mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Janejelly James Ntate afanya Ziara mkoa wa Dar es Salaam

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Janejelly James Ntate amefanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya majukumu yake kama Mbunge wa Mkoa wa Dar es Salaam. Ntate alipata nafasi ya kuzungumza na watumishi wa Manispaa ya Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni katika...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rose Tweve Mbunge Viti Maalum mkoa wa Iringa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Rose Tweve ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Mufindi, Kata ya Saohill ambapo ameshiriki kikao cha Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Upendo, Mufindi. Ziara hiyo ni muendelezo wa kazi za Mbunge Tweve maeneo mbalimbali Mkoa wa Iringa kukagua...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai akemea vitendo vya ukatili wa kijinsia - Mkoa wa Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Mhe. Zaytun Swai ametoa salamu za pongezi kwa WanaCCM katika hafla ya kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Ndugu Halima Mamuya. Mhe. Zaytun Swai amempongeza Ndugu Halima Mamuya na amesema ni heshima kubwa kwa wanawake wa Tanzania na...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Oliver Semuguruka arahisisha usafiri kuwafikia wanaccm mkoa wa Kagera

    MBUNGE OLIVER SEMUGURUKA ARAHISISHA USAFIRI KUWAFIKIA WANACCM Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera CCM Mhe. Oliver Semunguruka ametoa Pikipiki 8 kwa Makatibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa Wilaya zote za kichama mkoani Kagera. Mhe. Oliver amesema kuwa amefikia hatua hiyo...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shanta gold mine kuanza kumimina dhahabu kuineemesha Ikungi, mbunge Mtaturu afunguka

    SHANTA GOLD MINE KUANZA KUMIMINA DHAHABU KUINEEMESHA IKUNGI, MBUNGE MTATURU AFUNGUKA SHANTA gold mine sasa Kumimina Dhahabu kuineemesha Ikungi. Ni baada ya Kusimama kwa muda mrefu takribani miaka 19 tangu kusimama kwake sababu ikitajwa kuwa ni baadhi ya Wanasiasa kuweka vikwazo vilivyomfanya...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki, Miraji Mtaturu zafanikisha ujenzi wa chuo cha VETA Ikungi

    JUHUDI ZA MBUNGE WA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU ZAFANIKISHA UJENZI WA CHUO CHA VETA CHA KISASA CHA BILIONI 2.4 IKUNGI. Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe. Miraji Jumanne Mtaturu mnamo tarehe 22 Februari 2023 amefanya ziara yake ya Kukagua Mradi wa ujenzi wa Chuo cha...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Iringa: Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve afanya ziara wilayani Mufindi

    MBUNGE WA IRINGA, MH. ROSE TWEVE AFANYA ZIARA WILAYANI MUFINDI MKOANI IRINGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amefanya Ziara Kata ya Saohill, Upendo, Wambi, Changarawe, Kinyanambo na Kata ya Boma. WANAWAKE WA Wilaya ya Mufindi wanasema Mhe. Dkt. Samia Mitano tena mbele ya...
  8. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Papa Francis aitaka Urusi kuacha vita vya kipuuzi na kikatili

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine. Wito huo ameutoa Jumatano mjini Vatican, katika hadhara yake ya kila juma, ikiwa ni kipindi kifupi kabla ya kutimia mwaka mmoja tangu...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Masache Kasaka afanya ziara ya ukaguzi miradi

    MBUNGE MH. MASACHE KASAKA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI MIRADI Mbunge wa Jimbo la Lupa-Chunya, Mhe. Masache Kasaka ameendelea na ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo iliyopokea Fedha za Mfuko wa Jimbo. Tarehe 21 Februari 2023 Mhe. Masache Kasaka ametembelea; 1. Kituo cha Afya-Matwiga, 2. Shule...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

    Hello Wadau.. Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200. Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake. Dkt. Musukuma amesema...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kikao cha mbunge wa jimbo na wakuu wa shule za Musoma vijijini - 2

    SEHEMU YA PILI YA TAARIFA YA KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI Sehemu ya Kwanza ya Taarifa ya Kikao hicho: Sehemu hii ilitolewa na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo. *Mahali inapopatikana ni kwenye TOVUTI ya Jimbo letu ambayo ni...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nicholaus Ngassa: Mkandarasi zingatia ratiba ya utekelezaji wa mradi

    MBUNGE NICHOLAUS NGASSA: "MKANDARASI ZINGATIA RATIBA YA UTEKELEZAJI WA MRADI" - JIMBO LA IGUNGA Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, amemtaka Mkandarasi wa Mradi wa Usambazaji wa Maji ya Ziwa Victoria kwenye Vijiji vya Kata za Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, Kining'inila...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza afanya ziara ya kimkakati

    MHE. JULIANA SHONZA, MBUNGE (UWT) CCM VITI MAALUM MKOA WA SONGWE AFANYA ZIARA YA KIMKAKATI Katika ziara yake iliyoanza mnamo tarehe 18 Februari, 2023 Mhe. Juliana Daniel Shonza alifika Wilaya ya Ileje na kubisha hodi kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ileje komredi Hassan...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nancy Nyalusi atoa shilingi Milioni 10 kusaidia ujenzi wa wodi ya wanawake Ilala Simba

    MBUNGE MHE. NANCY NYALUSI AMETOA SHILINGI MILIONI 10 KUSAIDIA UJENZI WA WODI YA WANAWAKE ILALA SIMBA. MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi ametoa Shilingi Milioni 10 kwa uongozi wa kijiji cha Ilalasimba kilichopo katika kata ya Nzihi kwenye Halmashauri ya wilaya ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki 6 na kukabidhi vifaa tiba jimboni Chalinze

    MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AGAWA PIKIPIKI 6 NA KUKABIDHI VIFAA TIBA JIMBONI CHALINZE Alhamisi tarehe 16 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Chalinze amasema; "Nimegawa Pikipiki kwa watendaji wa Kata 6 za Halmashauri yetu ya Chalinze, kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa Marumaru cha Keda, na...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina ndoto yako ya kuwa mbunge maarufu Tanzania imetimia

    Leo hii ukiulizwa mbunge maarufu Tanzania kwa kujenga hoja zenye mantiki hutakosa kumtaja mbunge Mpina. Amezichanga karata vizuri akatumia nafasi yake vizuri katika kipindi hichi wala hakuchagua kuketi upande wa walamba asali. Ameamua kusimama pamoja na wananchi wa Tanzania. Amezibeba kero...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Katani: Bashe na Mwigulu ni mawaziri mizigo. Wanaumiza wananchi. Amwaga machozi kwa kutukanwa kujadili uganga.

    Video hii hapa.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwatukana Wabunge na kutaka kumsingizia mbunge mwenzake uongo: Nchemba si amrahisishie tu mama kazi?

    Kwa namna suala Zima la Nchemba linavyozidi kwenda Deep na kwa namna Nchemba alivyotaka kuurubuni uongozi wa Bunge ili umwadhibu Mbunge aliyerejea kashfa yake kwa wabunge.Na kwa jinsi Spika alivyomkataa kiaina ingawa kiustaarabu sana. Na kwa Historia ya mahusiano ya Mwigulu na Jamii ya...
  19. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mbunge Katani: Mwigulu anadharau udaktari wa heshima

    Mbunge Katani amesema kitendo cha Waziri Mwigulu kudharau Phd za heshima amesahau Rais Samia Suluhu Hassana amepewa udaktari wa heshima kwa mageuzi makubwa aliyofanya nchini, Mstaafu Jakaya Kikwete alipewa udaktari wa heshima kwa kazi nzuri aliyofanya. Iweje Mwigulu yeye adharau Udaktari wa...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wabunge wa JMT, kama siyo sababu ya ukilaza, basi wana wivu kwa mbunge Mpina

    Ninachoendelea kukiona Bungen ni kile nilichowahi kusema humu, Asilimia Kubwa ya Wabunge wetu aisee ni Vilaza sana, na pamoja na ukilaza, wengi wao ukilaza unawafanya wamchukie yule mtu ambaye anaonekana ni Mwenye Upeo mkubwa. Jamani Ndugu zangu Wabunge, Kua Mbunge sio kupiga makofi, sio...
Back
Top Bottom