Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao.
Nawatakia Amani ndugu zangu.
Vyombo vya Kenya Jana usiku vilitoa habari ya kuuliwa kwa Mbunge Were aliyepigwa risasi na mtu aliyekuwa anayeendesha pikipiki.
Tukio hili limetokea baada ya Mbunge huyu wa ODM kuliomba jeshi la polisi la Kenya kumpatia ulinzi kutokana na vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana kwa wiki kadhaa...
Mbunge wa Jimbo la Lupembe (CCM), Edwin Swalle, amesema ni makosa kuzuia uchaguzi au kuhamasisha watu wasishiriki kwa kuwa kushiriki uchaguzi ni haki ya kikatiba kwa kila Mtanzania.
Swalle ametoa kauli hiyo leo Aprili 30, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya...
Katika muda wa miaka 15 niliyokuwa mbunge miongoni mwa Wizara ambazo mijadala ya bajeti huwa ni vita ni Wizara ya Nishati tangu wakati inaitwa Nishati na Madini. Mwaka huu naona bajeti imepitishwa bila mikwaruzano yeyote. Nilipata kusema huko nyuma kuwa Waziri Dotto Biteko ni 'Simba mwendapole'...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema uamuzi huo unalenga kuendeleza jitihada zake za kuwatumikia wananchi kwa ufanisi zaidi.
Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja...
“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
MBUNGE ZUBERI KUCHAUKA ASHAURI TATHIMINI IFANYIKE GHARAMA ZA KUUNGANISHWA UMEME
Mbunge wa Jimbo la Liwale mkoani Lindi, Zuberi Kuchauka ameishauri Serikali kupitia Wizara ya Nishati kufanya tathmini kuhusu gharama za kuunganisha umeme kwa wananchi kwa kuangalia uwezo wao wa kifedha na sio...
Mbunge wa Emurua Dikirr, Johana Ngeno, alijikuta katika mvutano na polisi kufuatia tukio la vurugu lililosababisha vifo vya watu watano katika eneo la Angata Barrikoi, Kaunti ya Narok, Kenya. Tukio hilo lilitokea wakati wa maandamano ya wakazi waliokuwa wakipinga mzozo wa ardhi, ambapo polisi...
MBUNGE NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOJA KATIKA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI BUNGENI JIJINI DODOMA
Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara Akichangia Bungeni Jijini Dodoma wakati Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ikiendelea kujadiliwa...
Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga, ameonyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Tabora, ulioanza mwaka 2020 lakini hadi sasa haujakamilika.
Akizungumza bungeni katika kipindi cha maswali na majibu, Mwaifunga amesema kuwa kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka...
Serikali imeshauriwa kuweka bei elekezi ya uunganishaji wa umeme maeneo yote nchini ili kuwawezesha wananchi wa mijini na vijijini waweze kupata huduma hiyo.
Ushauri huo umetolewa leo Jumatatu Aprili 28,2025 bungeni Jijini Dodoma na Mbunge wa jimbo la Nyang'hwale Hussein Nassor wakati...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki...
Mbunge wa Irani anaishutumu Israel kwa mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas na kufichua maelezo mapya kuhusu kilichotokea jana:
Mohammad Saraj, Mbunge wa Irani, kwenye mlipuko kwenye bandari ya Bandar Abbas:
"Mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas haukuwa wa bahati mbaya. Kuna dalili za...
MBUNGE ESTHER MALLEKO AGAWA INCUBATOR KATA ZOTE ZA WILAYA YA ROMBO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametembelea Wilaya ya Rombo na kuzungumza na wanawake wa UWT huku akiwakabidhi Mashine za Kutotolesha vifaranga vya kuku (Incubator) kwa lengo la kuwaepusha...
Mdogo mdogo mama anaendelea kufikiwa:
Kwamba ni nani asiyeweza kuelewa umuhimu wa mwamuzi huru?
Ni Kailima, Mama, Muliro, Majaliwa au Tulia?
Hii nchi mbona ni yetu sote?
Wakuu!
Huyu ni Kondesta Sichwale, Mbuge wa Jimbo la Momba mkoa wa Songwe. Inasemekana baada ya Vijana maarufu Greengard kudai posho zao, madai yao yamepelekea Kondesta kuchukizwa na kumchapa kibao huku akitoa lugha chafu.
Je, huu si unyanyasaji na udhalilisha? Usawa uko wapi?
MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AIBANA SERIKALI UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SINGIDA
Serikali imeeleza kuwa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida inatarajiwa kukamilika ifikapo Januari 2027, ikiwa ni baada ya utekelezwaji kwa awamu tatu za mradi huo muhimu kwa huduma za afya mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.