Maoni: Freeman Mbowe akiachiliwa atafute hifadhi ya kisiasa ng'ambo

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
480
570
Huyu mzee ametoka kuzika ndugu zake wawili wa damu ndani ya mda mfupi.

Anapitia nyakati ngumu mno pengne kuliko mpinzani yeyote ndani ya nchi hii.

Anakabiliwa na kesi lukuki, uchumi wake binafsi umeporomoka, usalama wake u shakani.nk

Ana miaka 60.
endapo mwelekeo utakuwa ni huu sijui tu.

Kwa kuwa Mapambano ni popote.
ni heri mbowe atafute hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa ng'ambo kama lema na lisu walivyofanya.

Ndio, faida ni nyingi kwny hili kuliko changamoto zake.

Usalama wake ni sababu ya kwanza.vilevile anahitaji mapumuziko ya kimwili na mind.

Tatu, kuamua kwenda kuishi ng'ambo kutafikisha message kwa jumuiya kimataifa juu ya changamoto zinazoisibu opposition.

Lisu na lema wote ni political refugees.
kuishi kwao uhamishon hakumaanish kwamba bado tishio dhidi maisha yao linaendelea,
bali ni ku-convey ujumbe kwa jumuiya ya kimataifa iweke jicho lake kwny siasa za ndani
ili pawe na fair political ground.

Siasa ataendeshea hukohuko.
na hatakuwa wa kwanza kufanya hvyo tanzania na afrika.

Lisu yupo exile na siasa anafanya.namuonea huruma huyu mzee.
 
Jumuiya ya mataifa inasema hivi.

Hatutamuunga mkono adui yako kama tunachokitaka tunakipata kupitia wewe bali tutamuunga mkono adui yako kama ukitunyima tunachokitaka wakati yeye katuahidi kutupatia tunachokitaka kama tutakuangamiza wewe.

Mama anasema.

Ntawapa wakubwa wanachokitaka ili wasiungane na adui yangu kuniangamiza.

Ushauri wangu unasema hivi.

Mbowe aifute chadema ili wananchi tujifunze hasara ya kuishi bila vyama pinzani nchini. Hiyo itatufanya tuvipiganie huko mbeleni kama kitapatikana chama cha upinzani chenye nguvu kama chadema
 
Chadema sio ya Mbowe hawezi kukifuta, kile ni chama cha umma sio private company.
 
Wewe kwa akili yako ndiyo unaona kaporomoka kiuchumi, Ila mwenzio dili zake bado ni Billions.

Halafu kuhusu kukaa rupango kwake ni cheo, Manake ana elements za Uanaharakati, Umesahau enzi za Mwenda zake alilia Krisimasi na Mwaka mpya Lupango.

Mimi nahisi huenda ni moja ya Technical zake kwa External political sponsor ili avute mkwanja au ndiyo Kick ya KUMPA uenyekiti au ndiyo amepaza sauti ya kudai katiba, Maana huyu ni mkongwe.

Unapocheza mchezo LAZIMA ujue na Technical ukiona unaongoza kwa goli na muda unayoyoma unatakiwa kupoteza muda kwa kutoatoa mpira nje siyo kuongeza goli. Same to this case people will concerning with the source of him to be arrested.Manake yule Jamaa siyo Bwege.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom