mchanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaotumia milioni 3+ kwa mwezi kumlea mtoto mchanga, hizo pesa wananunua nini ambacho akina sisi tunaotumia laki 1 kwa mwezi hatununui?

    Jamani milioni 3 ni pesa ndefu. Sasa inawezaje kuisha kwa malezi ya mwezi mmoja tu ya mtoto mchanga? Mshahara wa house girl, maziwa ya formula na pampas tu ndiyo vinamaliza milioni 3? Au kuna kipi kinapelekea hiyo gharama kufika au kuzidi hapo?
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Benjamin Natanyahu: kaburi lako halitajaa mchanga

    Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye mimba,vikongwe hakika Mungu anakuona siku yako ipo karibu
  3. Brojust

    JamiiForums Tanzania Ubongo wa mwanadamu na majira ya mwezi: Dhana ya mwezi mchanga ni kweli ipo ? Je, kuna mahusiano gani kati ya majira ya mwezi na uchizi/utahira ?

    Huwa najaribu kutengeneza heading fikirishi ili tujaribu kudadisi ukweli. Nilisikia watu wanaongea kwamba kuna uhusiano kati ya majira mbali mbali ya mwezi na akili/ubongo wa binadamu. Wengine wanasema kuna supernatural power ambayo ukikaa sehemu tulivu kama mlimani au sehemu yoyote tulivu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kwa mtoto baba akitembe na mwanamke mwingine

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  5. Tango73

    JamiiForums Tanzania Iran, Hisbollah na HAMAS wameputa mchanga waachwe wapigwe tuu

    kama unakumbuka zile ngumi za zamani za utoto wetu unaanza kwa kuputa mchanga, kuchora mstali na kujipanga kunyukana . leo hii Iran na wapambe wake wameputa mchanga kupigana na na Israel. Basi sisi tuwaache tukae mzunguko na kushangilia. kula! kula! kula eeeh ! maana El Jazeera hawakawii...
  6. usser

    JamiiForums Tanzania Poda nzuri Kwa mtoto mchanga

    Masaada wakuu Mtoto n mchanga WA week 1 Na anaswet shingoni ukimpanguza Anakua kama anababuka Naomba kujua poda nzuri Kwa Mtoto Na ametokwa na vipele Ambavyo vnakaa kama uzaraha Ila ukivitumbua vitoka majimaji Na vinakauka Msaada wa dawa dafadhali
  7. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuna madhara usipomnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo

    Salama wakubwa wa JamiiCheck? Katika pitapita zangu mitandaoni kuna mtu nimeona akishauri kuwa ni vizuri kumnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo ili mtoto akue vizuri. Amedai kuwa mtoto asiponyolewa nywele hizo anaweza pata madhara ya ngozi ya kichwa, ukuaji duni lakini mwisho ni mambo...
  8. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Naona mtume kaanza kufanya uganga hadharani? taratibu mtanielewa, anagawa mchanga wa baraka huko Arusha.

    Wakuu kwema? Mimi nipo masomoni Gamboshi nachukua bachelor of science in uchawi wenye faida nadhani wengi wananijua hapa jukwaani. Niliwahi kuleta uzi ukielezea mambo ya mchanga na kuchotwq kiroho wengi hamkunielewa Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au...
  9. St. Paka Mweusi

    JamiiForums Tanzania Mchanga na Kokoto..

    Wadau naomba kujua gharama ya kuniletea Mchanga wa Kibahaa Lori 1 na Kokoto toka Lugoba.. Nipo maeneo ya Kibamba.. Hapa kwenye kokoto sijaamua bado kama ninunue Kokoto za kwenye Semi au Mende. Kama kuna mdau wa biashara hizi naomba aje na bei zake.. Natanguliza shukrani..
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ninaweza kutumia magari mangapi yanayobeba mchanga kujaza

    Kwa nyumba ya bedrooms tatu na sebule nimejenga msingi wa coz tano nataka kujaza kifusi,je naweza kutumia magari mangapi haya ya kawaida yanayobeba mchanga kupajaza kifusi mpaka level
  11. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ni miujiza mtoto mchanga kukaa siku tatu kwenye shimoni la chooni akiwa hai. Hongereni Jeshi la zimamoto na mtoa taarifa

    Tukio lemetokea huko Dodoma yani ushuzi wa binadamu uwezi kuimili ila cha kushangaza mtoto kaweza kuishi siku 3 . Huyu mtoto anaweza kuwa miujiza mtoto. Tukio limetokea huko Dodoma
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Baadhi ya Wanawake wazuri wanasumbuliwa na UTI sugu

    Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu. Jipende jilinde Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
  13. aleesha

    JamiiForums Tanzania SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji. Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya...
  14. Akotia

    JamiiForums Tanzania Dar nzima inabidi tununue mchanga wa jangwani?

    tuna mchanga umekaa tu jangwani,kwanini wanaohusika wasiuze kwa wajengaji na wanunuaji. Mchanga mzuri na utaingiza pesa,pamoja kuufanya mto wetu pendwa wa Msimbazi uwe na kina kirefu wakati huu tunasubiria Daraja lijengwe.
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kufagia ardhi ya udongo, mchanga au vumbi ni usafi gani?

    Ni aina fulani ya kukosa maarifa, upotezaji muda au ujuha kuamka kila siku asubuhi kufagia uani kwako, mbele ya nyumba yako au katika biashara yako kama hakuna pavement blocks, sakafu ya zege,/cement, tiles au lami. Unakuta mtu anatimua vumbi mtaa mzima kwa minajili kwamba anafagia kufanya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchimbaji mchanga mto msimbazi unazidi kuleta athari kubwa kwa wananchi. Je, kwanini serikali inatoa vibali vya uchimbaji mchanga mto msimbazi?

    Ili hali makazi ya wananchi yanazidi kupotea? Kaya nyingi kwa sasa zimekosa makazi. Kabla ya uchimbaji mchanga hakukuwa na madhara yoyote.
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchimbaji Mchanga unavyoharibu barabara ya Goba - Mpakani kwenda Madale (Dar)

    Tusaidiane kufikisha hili kwa mamlaka husika. UCHIMBAJI MCHANGA UNAVYOHARIBU BARABARA YA GOBA - MPAKANI KWENDA MADALE. Kutokea Goba - Mpakani , eneo maarufu kama "kwa ajali" ukiwa unaenda Madale kabla hujakutana na barabara ya mbopo, Kuna mto una tenganisha haya maeneo. Changamoto ni kwamba...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi anayechimba mchanga Mto Tegeta anaharibu eneo kubwa la barabara, TARURA wapo kimya tu

    Asante sana JF kwa kutupa Wananchi platform kama hii za kueleza kero, dukuduku na mengine yote ambayo inaweza kuwa ngumu kuyafikisha kwenye mamlaka mbalimbali za binafsi na Serikali hasa kwa sisi Wananchi wa kawaida. Kero yangu ambayo pia naweza kusema ni kero yetu inahusu mamlaka ya Wakala wa...
  19. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji Wa mchanga ndani ya mto Msimbazi Ulongoni B

    Wakuu Habari za uzima? poleni na harakati za kuendelea kulijenga Taifa letu. Kuna jambo nahitaji kuliandika hapa ili wenye mamlaka watusaidie kutupa ufafanuzi. Kwa muda sasa wakazi wa Ulongoni B Karibu na darajani mtakubaliana na mimi kumekuwa na gari aina ya kijiko kikichimba mchanga ndani ya...
  20. Antivirus

    JamiiForums Tanzania KERO Mwekezaji achimba mchanga karibu na makazi ya watu na kuharibu miundombinu ya barabara - Kitopeni Bagamoyo Pwani

    Katika kata ya Kiromo, Kijiji cha Kitopeni wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani eneo maarufu kama ranchi ya NAFCO eneo ambalo linenunuliwa na Mwekezaji ili kuchimba madini ya MCHANGA. Eneo hili lipo karibu kabisa na MAKAZI ya watu hivyo ni hatarishi wakati wa mvua na kupelekea mafuriko hapo baadae...
Back
Top Bottom