mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  2. Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

    Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
  3. Ni halali mbunge kuajiriwa Ikulu?

    Leo katika hotuba yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samiah Suluhu Hassan amesema ya kwamba atampa kazi Mh Lukuvi ikulu asaidiane naye wakielekea kustaafu na pia kumpatia kazi nje ya mfumo wa kawaida Mh Lukuvi. Swali langu ni je katiba inaruhusu mbunge kuajiriwa ikulu nje ya uwaziri...
  4. M

    Picha: Mbunge wa CCM akiwa ameweka ugali aliopika juu ya karo la choo huku akifurahia. Kweli mtu ni afya

    Mahindi nayo yameanikwa juu ya karo la choo, hapa afya anajali kweli?
  5. M

    Kama 99.9% ya Viongozi wa Dodoma Jiji FC akina Mbunge Mavunde na Kunambi ni Yanga SC lia lia, leo mnategemea kabisa Yanga SC isishinde Goli nyingi?

    Dodoma Jiji FC kabla ya Kucheza na Simba SC kuanzia Msemaji wao, Mlezi wao Mkuu na Mbinge Antony Mavunde hadi Kiongozi wao Mwandamizi Kunambi walikuwa mara kwa mara wakizungumza, wakiitishia Simba SC huku wakiikamia ile mbaya Mechi husika. Je, mmeshajiuliza ni kwanini Viongozi hawa hawa...
  6. K

    Mbunge wa Arumeru, Dr. Pallangyo umetukosea sana Watanzania. Endelea Kuringa yana mwisho

    “Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki #LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd
  7. Prof Mark J Mwandosya: Inawezekana Mbunge au waziri kupata muda wa kuandika tasnifu?

    Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa.Nawafahamu mna uwezo mkubwa.Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda wa utafiti na kuandika tasnifu.Hata ya uzamili ni kazi sana.Swali kwa Vyuo Vikuu, je vigezo au viwango vimebadilika?
  8. Video: Maoni ya Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kuhusu Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla. Hebu chota busara hizi kutoka kwake
  9. Mbunge wa Mbogwe aliyedaiwa kuugua uchizi awaomba BAKWATA kumuombea dua

    "Vipo vyombo vimeibuka na kusema mimi Nicodemus Maganga ni kichaa, niliugua wiki chache zilizopita, ni kawaida kuugua , suala hili liliibuka na kwenye kipindi cha uchaguzi. Hivyo niwaombe ndugu zangu viongozi wa BAKWATA Mbogwe mniombee dua" Nicodemus Maganga, Mbunge wa Mbogwe...
  10. Fact Check: Chuo kilichompa udaktari wa heshima Mbunge Musukuma ni cha kitapeli, hakiko authentic

    Inasikitisha sana tunapoona viongozi waandamizi wa nchi hasa wabunge wakikubali kununua cheap doctorates kutoka vyuo vya kitapeli(rogue colleges). Hiyo inakupa picha kwamba hawa viongozi wetu hawajui hata kuangalia authenticity wakati kila kitu kipo online.Kwanza hiki sio chuo maana hakina...
  11. Mbunge wa Geita Vijijini atunukiwa Udaktari wa heshima, sasa kuitwa Dkt. Joseph Kasheku

    Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.”
  12. Naibu Spika Tulia anahangaika na mambo yasiyo na tija anaacha mambo ya Msingi

    Huwa namfuatilia mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia huyu pamoja na Ubunge ni Naibu Spika ni msomi mzuri wa Sheria. Lakini kiukweli akili ya kisiasa hana kabisa toka anajindaa kuwa Mbunge mpaka anakuwa Mbunge hakuna mambo ya maendeleo ya maana anayoyafanya. unamwona anaangaika na petty issues za...
  13. Baada ya kauli ya Mzee Kikwete ningekuwa Mbunge wa Mbeya ningefanya haya

    Akiwa jijini Mbeya Rais Mstaafu wa JMT Jakaya Mrisho Kikwete aliulaumu uongozi wa Mkoa wa Mbeya kwa kutokuwa serious kwa kutoa eneo la ekari 50 juu Kwa ajiri ya kujenga Tawi la chuo kikuu cha Dsm. Kusema kweli asante sana Rais Mstaafu Mhe Kikwete Kwa kuwaambia ukweli watu wa Mbeya. Watu wa...
  14. Mbunge wa Igunga na falsafa ya kazi na maendeleo

    IGUNGA: KAZI NA MAENDELEO Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa, ameungana na Wananchi na Mafundi kushiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa vya Shule za Sekondari. Serikali imelipatia Jimbo la Igunga Shilingi Milioni Mia Nane na Themanini (Tshs 880,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa...
  15. Mbunge wa Mbogwe aliyedaiwa kuugua uchizi yu mzima wa afya

    Kwa mujibu wa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mbongwe, Mobahe George amesema kuwa, mbunge wa jimbo hilo Nicodemas Maganga ni mzima na yupo mapumziko kwa sasa ndio maana hapatikani hewani na kwamba taarifa zilizoandikwa na gazeti la Jamvi la Habari ni za kupuuzwa hazina ukweli wowote...
  16. Kwa hoja hii ndoa kuvunjika kutofikishwa bungeni Mbunge wa Makete hatoshi

  17. Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

    Hii ni wake up call sasa kwa spika wao atake asitake ni lazima apimwe afya yake ya akili kama anastahili kuendelea kushika nafasi hiyo. Mkidharau ndio madhara mnakuwa na mtu ikulu chizi, bungeni mkuu wao chizi, sasa mnakuwa na Taifa la namna gani? Huu ni ushahidi wa machizi wengi bungeni ambao...
  18. Mzee Warioba: Siyo lazima Mbunge aitwe Mheshimiwa

    Mzee wetu Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba amesema kulazimisha watu wakuite wewe kuwa ni mheshimiwa mbunge, mheshimiwa waziri, mheshimiwa diwani huko ni kuweka matabaka kwenye jamii ya watanzania. Hii inapingana na Naibu Spika alivyogombana na Mbunge wa Mbeya Mjini Mbilinyi. Tulia...
  19. S

    Ludovic Utoh aunga mkono hoja ya kukagua deni la Taifa

    Kuna mjadala mzuri ulikua unaendelea kwenye chanel ya UTV ambapo CAG mstaafu Bwana Ludovic Uto ameunga mkono hoja za Wabunge wanaotaka ufanyike ukaguzi kuhusu deni la taifa. Pamoja nae alikua ni Professor Ngowi na Dr Bernie. Ludovic Uto ameenda mbali zaidi na kutaka ifanyike ukaguzi...
  20. Mbunge wetu Gwajima tunaomba kujua imekuaje uhamiaji kukamata mama ntilie na machinga pale mbuyuni

    Wakuu jana nilishudia askari wa uhamiaji wakifanya ambush kukamata wafanya biashara wadogo wadogo pale mbuyuni. Picha lilianza baada ya bus moja likiwa na watu walio valia sare za uhamiaji kufika km vile picha ya MAFIA VS NINJA likisdinidkizwa na gari ndogo. Walipofika waliwaweka chini ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…