mchanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini Dubai inaagiza mchanga Australia wakati upo kwa wingi kwao

    Dubai ni moja ya miji mikubwa duniani yenye majengo marefu na ya kuvutia. Ukuaji wake wa haraka umehusishwa sana na sekta ya ujenzi na maendeleo ya miundombinu. Kuanzia majengo ya kipekee kama Burj Khalifa, jengo refu zaidi duniani, hadi visiwa bandia kama Palm Jumeirah, Dubai imekuwa...
  2. G

    Baada ya kusikia vitu kama mchanga unamwaga batini usiku wa manane nimetoka nje kuangalia ila sioni kitu, nini tatizo?

    Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu, tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo iliyojazwa mchanga inamwagwa juu ya bati. Siku ya juzi nilidhani labda ni ndege au mnyama...
  3. J

    Tipper moja fuso, linajaa ndoo ngap ndoo ngap za mchanga

    Wandugu kuna jamaa wananikusanyia Mchanga , Sasa kwa wajuzi naomba msaada, fuso moja linajaa ndoo ngp za mchanga? Ili nipate hesabu sahihi. Asante kwa anayejua..!
  4. Mkuu wa Wilaya Kinondon ruhusun mchanga utoke Mto Kawe. Vinginevyo tujiandae na rambirambi

    Mkuu wangu kwanza nakupongeza kwa unavyokuwa karibu na watu wako Pili nisisahau niombe tu najua umefika Mto Kawe maeneo ya makazi mapya umeona yale mateso ya Watuu na maafa yake Mkuu wangu wa wilaya mchanga umejaa maji yanasimama yanasomba nyumba za watu Maji yanahitaji njia, tukuombe watu...
  5. Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au mahali ulipokanyaga

    Nitaeleza kwa uelewa wangu, Mtu akikuchota namaanisha akichota mchanga wa unyayo wako (ulipokanyaga) au eneo unalofanyia biashara, tegemea mtaji kushuka wateja kuisha kabisa au mambo yako kuyumba kila utakacho fanya utaangukia pua. UFANYE NINI UNAPOONA MTU KAKUCHOTA? Unachota mchanga wa hapo...
  6. B

    Mbunge Fyandomo ashtukia upigaji ujenzi wa stendi Tukuyu. Hizi sio paving ni mchanga na wahandisi wapo

    Mbunge wa vitu maalum Mkoa wa Mbeya Mhe. Suma Ikenda Fyandomo, ameshtukia mchezo unaofanywa na wataalamu katika ujenzi wa stendi ya mabasi katika Mamlaka ya mji mdogo wa Tukuyu Mkoani Mbeya, kwa kupanga tofali ndogo za nzege (PAVING BLOCK) zilizo chini ya kiwango hali inayo hatarisha ubora wa...
  7. S

    Dawa ya kienyeji ya mtoto mchanga mwenye mafua

    Hii ni dawa ya Asili(dawa ya kienyeji) Mtoto mchanga kama ana mafua au amevuta maji wakati wa kujifungua hivyo akashindwa kupumua. Fanya kitu kimoja: Tafuta kondoo, mshikilie huyo kisha mpandishe mtoto huyo ukiwa umemshikilia mtoto Kisha mtembeze huyo kondoo kidogo tu huku umeshikilia mtoto...
  8. A

    Chimbo la Nguo za Awali mtoto mchanga

    Mwenye kujua chimbo kko la bei nzuri nguo za awali za mtoto mchanga naomba unielekeze
  9. Kurasimisha makazi eneo la machimbo ya mchanga, Kunduchi(mashimoni) ulikuwa uamuzi sahihi?

    Ni kweli muda mwingine mambo huwa yanabana hadi mamlaka za Serikali kuamua kufanya maamuzi pengine yanaweza kuwa ya ajabu na kusikitisha kwa upande mmoja lakini pia kwa muda huo huo kwa upande mwingine yakawa ni maamuzi ya kutia moyo na kufurahishwa wananchi. Swali langu ni; Je, Mamlaka za...
  10. Tulienda 'Kuchakura' Mchanga kama 'Kuku' katika 'Majaba' ili tupate Zawadi za 'Mchogo Pesa' ya Clouds FM leo Kinesi Ubungo tujuane tafadhali

    Bado GENTAMYCINE naendelea kuzitibu Kucha zangu kwani nimezitesa katika Kuchakura Zawadi za Mchogo Pesa katika Majaba na nimeishia Kukosa na kuambulia Mchubuko mikononi kwani Michanga ilikuwa Mibichi na Imeshindiliwa Kunakotukuka. Ila Clouds FM na hii Bahati Nasibu yenu ya Mchogo Pesa leo...
  11. Uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje ni uamuzi mbovu sana

    Nimeangalia video ya January Makamba akila kiapo cha ujumbe wa bunge la Africa mashariki, bado naona ni kiumbe Mchanga sana, kiingereza chake ulimi mzito, confidence mbovu, ni aina ya mtu asiye na exposure yoyote. Afadhari ya Bashe. Napata shida kwenye meza ya majadiliano tutapigwa za uso Kila...
  12. W

    Biashara ya dagaa wasio na mchanga kupendwa na wateja

    Habari wanajamii, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida. Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya. Dagaa wa nyasi (wasio na mchanga) Gunia yenye debe 10 kilo 40 (Tsh180000/=-tsh260000/=.)...
  13. Uwiano sahihi kati ya mchanga na cement mfuko mmoja kwa ajili ya kuchapia nyumba

    Ety wakuu,, hivi ratio nzuri kati ya Cement mfuko mmoja(Kg 50) na mchanga ni kiasi gani kwa matumizi ya kuchapia nyumba(Plaster). Maana nataka ukuta ulio imara zaidi hata msumari husiingie.. Hawa mafundi wa Mtaani wengi ni Ovyoovyo..
  14. Mchanga wa kutengeneza maabara

    JE INAWEZEKANA? Mimi ni mmoja kati ya watu wanaoishi maisha ya upweke kwa muda mrefu hivyo starehe yangu kubwa baada ya shughuli zangu za kila siku ama ninapopata nafasi ya kumpumzika ni kusoma vitabu. Hata kabla ya kuandika ninachotaka kuandika siku ya leo mapajani mwangu nilikuwa nimeshika...
  15. J

    Jamani hivi nini kinasababisha mtoto mchanga kutokwa na damu puani na mdomoni na hatimae kupoteza maisha? (Kufariki)

    Jamani hivi nini kinasababisha mtoto mchanga kutokwa na damu puani na mdomoni na hatimae kupoteza maisha? (Kufariki).
  16. Askofu wa Kanisa Katoliki alalama Padre wake kutishiwa kisa mchanga unaopelekwa Zanzibar

    Ni Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo Katoliki la Rulenge, Ngara ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook === Hiyo picha chini inaonyesha janga la uharibifu wa mazingira eneo la Segerea, mto Msimbazi! Miaka 27 iliyopita mto huu haukuwa mpana hivi. Palikuwa na daraja unavuka toka pale seminari...
  17. Nilivojifunika na mchanga msasani beach ili nipate usingizi,

    Kila ninacho kiandika humu huwa ni maisha yangu halisi Basi tuende moja kwa moja kwenye mada, ilikuwa ni mwaka 2014 baada ya kutoka mkoani na kujikuta nikiishi maisha ya kutokuwa na mahali pa kuishi, Nikajikuta naingia kwenye shughuli za beach boy bila kutarajia, Ratiba yangu ilikuwa...
  18. Nimegundua kuruka na ungo mchana, vipi serikali itanipa kibali?

    Waruka na ungo usiku mnafeli wapi? Kwanini ungo usitumike mchana na sio usiku kwanini umsiungane ukafanye sayansi yenu ikawe bora maana sayansi yenu bado ni duni means bado haina maboresho. Tunahitaji ungo uruke mchana na watu tusigeuzwe kuwa panya tubaki kuwa watu. Hapa ndipo wachawi...
  19. J

    Kampuni ya Minjingu na Bashe nani wa kulaumiwa suala la mifuko 776 ya mchanga ikiuzwa kama mbolea kwa fedha za ruzuku ya Serikali?

    Uongozi wa Kampuni ya uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa mbolea ya Minjingu Mines and Fertiliser Limited (MMFL) umefafanua kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwa Kampuni hiyo kuhusu upatikanaji wa mifuko 776 ya mchanga kwenye ghala lake lililopo mjini Njombe na kusema Kampuni hiyo haijawahi kufanya...
  20. R

    Waziri Hussein Bashe aagiza Mshindo Msola akamatwe

    Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima. Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…