Tundu Lissu ni Wakili muhimu kwenye kesi inayomkabili Mbowe, unapaswa kuja nchini bila kujali mazingira

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,205
42,067
Wsalaam wanajamvi,

Case ya Mbowe kuhusu ugaidi imekuwa na mvuto wa ina yake kabisa na wengi wamekuwa wakiitazama kwenye jicho la siasa kuliko kisheria pamoja iko mahakamani. Kwenye hili nami na kubaliana na wao wanao itazama kwa jicho la kisiasa hata kama imekwenda mahakamani na ni wazi kabisa ina wahitaji watu wanaozijua siasa za mahakamani na kutumia vyema siasa za nje ya mahamaka na kuzileta mahakamani.

Pamoja na mawakili wengi kujitokeza kusaidia kukabili mashitaka ya Mbowe bado ni ukweli ulio wazi kabisa umuhimu wa Tundu Lissu kwenye kesi za namna hii ni mkubwa sana sana na ni wakati sasa akaungana na wenzie wakina kibatala kukabiliana na case hii kwa kuwa walio ipeleka hii case wanayo dhamira kubwa sana.

Tunajua mashaka aliyonayo Lissu kuhusu usalama wake na mambo mengine lakini kwenye hili lazima atafakari kurudi ili kuunganisha nguvu kwenye kesi hii ya kiasisa kwani yeye kwenye siasa za mahakamani ni mweledi na katika hii case yeye ni mmoja ya watu muhimu sana tena sana.

Kesi hii ina umuhimu mkubwa sana kwa Lissu na nina hakika itaweka historia kubwa sana.
 
Na Kama ni gaidi Bora awaagize waje wafyeke mmoja baada ya mwingine waanze na igp na ndugai kuliko kutuhumiwa tuu Bora afanye kweli
 
Wsalaam wanajamvi,

Case ya Mbowe kuhusu ugaidi imekuwa na mvuto wa ina yake kabisa na wengi wamekuwa wakiitazama kwenye jicho la siasa kuliko kisheria pamoja iko mahakamani. Kwenye hili nami na kubaliana na wao wanao itazama kwa jicho la kisiasa hata kama imekwenda mahakamani na ni wazi kabisa ina wahitaji watu wanaozijua siasa za mahakamani na kutumia vyema siasa za nje ya mahamaka na kuzileta mahakamani.

Pamoja na mawakili wengi kujitokeza kusaidia kukabili mashitaka ya Mbowe bado ni ukweli ulio wazi kabisa umuhimu wa Tundu Lissu kwenye kesi za namna hii ni mkubwa sana sana na ni wakati sasa akaungana na wenzie wakina kibatala kukabiliana na case hii kwa kuwa walio ipeleka hii case wanayo dhamira kubwa sana.

Tunajua mashaka aliyonayo Lissu kuhusu usalama wake na mambo mengine lakini kwenye hili lazima atafakari kurudi ili kuunganisha nguvu kwenye kesi hii ya kiasisa kwani yeye kwenye siasa za mahakamani ni mweledi na katika hii case yeye ni mmoja ya watu muhimu sana tena sana.

Kesi hii ina umuhimu mkubwa sana kwa Lissu na nina hakika itaweka historia kubwa sana.
Thubutu, Mh lissu hakuna kuja , Dunia ni kiganjani , Mawakili wetu wasomi ,watakua wanawasiliana na kushauriana, hatuwezi peleka majeshi yetu yote vitani, Mwekiti yupo ndani, na makam mwenyekiti aje wambambikie kesi,

Mh lissu KWa Sasa ni mda anatakiwa kutuliza akili na kutoa mikakati tunaenda vipi , tunavuka vipi? Ila pia nafikili huko aliko halali,

Sio mda watesi watabaki na kupata aibu kubwa,
 
Mwambieni igp Sirro kwamba jiwe haja uawa na Mbowe. Bali kafa kifara kwa korona kwasabb aliendekeza ushirikina wa kujifukiza badala ya kutumia niia za kisayansi kupambana na korona.
 
Back
Top Bottom