mbowe

  1. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania John Pambalu: Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mbowe watakwenda kwa amani, kama Sirro amepanga kutupiga na atupige tu

    Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Pambalu acha kupotosha watu. Kesi ya Mbowe haina uhusiano na madai ya Katiba Mpya

    Huku ni kupotosha umma. "Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Nawasalimu kwa jina la JMT. My take; Huu utitiri wa mawakili siyo...
  4. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Je, Sabaya kuwa mmoja wa mashahidi kwenye kesi ya Mbowe?

    Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe inavyoenda, kuna uwezekano wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kuwa ni mmoja wa mashahidi kwa upande wa serikali. Inavyodaiwa kwenye hati ya mashitaka ya Mbowe, wakati...
  5. B

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, iko wapi taarifa ya Uchunguzi wa OCD wa Hai aliyesema Mbowe hatashinda Uchaguzi?

    Inasemekana kwamba aliyekuwa OCD wa Hai kipindi cha Uchaguzi ndiye amekuwa RPC wa Kinondoni na ndiye aliyemwambia Mbowe juzi walipomkamata kwa kumdhalilisha kwamba safari hii hachomoi watampiga na kesi ya Ugaidi. Kama hili ni kweli kamanda Sirro unawezaje kutuaminisha kwamba Jeshi la Polisi...
  6. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda, Waziri bora na wa mfano

    Ni mnyenyekevu Msomi Hajikwezi Mchapakazi. Anayebisha asikilize kipindi cha dk.45 ITV na radio one leo hii.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumshitaki Mbowe ni ngumu kuungwa mkono wa watu

    Watanzania tuna utamaduni wa kujuana hivyo kama unamjua mtu ni vigumu sana kubadilisha msimamo wako Mbowe kwa wakazi wengi wa Dar-es-Salaam wanajua na ni kati ya wale watu ambao wamejulikana kabla hata ya siasa. Mbowe tofauti na wanasiasa wengi kasoma Dar es-salaam, wazazi wake walikuwa...
  8. Informer

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Freeman Mbowe (CHADEMA) afungua shauri kupinga mashtaka dhidi yake

  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha IGP Sirro kutoa hukumu ya Ugaidi wa Mbowe huku kesi ikiwa Mahakamani ni Uhalifu. Napendekeza kesi hiyo ifutwe haraka

    Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo. Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Staili ya Mwigulu ya kuchora majina yake kwenye mawe na miti kutumika na CHADEMA kumtetea Mbowe

    Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015. Hii mbinu ninaona italeta...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe siyo gaidi kwenye mawe, kuta na majengo inatufundisha nini?

    Walianza kongamano wakakamatwa, wakaenda kanisani wakakamatwa, wamefanya mahafali wamekamatwa, wakenda ubalozini wakakamatwa, walipoandamana wakakamatwa sasa wanaandika kwenye mbao kila mtu asome wanachotaka kuieleza Dunia. Tusipuuze sauti yao, tusizibe masikio nakujifanya tumewadhibiti bali...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteua tarehe 5 Agosti 2021 kuwa siku ya kupinga mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe nchi nzima

    Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT Makongoro, Furahisha Mwanza lafanya ibada ya kumuombea Freeman Mbowe, wafuasi wa Chadema wafurika

    Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania. Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu...
  14. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

    Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa
  15. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Waliosema CHADEMA ni taasisi wala sio mtu walikuwa na maana gani?

    Habari zenu ndugu zangu. Watanzania wenzangu ni wiki ya pili sasa toka mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwe, chama kimekuwa hakina muelekeo. Kila mmoja ndani ya chama anatafuta njia ya kunufaika kupitia mgongo wa kesi ya Mbowe. Wapo wanaotaka kutumia ujinga wa wanachama wao kupiga...
  16. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamalanga: Mbowe kubambikiwa kesi ya ugaidi ni kitendo cha kuibandika kinyesi Tanzania mbele ya Mataifa

    ASKOFU MWAMALANGA ATUMA UJUMBE MZITO KUHUSU FREEMAN MBOWE! "Mpendwa Askofu Mwamakula, nakutumia ujumbe huo ninataka usomwe na watu wote! Kukamatwa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe na kubambikiwa Kesi ya Ugaidi ni kitendo cha kulibandika kinyesi Taifa la Tanzania mbele ya mataifa. Kwetu sote...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA wasimulia walivyokamatwa na Polisi

    Mwanza. Baadhi ya viongozi wa Chadema waliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa, wamesimulia jinsi walivyokamatwa usiku wa kuamkia Julai 21. Pamoja na simulizi hizo, viongozi hao wakiongozwa na mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche walisisitiza...
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini CHADEMA mpo wanyonge sana?

    Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango. Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao. Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa? Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo? Mnaogopa nini...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kama Jenerali wa Marekani amewasili nchini, kesi ya Mbowe itatazamwa upya

    Kwa sababu Wamarekani ni watu ambao wanapenda civil liberties,haki ,za raia,basi njia nzuri ya kumheshimu yule Jenerali aliyefika hapa jana ni kumwachia huru Mbowe. Yule mtu inaelekea amekuja katika hii safari kwa sababu ameona nchi hii inaanza kuwa na intestinal problems. Kwamba " Kama...
  20. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Balozi za Marekani, Uingereza, EU na Canada hazijatoa tamko lolote kuhusu kukamatwa Mbowe?

    Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli...
Back
Top Bottom