mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr. Masementi: Mbunge aliyestaafu Singida Magharibi

    MR MASEMENTI, hili ni jina alilobatizwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi 2015- 2020 ndugu Bariki Kingu. Hili ni jina maarufu kutokana na tabia ya huyo ndugu kudhani kila wakati akiulizwa kero za wananchi anafikiria wanahitaji Mifuko ya sementi. Cha kuna tukio alilowahi kupita...
  2. GE2020 Kwa namna Arusha ilivyotaabika, kwa sasa tunahitaji Monoban awe mbunge wa Arusha

    Hapo vip!! Kutokana na Arusha kupitia kwenye machafuko ya kisiasa kama maandamano,mauwaji na vurugu zisizokuwa na maslahi yeyote kwa mkoa wa Arusha na wananchi wa Arusha. Ni wazi kwasasa mkoa huu unahitaji kiongozi atakae ponya madondo na majereha ya kiuchumi yaliyotokana na ghasia za kisiasa...
  3. B

    Mbunge Joseph Haule 'Prof. Jay' msemaji rasmi wa Kilosa

    29 Juni 2020, Mbunge wa CHADEMA mkoani Morogoro leo ameonesha sababu ya wananchi wa Morogoro siyo tu jimboni kwake Mikumi kumkubali kwa kusema wazi bila woga changamoto zinazoikabili mkoa wa Morogoro. Pia wananchi wameonesha kumkubali bila kujali vyama ikiwa mbunge anatetea maslahi ya ustawi...
  4. Rais Magufuli aweka Jiwe la Msingi Mahandaki Reli ya Kisasa

    Anatatua shida za Wananchi kijiji kwa kijiji Pia ataweka jiwe la msingi ujenzi wa reli ya kisasa kutoka kilosa hadi makutupora === Rais Magufuli amekwishafika eneo la uwekaji wa jiwe la msingi ambapo amepewa maelezo ya kina juu ya Mahandaki hayo na namna ambavyo yatakavyofanya kazi. Rais...
  5. J

    GE2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

    Wananchi wa kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoani Morogoro wamemuahidi Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Profesa Kabudi ni mzaliwa wa Kimamba na alisomea kijijini hapo kabla ya kufaulu na kwenda Mzumbe. Profesa Kabudi ametangaza nia kwa kusema... Mimi narudia...
  6. Unyama : Polisi yazuia kikao cha ndani cha Mbunge wa Mbeya Mjini , kilichokuwa na lengo la Kutoa shukrani , Ukumbi wapigwa kufuli

    Hii ndio taarifa inayozunguka Mbeya Mjini kwa sasa , watu waliofanya siasa peke yao na kuzunguka nchi nzima kwa miaka mitano bado wanaogopa vikao vya ndani vya Chadema , " chama kilichokufa "
  7. J

    Mbunge aliyehukumiwa kwa uhujumu uchumi na kulipa faini ashangiliwa na wanaccm kwa kutekeldza vizuri Ilani ya CCM!

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM. Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge...
  8. Mbunge wa zamani Lijuakali Aliyemwaga chozi bungeni akabidhiwa rasmi kadi ya CCM kwenye mkutano wa hadhara

    Huku viongozi wa upinzani nchini Tanzania wakikamatwa kwenye mikutano ya ndani , Msaliti Njaa Peter Lijuakali leo amekabidhiwa kadi ya chama chakavu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Kidatu wilayani Kilombero
  9. James Mbatia: UKAWA ilituachia mzigo wa kulipa deni la Tsh. milioni 91 huku wakijua tuna mbunge mmoja tu

    Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akizungumza katika kipindi cha CLOUDS 360 cha Clouds TV amesema kuwa UKAWA waliwafanyia uhuni sana NCCR-MAGEUZI kwa kuwalipisha deni la milioni 91 huku wakijua kabisa NCCR-Mageuzi wana mbunge mmoja tu. Pia James Mbatia amekana kuwa chama chake sio CCM B...
  10. GE2020 Boniphace Mwita Getere Mikononi mwa TAKUKURU. Ni Mbunge anaemaliza muda wake Bunda Vijijini

    Taarifa iliyofikia Meza ya Habari muda huu Mbunge wa Bunda Vijijini anaemaliza muda wake amekamatwa na TAKUKURU ambao wamemkuta Mbunge huyo amekusanya Wajumbe akiwagawia Fedha Tsh. Elfu 50, kwa kila Mjumbe na akiwa amewachinjia kondoo wawili kama kitoweo. Tukio hilo limetokea Kijiji cha Mugeta...
  11. Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli ------ UPDATE---- Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020. HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Nami niungane...
  12. Mbunge Nchambi na wenzake 2 wakiri makosa ya uhujumu uchumi na kulipa faini

    Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Suleiman Masoud Nchambi (CCM), pamoja na wenzake wawili wamekiri makosa dhidi ya kesi iliyokuwa ikiwakabili ya Uhujumu Uchumi, na kuamuliwa kulipa faini kila mmoja au kwenda Jela, ambapo wote wamelipa faini na kuachiwa huru. i/ Nchambi amekabilia na...
  13. Hii nchi haina usawa: Mbunge miaka mitano, mafao zaidi ya Tshs. 200M, mwalimu miaka 32 kazini, mafao Tshs. 70M, miezi sita hajalipwa

    Hii nchi haina usawa. Hii nchi haijapata kiongozi wa kuleta usawa ingalau kwa nusu tu miongoni mwa wananchi.... Tumesikia wimbo huu wa kinafiki kuwa, Rais John Pombe Magufuli ni Rais na kiongozi wa wanyonge, wananchi wa hali ya chini wa nchi hii.... Si kweli, ni uongo mtupu na ni propaganda za...
  14. GE2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

    Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo. Kila la heri watia nia.
  15. J

    Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

    Mbunge wa kuteuliwa mstaafu alhaj Bulembo amesema hana mkwe anayeitwa Zitto na kwamba " wao" wanafanya starehe zao vichakani hivyo hawezi kuwa mkwe katika familia yake. Alhaj Bulembo alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds 360 aliyetaka kujua kama Halima Bulembo ni mke wa Zitto na...
  16. Mbunge anajadili bajeti Youtube badala ya bungeni! Mwingine naye aliomba urais kupitia Youtube

    Karibu wiki nzima bunge lilikuwa linajadili bajeti. Mbunge Zitto Kabwe hakuonekana bungeni hata siku moja kuchangia mawazo. Sasa kaibuka na comedy ya hotuba ya kuchambua bajeti YouTube. Kesho kaitisha press conference eti kufanya uchambuzi wa bajeti. Hivi anajitambua? Mbunge uache shughuli nyeti...
  17. J

    David Silinde ni mbunge pekee aliyepongezwa na Rais Magufuli, CCM huko Momba mpokeeni kwa unyenyekevu!

    Najua pongezi za Rais Magufuli kwa mbunge wa CHADEMA aliyemaliza muda wake David Silinde hazitapokelewa na watia nia wengine wa Momba akiwemo Wakudadavuwa. Lakini kwa Silinde huu ni mguu mzuri kwa safari aliyoianza na asipopaparika anaweza kurejea bungeni kwa kishindo Maendeleo hayana vyama...
  18. Tuelimishane kuhusu Mbunge, kuvunjwa kwa Bunge na Baraza la Mawaziri

    Naomba Kujuzwa yafuatayo Rais anapofungwa Bunge, je Bunge ndio linakuwa limevunjwa rasmi kwa maana ya Ubunge wa Mbunge unakoma? ( kwa maana ninavyofahamu pamoja na mtu kushinda/kuteuliwa kuwa mbunge ubunge wange unaanza rasmi pale alipokasimiwa/apishwa rasmi Bungeni). 2. Kama Bunge...
  19. E

    Mbunge wa Busega, Dkt. Chegeni ataka Waziri Mkuu asiwe anajibu maswali ya papo kwa hapo Bungeni

    Leo mbunge wa jimbo la Busega anayemaliza muda wake mh. Rafael Chegeni waombe radhi wapiga kura wako, Maana baada ya wewe kutaka Waziri Mkuu asijibu maswali ya papo kwa papo bungeni, ilibidi Spika akushangae kwanza na baadae kumtaka Mwakyembe atoe darasa kwako mbele ya bunge. Baadaye Naibu...
  20. Kwani maisha bila Ubunge huwezi kuishi? Mbunge kwa miaka 25? Usiwe kupe

    MBUNGE MIAKA 25? USIWE KUPE 1995 Teddy Kilenza Magayane-CCM 61%Daniel Nsanzugwanko NCCR 33% 2000 Michael Mussati-CCMCCM haikurudisha jina la Nsanzugwanko 2005 Daniel Nsanzugwanko –CCM 56.1%Agripina Buyogela-NCCR 38.4% 2010 Agripina Buyogela-NCCR (54.58%Daniel Nsanzugwanko –CCM 38%...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…