mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mbunge Katani: Mwigulu umetutukana wabunge

    Mbunge wa Tandahimba, Katani amezungumza bungeni jioni hii akimlalamikia Waziri wa Fedha kwa kuwatukana wabunge kwamba kazi wanayoiweza ni uganga wa kienyeji na wala sio mambo ya uchumi.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge ashauri ajira za watumishi wa umma ziwe za mikataba

    Akizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi katika miradi mbalimbali kutokana na usimamizi na uwajibikaji mdogo wa baadhi ya watendaji wa Serikali...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kibaha Vijijini kubomolewa nyumba zao, Mbunge asema anapeleka mashtaka kwa Waziri Mkuu

    Baadhi ya Wananchi wa Matuga, Kibaha Vijijini Mkoani Pwani wamelalamika uamuzi wa kubomolewa kwa nyumba zao pasipokuwa na taarifa huku wakidai kutokuwa na tamko rasmi la taarifa kutoka kwenye mamlaka. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamedai zoezi hilo limefanyika Februari 5, 2023 na kutarajiwa...
  4. kyagata

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mulamula afurahia kupanda Coaster

    Dodoma. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Liberata Mulamula ametaja kilichomfurahisha kwenye ziara za kamati kuwa ni basi aina ya Toyota Coaster. Mulamula ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Februari 1, 2023 wakati akichangia taarifa za kamati, ambapo...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Musoma: CCM yaizawadia Shule kengele ya Kisasa

    Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi, Jumuiya ya Wazazi CCM Musoma imetoa zawadi kabambe ya Kengele ya kisasa aina ya Rimu la gari, kwa ajili ya kutumika shuleni hapo. Wazee hao wanaamini kwamba Wanafunzi wakisikia kengele hiyo watajua Kwamba serikali imeleta Maendeleo.
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kikao cha mbunge wa jimbo na wakuu wa shule (sekondari 27) za Musoma vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameomba kufanya KIKAO MAALUM na Wakuu wa Sekondari zote 27 za Jimboni mwetu. SEKONDARI 27: *25 za Kata/Serikali *2 za "private" (KATOLIKI & SDA) SIKU/TAREHE YA KIKAO: *Ijumaa, 3.2.2023 MUDA: *Saa 3 Asubuhi MAHALI: *Busambara...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbunge Ditopile atoa msaada kwa wanafunzi 1,000

    Wanafunzi 1,000 wanufaika na msaada wa vifaa vya shule vyenye thamani ya tsh. milioni 32 kutoka kwa Mariam Ditopile Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Dodoma. Mbunge viti Maalum Mkoa wa Dodoma anayetokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mariam Ditopile amewawezesha wanafunzi wenye...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Chwaka azungumzia miundombinu ya elimu - wilaya ya kati, mkoa kusini Unguja

    MBUNGE WA CHWAKA AZUNGUMZIA MIUNDOMBINU YA ELIMU - WILAYA YA KATI, MKOA KUSINI UNGUJA Mbunge wa Jimbo la Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Haji Mlenge katika kuonyesha utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 kupitia miundombinu ya Elimu katika jimbo la Chwaka ameonyesha miundombinu...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Singida Mashariki, Miraji Mtaturu aishukuru Serikali kwa mradi wa SWASH

    MBUNGE SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU AISHUKURU SERIKALI YA RAIS SAMIA KWA MRADI WA SWASH MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka kiasi cha Shilingi Milioni 245,535,791.86 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum UWT Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo kwa vijana wa Raja Sports Academy

    Mbunge wa Viti Maalum (UWT) CCM Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo (Mipira na Jezi) kwa vijana wa Raja Sports Academy iliyopo Kata ya Mtongani Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani. Hawa Mchafu(Mb) katika ziara yake ameungana na timu ya Madiwani wa Viti Maalum wakicheza...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Polisi wamepeleka hoja zao kwa John Heche wa CHADEMA ili awatetee basi kuna tatizo mahali, Heche siyo Mbunge

    Katika hotuba yake jana Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA Mh John Heche amesema polisi wameona madhara ya kutokuwepo wabunge wa Upinzani bungeni. Kwa maana hiyo polisi wamempa mh Heche hoja zao akazitetee. Kama ni kweli maelezo haya ya mh Heche basi kuna tatizo mahali. Heche hayuko katika...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Saashisha, Mbunge wa Jimbo la Hai, shule zako za msingi madarasa na nyumba za walimu yanaanguka kwa kuchakaa

    Jimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania. Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ofisi ya Mbunge wa Ludewa

    OFISI YA MBUNGE JIMBO LA LUDEWA Januari 21, 2023 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Joseph Kamonga akiambatana na Mweneykiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Ndg. Wise Mgina na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa Ndg. Gervas Ndaki wameupokea ugeni kutoka mamlaka ya bandari Tanzania (...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mbunge Jimbo la Ludewa - Joseph Kamonga

    Januari 21, 2023 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Joseph Kamonga akiambatana na Mweneykiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Ndg. Wise Mgina na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa Ndg. Gervas Ndaki wameupokea ugeni kutoka mamlaka ya bandari Tanzania (TPA) walio fanya ziara ya kikazi ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nicholaus Ngassa apongezwa na CCM wilaya ya Igunga kwa mchango wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi

    📍 Igunga, Tabora Habari Picha: Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga Ndg. Mafunda Temanywa kwa ajili ya kutambua mchango...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Hawa Mchafu kuwainua vijana kiuchumi, UWT-Pwani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Hawa Mchafu amewakabidhi Mashine ya kufyatulia Tofali vijana ili kuwainua kiuchumi vijana wa Kikundi cha Wazalendo wanaoishi Kata ya Mtongani, Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani. Vijana wa Kata ya Mtongani Wilaya...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Mbunge wa zamani auawa kwa shambulio la risasi nyumbani kwake

    Mursal Nabizada na mlinzi wake wote wameshambuliwa kwa risasi na kupoteza maisha Jijini Kabul ikiwa ni mwendelezo wa matukio ya mauaji Nchini humo hasa yakiwalenga Wanawake. Nabizada alikuwa Mbunge Mwaka 2019 hadi wakati Utawala wa Taliban ulipokabidhiwa mamlaka Agosti 2021, Wanasiasa wengi...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amefanya ziara kijiji cha Msula kata ya Misughaa kukagua miradi minee ya maendeleo

    MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu, Januari 13 2023,amefanya ziara kijiji cha Msula Kata ya Misughaa na kukagua miradi minne ya maendeleo inayotekelezwa kwenye kijiji hicho. Katika ziara hiyo aliyoambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ikungi Ikimbia Khangaa na viongozi...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ni chafu sana, Mbunge wetu hawezi kujua hilo ana mambo mengi

    Jana nilifuatilia mjadala ulioanzishwa na JF kuhusu maoni ya sisi Wananchi wa kawaida kwenda kwa viongozi wetu hasa Wabunge, kwanza niwapaongeze sana kwa hicho walichokifanya na ninawashauri wakiendeleza kwa kuwa kero zipo nyingi. Binafsi naamini wanasiasa ni watu wanaofuata upepo, kuna muda...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Mbunge wa jimbo na wakuu wa shule (headmasters) za Musoma Vijijini

    KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE (HEADMASTERS) ZA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina jumla ya Sekondari 27 ambazo: Shule za Sekondari 25 ni za Kata/Serikali Shule za Sekondari 2 ni za Madhehebu ya Dini (SDA & Katoliki) Mbunge wa Jimbo ataitisha KIKAO cha...
Back
Top Bottom