Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.
Katika kauli zake, Sangu...
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Mheshimiwa Miraji Mtaturu, amesema kuwa wapo baadhi ya watu wanaojaribu kuonesha tofauti na kutoshirikiana kisiasa, lakini ukweli ni kwamba wengi wao wanafanana kwa kauli na matendo.
Akichangia Bajeti ya Wizara ya Ujenzi, Mtaturu alisema:
"Mheshimiwa...
Umoja wa Wanawake Machinga Dodoma(UWAMADO) wamempongeza, Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa ujenzi wa soko la kisasa la Machinga Complex na miundombinu ya kisasa ya soko hilo ambalo ni la kipekee nchini.
Hayo yamesemwa jana wakati wa uzinduzi wa chama cha UWAMADO uliofanyika kwenye eneo la soko la...
Habari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu
Kuna waziri mmoja kenya ilitokea kupishana na waziri mwenzake sababu ya kuona raisi mambo yake.
Lile tukio la mdude mbeya ndio lilimtokea ila kwa vile alikuwa na mguu wa kuku alipambana nao ila walimchukua na kwenda kumtupa porini akiwa amekufa.
Kisa kikaanza hapo yani shaidi wa kwanza tena...
NEEMA LUGANGIRA - AKIBA YA CHAKULA, LISHE BORA NA VITA DHIDI YA UDUMAVU
https://m.youtube.com/watch?v=-CFktS9RDBY
Neema Lugangira mbunge wa viti maalum asasi zisizo za kiraia azungumzia mikakati ya Akiba ya Chakula ( food security ) ya Tanzania.
Udumavu uliokithiri katika kaya za kiTanzania...
Sabato Njema!
Waafrika wengi ni rahisi kuwaonea na kuwadhulumu kwa sababu hawana umoja. Hawapendani. Uoga mara nyingi husababishwa na kutokuwa na upendo wa dhati.
Kama Watanzania wangekuwa wanapendana Kwa dhati yote. Kusingekuwa na msamiati watu wasiojulikana.
Watu wasiojulikana ni matokeo ya...
Hivi kuna mbunge huko amewahusisha JWTZ kwenye azimio lililotolewa na watu wa ulaya kuhamasisha mabadiliko ya haki nchini hebu naomba JamiiCheck mnisadie kupata majibu.
Yani mtu amekushauri wewe jambo zuri na jema halafu wewe unaanza sijui JWTZ hivi unakuwa na akili timamu kweli ?
Nimesikia...
MBUNGE NDAISABA RUHORO AWASILISHA HOJA ZA MAAFISA UGANI BUNGENI
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro leo tarehe 09 Mei, 2025 bungeni jijini Dodoma amefikisha mahitaji ya maafisa ugani ili waendelee kuwahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi.
Katika maswali yake, Ndaisaba Ruhoro...
Kama anawashangaa wanasheria vivyo hivyo na wao wanamshangaa kwa kushindwa kujenga hoja na kuleta hisia zake za nyumbani.
Na nimshauri tu kwamba kaa mbali na hao watu, jamaa wakitoka arusha wakikuwashia moto utatafuta mlango wa kutokea.
Unaweza kuwa Mbunge lkn usijue hata principles za makosa...
Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na...
Mahesabu ya kisiasa yanaonyesha wale wabunge wa mchongo, viti maalum kupitia CHADEMA maarufu kama Covid 19 wamebakisha wiki chache sana za kuendelea kuwepo bungeni, wengi kama sio wote wameshakata tamaa ya kutoweza kurejea tena bungeni.
Wachache wao wameshaanza kuaga na wengine bado...
Wabunge mashabiki wa Yanga wamesikika wakisewma 'Hatuchezi' wakati akitambulishwa Rais wa Klabu hiyo, Eng. Hersi Said Bungeni ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo kwa...
Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi alivyomsonya Mwenyekiti wa Bunge wakati akichangia Bajeti ya Ujenzi baada ya kuambiwa muda wake wa kuchangia umeisha.
MBUNGE MARTHA MARIKI: AITAKA SERIKALI KUWEKA RUZUKU KWENYE MKAA MBADALA ILI WANANCHI WAUPATE KIRAHISI
"Nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya nchini Tanzania. Nampongeza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, Kamishna wa Madini na Watendaji wote wa Wizara ya Madini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.