Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
Huku ni kupotosha umma.
"Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo...
Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe inavyoenda, kuna uwezekano wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kuwa ni mmoja wa mashahidi kwa upande wa serikali.
Inavyodaiwa kwenye hati ya mashitaka ya Mbowe, wakati...
Inasemekana kwamba aliyekuwa OCD wa Hai kipindi cha Uchaguzi ndiye amekuwa RPC wa Kinondoni na ndiye aliyemwambia Mbowe juzi walipomkamata kwa kumdhalilisha kwamba safari hii hachomoi watampiga na kesi ya Ugaidi.
Kama hili ni kweli kamanda Sirro unawezaje kutuaminisha kwamba Jeshi la Polisi...
Watanzania tuna utamaduni wa kujuana hivyo kama unamjua mtu ni vigumu sana kubadilisha msimamo wako
Mbowe kwa wakazi wengi wa Dar-es-Salaam wanajua na ni kati ya wale watu ambao wamejulikana kabla hata ya siasa. Mbowe tofauti na wanasiasa wengi kasoma Dar es-salaam, wazazi wake walikuwa...
Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo.
Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo...
Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015.
Hii mbinu ninaona italeta...
Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote...
Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.
Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu...
Habari zenu ndugu zangu.
Watanzania wenzangu ni wiki ya pili sasa toka mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwe, chama kimekuwa hakina muelekeo.
Kila mmoja ndani ya chama anatafuta njia ya kunufaika kupitia mgongo wa kesi ya Mbowe. Wapo wanaotaka kutumia ujinga wa wanachama wao kupiga...
ASKOFU MWAMALANGA ATUMA UJUMBE MZITO KUHUSU FREEMAN MBOWE!
"Mpendwa Askofu Mwamakula, nakutumia ujumbe huo ninataka usomwe na watu wote!
Kukamatwa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe na kubambikiwa Kesi ya Ugaidi ni kitendo cha kulibandika kinyesi Taifa la Tanzania mbele ya mataifa. Kwetu sote...
Mwanza. Baadhi ya viongozi wa Chadema waliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa, wamesimulia jinsi walivyokamatwa usiku wa kuamkia Julai 21.
Pamoja na simulizi hizo, viongozi hao wakiongozwa na mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche walisisitiza...
Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.
Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.
Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa?
Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo?
Mnaogopa nini...
Kwa sababu Wamarekani ni watu ambao wanapenda civil liberties,haki ,za raia,basi njia nzuri ya kumheshimu yule Jenerali aliyefika hapa jana ni kumwachia huru Mbowe.
Yule mtu inaelekea amekuja katika hii safari kwa sababu ameona nchi hii inaanza kuwa na intestinal problems.
Kwamba " Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.