mbowe

  1. J

    Freeman Mbowe ni bilionea pekee aliyebakia kwenye siasa za majukwaani. Je, atapigania Katiba Mpya hadi mwisho?

    Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema. Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba mpya au atatuacha njiani? Nawasalimu kwa jina la JMT.
  2. Erythrocyte

    Operesheni Haki yaingia Kanda ya Unguja, Freeman Mbowe kuongoza kikosi kazi cha mafunzo

    Wakuu , Tunaomba radhi sana kutokana na usumbufu wa Taarifa zetu nyingi sana kuhusiana na Operesheni haki , mtusamehe sana , hatuna namna ya kufanya zaidi ya kuwahabarisha jambo hili muhimu. Leo tena kampeni hii muhimu imefika unguja ambako Abubakar Mbowe anatarajiwa kuongoza vikao vya mafunzo...
  3. Komeo Lachuma

    Kumbukumbu: Waliomvamia Mbowe kumpiga na kilichotokea Kiuhalisia

    Sijui. Mimi huwa napenda kuyaangalia mambo kwa upeo wa tofauti kidogo. Mbowe ni kiongozi mkubwa tu kitaifa kwa CHADEMA. Najiuliza hiyo kuvamiwa kwake na kupigwa miguu lengo lilikuwa nini? Hospitali huwa mtu anayepigwa kwa magongo au kitu kikubwa mwilini majeraha yake yanafahamika. Kitaalamu...
  4. Erythrocyte

    Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

    Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii. Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki...
  5. Idugunde

    Kinachomponza Mbowe na genge lake ni kukosa elimu na kukariri kuwa siasa ni harakati

    Sio kila siku ni Jumamosi au sio kila zama zitabakia kuwa hivyo hivyo. Awamu ya nne chini ya Jakaya Chadema walifanya siasa za harakati kiasi cha kumtisha Jakaya kuwa hawezi kutawala nchi. Maandamano na operasheni zilitawala kiasi cha kumtikisa Jakaya. Pamoja na hayo kwa kiasi fulani harakati...
  6. Erythrocyte

    Pemba: Freeman Mbowe atembelea Kaburi la Maalim Seif, amuombea dua

    Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif. Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na...
  7. Erythrocyte

    Pemba: Freeman Mbowe akipata kahawa kijiweni na wenyeji wake

    Kiongozi wa watu huchangamana na watu mitaani, hivi ndivyo walivyofanya wapigania Uhuru Maarufu wa Enzi zile
  8. Doctor Mama Amon

    Mbowe hajaweka bayana hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya

    Freema Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Mbowe hajabainisha hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya Kazi mojawapo ya Kurasa za Mama Amon ni kutathmini siasa za kitaifa kwa kukusanya ushahidi kutoka vyanzo vya kuaminika, kuhakiki hoja za mfumo tawala na hoja za mfumo wa...
  9. Erythrocyte

    Freeman Mbowe azindua ujenzi wa Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Segerea

    Huu ndio ule mwendelezo wa ile kampeni ya kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi inayoitwa OPERESHENI HAKI , Ambayo tayari imeingia Kanda ya Pwani . Pichani : ni Mwamba mwenyewe akiwa jimbo la Segerea
  10. J

    Mbowe: CHADEMA haiko tayari kupokea Ruzuku inayotokana na Kura za Wizi!

    Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema chama chake hakiwezi kupokea Ruzuku inayotokana na kura za wizi. Mbowe amesema Chadema ni chama cha watu waadilifu waliojazwa roho za uzalendo hivyo hawawezi kuwasaliti wananchi. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  11. Kamanda Asiyechoka

    Mbowe mpaka sasa kwenye ziara ya kidigital hajauliza alipo Ben Saanane

    Hivi Ben hakuwa mtu wa karibu yake na msaidizi wake? Hivi Ben hakuwa mtu muhimu kwa chama chetu? Mbona sisikii kamanda mkuu akiuliza hatima ya huyu ndugu yetu? Kunani?
  12. Erythrocyte

    Operesheni Haki yaingia Mlandizi , Freeman Mbowe aongoza Vikao vya Majadiliano

    Kama tulivyosema tangu awali ni kwamba Ile Kampeni ya kuamsha ari ya wananchi kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Pwani . Leo imepigwa Mkoa wa Pwani , Mlandizi , ambako Mwamba mwenyewe ameongoza vikao vya Mashauriano .
  13. Stuxnet

    Barua ya wazi kwa Mbowe & CHADEMA: Kajipangeni Upya

    Kwako Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Ni wazi CDM mnapoteza focus maana Kama alivyosema E Lowassa mwaka 2015 kuwa Chama chenu ni wana harakati zaidi kuliko wanasiasa. Wanaharakati huenda na matukio wakati wanasiasa huenda na mikakati. Kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na...
  14. Narumu newz

    Mbowe kumbuka Rais Samia ni mwenyekiti wa CCM

    Namshangaa Mbowe akimlaumu Rais Samia kuhusu kauli zake ambazo hawakutegemea Pili anataka waonane na mama, nikuulize Mbowe wewe ni gwiji la siasa unajitoa vipi ufahamu kwa kutokujua Rais huyu huyu ndiye mwenyekiti wa CCM kitaifa! Unategemea atawapa nafasi ya kutupa makonde, embu fikiria njia...
  15. Dam55

    Kwa kauli za Mbowe na Mdude ni wazi Ole Sabaya ataachiwa huru

    Ni suala la muda tu na kujipa subira kidogo tutajionea kwa macho yetu Mungu akitupa uzima. Jana tulishuhudia mh. Mbowe akitamka kauli tata zenye vitisho na amri dhidi ya Rais wa nchi. Swali jiulize kama Rais wa nchi anatamkiwa maneno kama yale hadharani je vipi kuhusu mkuu wa wilaya tena pale...
  16. BestOfMyKind

    Nisaidieni umuhimu wa Katiba mpya kwa CCM na wananchi wasio na itikadi ya kisiasa

    Natamani niwe na mzuka na katiba mpya ila ari haipo kabisa na ninaona wanaotaka katiba mpya wengi ni wapinzani. Je, hitaji hili ni la kisiasa na si haki kama inavyotangazwa? Kwanini wanaCCM hawana mzuka na katiba mpya? Kwanini wananchi tusio na vyama hatuna maoni juu ya katiba mpya? Katiba...
  17. P

    Mbowe na Chadema, mmeshindwa na mtashindwa tena!

    Ni lini mh Mbowe na Chadema wameitisha mandamano ya kwenda kuwang'oa wabunge wake walioko bungeni,ambao anasema hawapo kisheria kwa mjibu wa katiba ya Chama anachokiongoza? Ni kivipi suala la katiba analishikia bango na kwa sauti kubwa ili hali sauti na nguvu kama hii anayotaka kuitumia...
  18. Ritz

    Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

    Wanaukumbi, Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini? Sisi Watanzania tumechagua...
  19. Shujaa Mwendazake

    Mbowe: Tunamkumbusha Rais Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi

    "Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe
  20. THE BIG SHOW

    Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

    Friends and Enemies, Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti? Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya...
Back
Top Bottom