwa Maono yake, Nawasiwasi jambo lolote akiambiwa kuhusu mimi ataliamini ata kama siyo la kweli.
Kipi usichokielewa Hapo kwni ujui mabinti wa kiroho mchungaji ndie ushika ufahamu wao
 
Back
Top Bottom