mchanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mchanga Dar na miji mingine ya pwani umetoka wapi?

    Habari wandugu, hivi mchanga katika miji ya pwani umetokea wapi? Maana unaweza kuukuta umbali wa kilomita kadhaa kutoka baharini, je bahari imewahi kufika huko?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa hili tatizo la chafya kwa mtoto mchanga

    Wakuu habari za kila siku na majukumu ya utafutaji wa kila siku! Naomba msaada, ushauri au tiba! mwanangu ana chini ya wiki moja tangu tumpokee☺️ ila anasumbuliwa na kwikwi inayodumu kwa muda kiasi cha mke wangu kuwa na wasiwasi. Shukrani, nawasilisha.
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Usajili CHADEMA Digital wapatikana nchi nzima, vibanda vya kusajili vyasambazwa

    Hii ndio taarifa mpya kwenda kwa Watanzania, ukitaka kadi ya kidigitali ya CHADEMA, ambacho ni miongoni mwa vyama vichache vya kisiasa vya kisasa zaidi barani Afrika kwa sasa, huna haja ya kulipa nauli hadi kwenye miji mikubwa ili kupata huduma hiyo. Huduma imesambazwa kila mahali hadi vijijini...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi washangilia kuondolewa RC Chalamila , ofa za vinywaji zamwagwa kama mchanga

  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Matofali ya mchanganyiko wa udongo na mchanga yakiokwa huwa ni imara sana kuna ukweli?

    Mchanganyiko wa udongo na mchanga hutoa matofali bora sana. Matofali haya huboreshwa kwa kukiwa. Ili kupata matokeo bora matofali haya huwa ni madogo ili kurahisisha uokaji. Abstract Soil-cement bricks were produced using local clay brick waste (CBW) and soft sludge (SS) from fiber-cement...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

    Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako.... Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi...
Back
Top Bottom