Afghanistan: Mbunge wa zamani auawa kwa shambulio la risasi nyumbani kwake

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Mursal-Nabizada.jpg

Mursal Nabizada na mlinzi wake wote wameshambuliwa kwa risasi na kupoteza maisha Jijini Kabul ikiwa ni mwendelezo wa matukio ya mauaji Nchini humo hasa yakiwalenga Wanawake.

Nabizada alikuwa Mbunge Mwaka 2019 hadi wakati Utawala wa Taliban ulipokabidhiwa mamlaka Agosti 2021, Wanasiasa wengi walikimbia Nchi kutokana na sababu za kiusalama lakini yeye alikuwa ni mmoja wa Wabunge wachache waliobaki Afghanistan.

Kaka wa Nabizada amejeruhiwa katika tukio hilo ambalo Polisi wamesema uchunguzi unaendelea.

=========

Former Afghan Lawmaker Shot Dead At Her Home

Former Afghan lawmaker Mursal Nabizada and her security guard were shot dead her home in Kabul early Sunday morning, according to Kabul police.

Nabizada represented Kabul in Afghanistan’s parliament from 2019 until the government was deposed by the Taliban in August 2021. She was one of the few female former lawmakers who remained in Afghanistan after the Taliban takeover.

Nabizada’s brother was also wounded in the attack, said Kabul police spokesman Khalid Zadran, who added that an investigation to determine who carried out the attack is underway.

The shooting took place around 3 a.m., local time on Sunday, according to local police chief Molvi Hamidullah Khalid.

Last week, at least five people were killed in an explosion near the Afghan Ministry of Foreign Affairs on Wednesday, according to police in Kabul.

“Rising insecurity is of grave concern,” the United Nations Assistance Mission in Afghanistan wrote in a statement condemning the attack. “Violence is not part of any solution to bring lasting peace to Afghanistan.”

Since the Taliban took control of the country, multiple attacks have claimed dozens of lives in the capital.

In September last year, a suicide bomber killed at least 25 people, mostly young women, at an education center in Kabul.

Earlier that month, six people including two Russian Embassy employees were killed in a suicide blast near the Russian Embassy.

In August, an explosion at a mosque during evening prayers killed 21 people and injured 33.

Source: The Guardian
 
Nchi IPO chini Yao lakini bado hakuna Amani
Hapo amani sio rahisi kuwepo, hayo ni mauaji ya visasi. Jamaa wana makovu ya utawala uliopita.

Ndugu zao waliuawa na kuteswa kipindi cha utawala uliopita na hao ndo walikuwa sehemu ya supporters ya utawala ule wakiwasaliti ndugu zao na kuungana na wageni.

Kupatikana amani sehemu km hiyo itachukua muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom