Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amesema amemuengua Bonaventura Peter Ndekenja wa chama cha NRA aliyemtumia baruapepe akieleza nia yake ya kutaka kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sababu yeye si mbunge.
“Yeye si mbunge hivyo chama chake kilipaswa kuwasilisha jina lake...