mbowe

  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe aelekea Mwanza kuimarisha nguvu haki ya kudai katiba ipatikane

  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sabaya ataporudi uraiani kwa ushindi mkuu, Mbowe na wenzake watajisikia vipi?

    Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao. Mpaka sasa inaonekana prosecution walitumika vibaya ili wamharibie maisha yake ya kisiasa Sabaya. Yote hii ni kumpa furaha mwanasiasa Mbowe...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la Jacob Zuma

    Siku chache baada ya Jacob Zuma kujisalimisha Polisi kuanza kifungo cha miezi 15, Mahakama Kuu Nchini humo imetupilia mbali ombi lake la kuzuia kukamatwa kwake. Licha ya kujisalimisha Polisi, Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini amepinga kifungo chake na Mahakama ya Kikatiba ambayo ilitoa...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula ampongeza Freeman Mbowe kwa kutangaza hadharani kwamba Kaka yake kafa kwa Corona

    Mh Freeman Mbowe amesambaza video mitandaoni ikimuonyesha akiweka wazi kabisa ugonjwa uliomuua kaka yake Charles Mbowe, kuwa ni COVID 19, huu ndio uongozi wa kupigiwa mfano, Mh Mbowe ameamua kuweka wazi jambo hili ili kuweka ushuhuda wa uwepo wa Corona nchini Tanzania. Mbowe sasa rasmi ni...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

    Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe. Pia soma > Mbowe awataka wananchi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni bilionea pekee aliyebakia kwenye siasa za majukwaani. Je, atapigania Katiba Mpya hadi mwisho?

    Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema. Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba mpya au atatuacha njiani? Nawasalimu kwa jina la JMT.
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yaingia Kanda ya Unguja, Freeman Mbowe kuongoza kikosi kazi cha mafunzo

    Wakuu , Tunaomba radhi sana kutokana na usumbufu wa Taarifa zetu nyingi sana kuhusiana na Operesheni haki , mtusamehe sana , hatuna namna ya kufanya zaidi ya kuwahabarisha jambo hili muhimu. Leo tena kampeni hii muhimu imefika unguja ambako Abubakar Mbowe anatarajiwa kuongoza vikao vya mafunzo...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Waliomvamia Mbowe kumpiga na kilichotokea Kiuhalisia

    Sijui. Mimi huwa napenda kuyaangalia mambo kwa upeo wa tofauti kidogo. Mbowe ni kiongozi mkubwa tu kitaifa kwa CHADEMA. Najiuliza hiyo kuvamiwa kwake na kupigwa miguu lengo lilikuwa nini? Hospitali huwa mtu anayepigwa kwa magongo au kitu kikubwa mwilini majeraha yake yanafahamika. Kitaalamu...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

    Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii. Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kinachomponza Mbowe na genge lake ni kukosa elimu na kukariri kuwa siasa ni harakati

    Sio kila siku ni Jumamosi au sio kila zama zitabakia kuwa hivyo hivyo. Awamu ya nne chini ya Jakaya Chadema walifanya siasa za harakati kiasi cha kumtisha Jakaya kuwa hawezi kutawala nchi. Maandamano na operasheni zilitawala kiasi cha kumtikisa Jakaya. Pamoja na hayo kwa kiasi fulani harakati...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pemba: Freeman Mbowe atembelea Kaburi la Maalim Seif, amuombea dua

    Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif. Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pemba: Freeman Mbowe akipata kahawa kijiweni na wenyeji wake

    Kiongozi wa watu huchangamana na watu mitaani, hivi ndivyo walivyofanya wapigania Uhuru Maarufu wa Enzi zile
  13. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Mbowe hajaweka bayana hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya

    Freema Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Mbowe hajabainisha hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya Kazi mojawapo ya Kurasa za Mama Amon ni kutathmini siasa za kitaifa kwa kukusanya ushahidi kutoka vyanzo vya kuaminika, kuhakiki hoja za mfumo tawala na hoja za mfumo wa...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe azindua ujenzi wa Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Segerea

    Huu ndio ule mwendelezo wa ile kampeni ya kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi inayoitwa OPERESHENI HAKI , Ambayo tayari imeingia Kanda ya Pwani . Pichani : ni Mwamba mwenyewe akiwa jimbo la Segerea
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haiko tayari kupokea Ruzuku inayotokana na Kura za Wizi!

    Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema chama chake hakiwezi kupokea Ruzuku inayotokana na kura za wizi. Mbowe amesema Chadema ni chama cha watu waadilifu waliojazwa roho za uzalendo hivyo hawawezi kuwasaliti wananchi. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe mpaka sasa kwenye ziara ya kidigital hajauliza alipo Ben Saanane

    Hivi Ben hakuwa mtu wa karibu yake na msaidizi wake? Hivi Ben hakuwa mtu muhimu kwa chama chetu? Mbona sisikii kamanda mkuu akiuliza hatima ya huyu ndugu yetu? Kunani?
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yaingia Mlandizi , Freeman Mbowe aongoza Vikao vya Majadiliano

    Kama tulivyosema tangu awali ni kwamba Ile Kampeni ya kuamsha ari ya wananchi kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Pwani . Leo imepigwa Mkoa wa Pwani , Mlandizi , ambako Mwamba mwenyewe ameongoza vikao vya Mashauriano .
  18. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mbowe & CHADEMA: Kajipangeni Upya

    Kwako Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Ni wazi CDM mnapoteza focus maana Kama alivyosema E Lowassa mwaka 2015 kuwa Chama chenu ni wana harakati zaidi kuliko wanasiasa. Wanaharakati huenda na matukio wakati wanasiasa huenda na mikakati. Kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na...
  19. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Mbowe kumbuka Rais Samia ni mwenyekiti wa CCM

    Namshangaa Mbowe akimlaumu Rais Samia kuhusu kauli zake ambazo hawakutegemea Pili anataka waonane na mama, nikuulize Mbowe wewe ni gwiji la siasa unajitoa vipi ufahamu kwa kutokujua Rais huyu huyu ndiye mwenyekiti wa CCM kitaifa! Unategemea atawapa nafasi ya kutupa makonde, embu fikiria njia...
  20. Dam55

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli za Mbowe na Mdude ni wazi Ole Sabaya ataachiwa huru

    Ni suala la muda tu na kujipa subira kidogo tutajionea kwa macho yetu Mungu akitupa uzima. Jana tulishuhudia mh. Mbowe akitamka kauli tata zenye vitisho na amri dhidi ya Rais wa nchi. Swali jiulize kama Rais wa nchi anatamkiwa maneno kama yale hadharani je vipi kuhusu mkuu wa wilaya tena pale...
Back
Top Bottom