mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yaingia Mlandizi , Freeman Mbowe aongoza Vikao vya Majadiliano

    Kama tulivyosema tangu awali ni kwamba Ile Kampeni ya kuamsha ari ya wananchi kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Pwani . Leo imepigwa Mkoa wa Pwani , Mlandizi , ambako Mwamba mwenyewe ameongoza vikao vya Mashauriano .
  2. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mbowe & CHADEMA: Kajipangeni Upya

    Kwako Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Ni wazi CDM mnapoteza focus maana Kama alivyosema E Lowassa mwaka 2015 kuwa Chama chenu ni wana harakati zaidi kuliko wanasiasa. Wanaharakati huenda na matukio wakati wanasiasa huenda na mikakati. Kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na...
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe kumbuka Rais Samia ni mwenyekiti wa CCM

    Namshangaa Mbowe akimlaumu Rais Samia kuhusu kauli zake ambazo hawakutegemea Pili anataka waonane na mama, nikuulize Mbowe wewe ni gwiji la siasa unajitoa vipi ufahamu kwa kutokujua Rais huyu huyu ndiye mwenyekiti wa CCM kitaifa! Unategemea atawapa nafasi ya kutupa makonde, embu fikiria njia...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa kauli za Mbowe na Mdude ni wazi Ole Sabaya ataachiwa huru

    Ni suala la muda tu na kujipa subira kidogo tutajionea kwa macho yetu Mungu akitupa uzima. Jana tulishuhudia mh. Mbowe akitamka kauli tata zenye vitisho na amri dhidi ya Rais wa nchi. Swali jiulize kama Rais wa nchi anatamkiwa maneno kama yale hadharani je vipi kuhusu mkuu wa wilaya tena pale...
  5. JamiiForums Tanzania Nisaidieni umuhimu wa Katiba mpya kwa CCM na wananchi wasio na itikadi ya kisiasa

    Natamani niwe na mzuka na katiba mpya ila ari haipo kabisa na ninaona wanaotaka katiba mpya wengi ni wapinzani. Je, hitaji hili ni la kisiasa na si haki kama inavyotangazwa? Kwanini wanaCCM hawana mzuka na katiba mpya? Kwanini wananchi tusio na vyama hatuna maoni juu ya katiba mpya? Katiba...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Chadema, mmeshindwa na mtashindwa tena!

    Ni lini mh Mbowe na Chadema wameitisha mandamano ya kwenda kuwang'oa wabunge wake walioko bungeni,ambao anasema hawapo kisheria kwa mjibu wa katiba ya Chama anachokiongoza? Ni kivipi suala la katiba analishikia bango na kwa sauti kubwa ili hali sauti na nguvu kama hii anayotaka kuitumia...
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

    Wanaukumbi, Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini? Sisi Watanzania tumechagua...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunamkumbusha Rais Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi

    "Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

    Friends and Enemies, Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti? Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya, CHADEMA sio pekee wenye wananchi

    Kwa namna Mambo yanavyoenda, viongozi wa CHADEMA wanazidi kukosa njia sahihi za kushughulika na maswala badala yake wanaendelea kuzidisha uanaharakati hata pale harakati zisipohitajika Kwa watu makini wanafahamu kabisa jambo bora hutokana na fikra tulivu zisizo na purukushani wala marumbano...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

    Baada ya Rais kusema kuwa anataka apewe muda ili ajenge uchumi kwanza na mambo ya katiba na mikutano ya hadahara itafata baadae. Mh Mbowe leo amesema wazi kuwa hawatompa muda Rais samia na hawatakubali bali watafanya mikutano ya hadhara na watadai katiba kwa njia yeyote ile inayofaa na...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

    "Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA. Yawezekana, wewe na washauri wako hamjaelewa maumivu tuliyopitia kwa miaka 5 ya mtangulizi wako!! Na ndiyo sababu tulikuomba sana utusikilize mapema!! Kauli hii leo inatulaza na machozi!! Very very sad!!"-Freeman Mbowe
  13. JamiiForums Tanzania Ni wazi Hakimu Michael Mteite na Thomas Simba walitoa hukumu zenye utata dhidi ya Sugu na akina Mbowe

    Mwezi Februari mwaka 2018 Hakimu Michael Mteite wa Mbeya alimukumu Mbunge Joseph Mbilinyi (CHADEMA) miezi 5 jela kwa kosa la kumkashifu Rais wa Tanzania. Hukumu hiyo ilitenguliwa mnamo April 2018 na JAJI UTAMWA wa Mahakama Kuu Kanda ya Mneya baada ya Sugu kuwasikisha ombi la rufaa. Mnamo...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

    Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350. Zijenge ofisi makao makuu? Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki? Zisaidie mchakato wa katiba mpya? Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda? Zinunue vitendea kazi vya chama...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Mbowe, Katiba si muhimu sana bali tuombe Tanzania isimpate Rais Katili na Mwendawazimu

    "Kwa Madaraka makubwa aliyonayo Rais kutokana na Katiba iliyopo akiwa ni Rais mzuri haina shida, ila akiwa ni Rais Katili au Chizi anaweza kuipeleka nchi kubaya sana " Chanzo: BBC Dira ya Dunia Leo hii. Haya mnaoshupalia Katiba mpya na kutupigia Kelele zenu za 'Nongwa' kila Siku Mh. Mbowe hana...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu wahudhuria Mkutano wa vyama vya Kidemokrasia ukanda wa Afrika Mashariki Jijini Nairobi

    Pichani ni Mhe. Tundu Lissu akisalimiana na Mhe. Musalia Mudavadi wa Chama cha Amani National Movement cha nchini Kenya , walipokutana kwenye Mkutano huo Picha ya Chini ni Mwamba Mwenyewe Mh Freeman Mbowe akitoa mada kwenye Mkutano huo Muhimu wenye lengo la kukuza Demokrasia kwenye nchi za...
  17. JamiiForums Tanzania Bado Mbowe ni Kiongozi sahihi kwenye hizi nyakati za mwisho wa uhai wa CHADEMA

    BADO MBOWE NI KIONGOZI SAHIHI KWENYE HIZI NYAKATI ZA MWISHO WA UHAI WA CHADEMA. Najua mtashangaa sana kwa huu uzi wa leo. Ni kwamba kama akili kubwa nimeona niliweke hili suala la uenyekiti wa Mbowe. Kuna wanaoona ni sahihi yeye kuendelea kuwa mwenyekiti kwa maisha ya CHADEMA yaliyobakia na...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA ni jiko zuri la Viongozi, wengi wateuliwa

    Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa! David Kafulila, RC Mwita Waitara, N/Waziri Joshua Nassari, DC Fakii Lulandala, DC Albert Msando, DC David Silinde, N/Waziri, Vincent Mashinji, DC Mwambe, MB P. Gekuli, N/Waziri Shonza, MB Katambi, N/Waziri LijuaLikali, DC Kitila Mkumbo /Waziri Nadhani ni sahihi...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanamwona Mbowe wa kipekee (exceptional)?

    Nawasalimu kwa jina la Lowassa Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM. Whats so special about him?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Matunda ya Uwekezaji wa Mbowe yaonekana sasa

    Matunda ya maono mazuri ya gwiji wa siasa za upinzani nchini (Mwamba) Mh. Freeman Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kuwekeza kwa Rasirimali watu haswa wasomi vijana leo imekuwa na faida kubwa kwa nchi kutoa viongozi wengi vijana. Ikumbukwe ni yeye aliyeanzisha mpango wa kutembelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…