mchina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwekezaji yoyote Mhindi, Mchina, Mwarabu tunapalilia umasikini nchini

    Great Thinkers. Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa. Huwezi ukategemea watu wa Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth. Instead Raia watageuzwa manamba na kutumikishwa kama enzi za ujima huku wakilipwa ujira mdogo sana...
  2. JamiiForums Tanzania Wakati mchina anafanya majaribio ya ndege za jet, USA yuko mbioni kutuletea super sonic planes

    Kuna kitu humu mbeleni anataka kukifanya USA kwenye usafiri wa anga Shirika la anga la NASA limezindua ndege aina ya supersonic engine X59 na ni ya, abiria Hii ndege Ina speed zaidi ya sauti. Ni maboresho ya ndege aina ya Concorde zilizokuwa zinatumika huko nyuma. Hii ndege Ina uwezo mkubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nimekutana na Mchina aliyekuja kama kibarua Tanzania ila sasa yeye ni Big Boss

    Jana kuna mchina nilikutanishwa nae ni CEO wa kiwanda cha uzalishaji wa marine boards, melamain boards, pliewoods na MDF ambacho wamekijenga pale Mafinga. Nilimuuliza ABCs za maisha yake hapa Tanzania na akanambia yafuatayo. 1. Yeye alikuja Tanzania kipindi cha ujenzi wa uwanja wa mpira wa...
  4. JamiiForums Tanzania Saninu Laizer wa madini lipa pesa za watu. Ulituonyesha una madini ya mabilioni leo hii mchina anataka bilioni 8 zake

    Lazier lipa bana atujazoea kuringishana huku tunadhulumu watu ARUSHA: Mfanyabiashara Maarufu wa Madini ya Tanzanite katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Saninu Laizer maarufu kwa jina la Bilionea wa Tanzanite amemwangukia Mwekezaji raia wa China, Jun Fang akiomba wakae...
  5. JamiiForums Tanzania Kwenye kampuni/ biashara binafsi ni heri ufanye kazi kwa Muhindi, Muarabu, Mchina ama Mbongo mwenzako?

    Kiwango cha malipo chenye afadhali kulingana na mzigo unaopiga Muda wa kupumzika Uvumilivu/ Tolerance wa kufanya makosa Uhuru wa kufanya mambo yako kwa kiasi uwapo kazini Job Security
  6. F

    JamiiForums Tanzania Afrika ni demu wa mzungu? Mchina na muarabu ebu tubadilike

    HUTAJIFUNZA HILI KATIKA SHULE YOYOTE. ° Eneo la Afrika = 30,37 milioni km2 ° Eneo la China = 9,6 milioni km2 ° Eneo la Marekani = milioni 9,8 km2 ° Eneo la Europa = milioni 10,18 km2 ● Afrika ni kubwa kuliko Ulaya yote, Uchina na Marekani kwa pamoja. ● Lakini kwenye ramani nyingi za dunia...
  7. JamiiForums Tanzania Chimbo la mabati na pvc bei mchina bila mtu kati

    Kama Title inavyosomeka. Ninatafuta Lilipo chimbo la Mabati, Misumali, PVC na Chuma(square Pipe, metal sheets na round pipe) bei ya jumla(kiwandani). Mwenye Chimbo atakula 50k( kunipeleka/ kunielekeza na kudhibitika ni valid). Nitashukuru sana kama ombi langu litafanyiwa kazi, asanteni na...
  8. JamiiForums Tanzania Mchina kazubaa wapi kwanini hatengenezi magari ya umeme?

    Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk. Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za...
  9. JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa mkataba wa DP world, Mchina na wadau wake wamepigwa bao dakika za majeruhi

    Ni kama vile kuna vita baridi ya kugombea Afrika kati ya Marekani (pamoja na mataifa mengine ya magharibi) dhidi ya China. Kila mmoja anajitahidi kuongeza ushawishi wake barani Afrika kupitia vitu kama uwekezaji, misaada N.K Kwenye hili la mkataba wetu na DP World ni wazi kuwa mchina amepigwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mchina apokea mkong'oto kutoka kwa waganda ndani ya Ethiopian Airlines ikiwa angani kwa kushukiwa kuwaibia pesa

    Sijui kweli aliiba ama wanamsingizia wamuibie?
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mchina anayetuhumiwa kwa kukufuru atiwa mbaroni nchini Pakistan

    Raia wa Uchina anayefanya kazi katika mradi wa umeme wa maji amekanusha madai yaliyotolewa na wafanyikazi wenzake wakidai alikufuru kwa kutoa maneno ya kashfa kwa Mungu na Mtume Mohammed hali iliyopelekea maandamano huku watu wakidai auwawe. Nchini Pakistan Madai ya kukufuru yamesababisha...
  12. JamiiForums Tanzania Mchina aingilia Miundombinu ya TCRA na kusababisha hasara Tsh. Milioni 221

    Raia wa China Li Naiyong amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita likiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh221 milioni. Naiyong amesomewa mashtaka yake leo, Februari 15, 2023 na...
  13. JamiiForums Tanzania Tunaoshindwa, waliolishindwa na wasioweza kuacha kubet (mpira) au kucheza dubwi la Mchina au vyote (kamali) tujuane

    Wasalaam JF Tuwe wakweli mbele za Mungu, mimi kiukweli napenda sana kubet 1X na 2X kwa mzungu yaani meridianbet online, kwa wiki mara 3 kila nikiwaza kuacha nashindwa. Kama ni kula nakula kweli ila sasa natamani kuacha kabisa nashindwa kwa sababu winners za betting ndio zinanifanya niwe na...
  14. JamiiForums Tanzania Siku Mchina akianza kutengeneza magari madogo ya kutembelea, uchumi wa Japan utayumba

    Kwenye piki piki, honda na yamaha na suzuki wametolewa sokoni huku Afrika. Mabasi na malori mchina kashika soko, Yutong tatu sawa na scania moja, Kwenye malori ni hivyo hivyo. Sasa siku akiamua kutengeneza gari ndogo za kutembelea, mjapani atapata shida
  15. JamiiForums Tanzania Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

    Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu. Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni...
  16. JamiiForums Tanzania Hii nchi tushukuru mchina laasivo Panya Road wangekua mara 7 ya waliopo sasa hivi

    Kilichoandikwa hapa ni mawazo binafsi haina uhusiano na siasa wala haiwakilishi upande wowote/kundi la watu! Tanzania tunaelekea milioni 60 kwa makadilio (sensa itajibu ufasaha). Lakini katika miaka yote zaidi ya 50 na kenda ni kama serikali au nchi haikujipanga na ongezeko hili la watu. Mwaka...
  17. JamiiForums Tanzania Mchina kazidi, da!

  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ubabe aliomfanyia mchina: Pelosi avalishwa medali ya heshima ya ujasiri na ushujaa!

    Pelosi receives medal of honor Taiwanese leader praised the US House Speaker for her stalwart support of the island. “The speaker’s courage and actions are deeply inspiring and touching,” Tsai said, according to the South China Morning Post, as she presented Pelosi with one of the highest-rank...
  19. JamiiForums Tanzania Tsh. Milioni 700 kwa atakayempata Mchina aliyemuua mwenzake Dar

    Familia ya Fu Nannan ambaye ni raia wa China aliyeuawa Juni 11, 2022, kwa kupigwa risasi nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na Mchina mwenzie aitwaye Zheng Lingyao, imeahidi dau la Shilingi Milioni 700 kwa atakayefanikisha kupatikana kwa mtuhiwa huyo. Fu Nannan, aliuawa kwa risasi wakati...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi mchina alivyowatapeli maelfu ya wa Kenya dollar million 10 na kuwatukana kwenye crypto currency

    Mzuka wanajamvi! Ukiitwa kwenye fursa juwa wee mwenyewe ndio fursa. "Bado naendesha Ferrari yangu na baadhi yenu hamuwezi hata kununua chakula." Iyo ndio ilikuwa ujumbe wa mwisho wa mwanzilishi wa Crypto currency alivyoandika kwenye group la telegram baada ya kuwatapeli shilingi billion moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…