mbowe

  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusidai katiba kwanza, tukiipata ndio twende kuandamana Mbowe aachiwe huru?

    Mimi kama mfuasi namba moja wa Chadema nalaani uonevu mkubwa wanaofanyiwa viongozi wangu na chama dharimu cha CCM, na njia pekee ya kupambana na hili ni kupata katiba mpya. Sio kupata katiba mpya tu bali tuipate mapema. Nawashauri viongozi wangu wa chama, hasahasa Mnyika na Lissu waweke...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ikae meza moja na Vyama vya upinzani

    Mimi ni mtu wa kawaida na ni Mtanzania. Kesi ya Mbowe ndiyo sasa imechukua nafasi kubwa katika mijadala baina ya wanannchi, kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya ndani na nje. Sisi sote ni Watanzania na tunatakiwa tupendane, tushikamane, tuwe wamoja bila kujali itikadi za vyama...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kiusalama kesi ya Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani ili kuepusha mkusanyiko

    Teknolojia iko mbele sana na tunaipongeza mahakama kwa kuendesha kesi kimtandao. Kwa kuwa ugaidi ni jambo zito sana linalohatarisha usalama wa nchi, na hatuna uhakika kama magaidi wote wamekamatwa, ni vyema kesi ya mtuhumiwa wa ugaidi, Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani. Naona...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haitashuka kama mana jangwani. Mapito ya Mbowe na CHADEMA ndio njia yenyewe chungu yenye shubiri lakini yenye tija

    Siku zote watawala hawataki kugawana power na wengine wao wangependa kuhodhi power hiyo milele. Mungu fundi akaweka kifo na sisi wanadamu tukajiwekea katiba. Rais aliyepita Magufuli alitufundisha vizuri sana umuhimu wa katiba Bora. Aliwaambia wazi wakurugenzi nikulipe mshahara nikupe gari...
  5. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la Mbowe, vyombo vya Dola mmeitwisha zigo Serikali. Hivi hamjui nini?

    Bado tunalia sana na weledi wa vyombo vyetu vya Dola hasa jeshi la polisi na TIS. Tunajua kua lengo kuu la kumsumbua Freeman Mbowe si kesi ya Ugaidi wala uhujumu uchumi, lengo kuu ni kuzima Mjadala wa katiba Mpya. Kwenye hili weledi umekosekana na mmeitwisha serikali mzigo utakaoisumbua sana na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

    Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM. Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa Jana kutokana na tatizo la kimtandao. Itakumbukwa mwanzoni mwa wiki hii Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP...
  7. Mystery

    JamiiForums Tanzania Dunia imeanza kuelewa ni kwanini CHADEMA wanapigania kufa na kupona Katiba Mpya

    Hivi sasa vyombo mbalimbali vya kimataifa vya habari vya nje kama vile vya CNN, Aljazeera, BBC na vingine vingi, "headlines" ya habari zao ni kukamatwa na Jeshi la Polisi nchini kwa Mbowe na "kubambikiwa" kesi ya ugaidi kwa kosa tu la kupigania Katiba mpya ya nchi hivi sasa. Vile vile...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kama akikutwa na hatia chairman Mbowe kufungwa miaka 15-20

    Kati ya makosa anayoshitakiwa nayo Mbowe mojawapo ni kufadhili ugaidi. Japokuwa anashitakiwa kwa makosa mengine lakini hili ndio kosa pekee linalomkabili yeye peke yake. Yale mengine ya kupanga njama za kufanya ugaidi ameundanishwa na watuhumiwa wengine. Kwa mujibu wa kifungu cha 13 cha POA...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe hayuko peke yake, Pongezi kwa wote

    Salamu zitakuwa zimewafikia kuwa mheshimiwa Mbowe hayuko peke yake na hatakuwa peke yake. Funzo kubwa kwa makamanda limetoka kwake wakili msomi Peter Kibatala: "Kuwe na mkakati rasmi wa mapambano ambapo tutakuwa sote na wahanga wetu katika raha na katika shida." Kama ilivyo kwa kamanda Mbowe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

    Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi. Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi. Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tambueni Tanzania ni dola huru, Marekani haina mamlaka kutetea uhalifu wa wanasiasa kama Mbowe

    Mnataka kutoa macho kuwa ziara ya Waziri wa masuala ya siasa wa Usa Ms Nuland kama nafasi ya kupenyeza kilio chenu cha uongo kuwa kuna ukiukwaji wa haki za kibinadamu na ugamizwaji wa haki za wanasiasa. Huku mkitolea mfano ishu ya mwenyekiti Mbowe. Tambueni tu kuwa hili ni taifa huru na dola...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Freeman Mbowe asifikishwe Mahakamani Kisutu leo. Kesi kuendeshwa kwa njia ya Video

    Salaam Wakuu, Ni rahisi ngamia kupenya kwenye Tundu la Sindano kuliko Freeman Mbowe kufikishwa Kisutu leo. Chadema Wapo Viunga vya Kisutu kusubiri japo wamuone Mwenyekiti wao. Wajiandae Kisaikolojia kutomuona. Ila kesi haijaahirishwa. Tuendelee kufuatilia kwa karibu ===== UPDATES; =====...
  13. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

    Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani. Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Maoni: Freeman Mbowe akiachiliwa atafute hifadhi ya kisiasa ng'ambo

    Huyu mzee ametoka kuzika ndugu zake wawili wa damu ndani ya mda mfupi. Anapitia nyakati ngumu mno pengne kuliko mpinzani yeyote ndani ya nchi hii. Anakabiliwa na kesi lukuki, uchumi wake binafsi umeporomoka, usalama wake u shakani.nk Ana miaka 60. endapo mwelekeo utakuwa ni huu sijui tu. Kwa...
  15. BAK

    JamiiForums Tanzania Tumtangulize mbele Mwenyezi Mungu ~ Mbowe

  16. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Zitto na Mbatia wamtembelea Mbowe katika Gereza la Ukonga

    Kiongozi wa Act -Wazalendo na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi ndugu Mbatia wamemtembelea Mbowe na kumtia moyo juu ya mapambano ya demokrasia. Walimtembelea katika Gereza la Ukonga na Mhe. Zitto akachukua nafasi hiyo kumpa zawadi ya chakula cha ubongo Chanzo Act -Wazalendo
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kutiwa nguvuni Mbowe isiwe sababu ya kukata tamaa. Tujipange tuwe na CHADEMA isiyokuwa mali ya watu

    Najua ukweli wangu huwa unawachukiza. Lakini fitina kwangu mwiko nitasema kweli daima. Chama chetu ni mali ya watu binafsi. Ni mali ya watu ambao wakiwa hawapo kila kitu kinakwama. Sasa Chairman yupo kunyavu. Kila kitu kipo likizo. Tusikate tamaa tuabadili mfumo wa Chama chetu. My take...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

    Dear Mr. IGP, Esq; Simon Sirro 1. When a matter is in Court, U are no longer the spokesperson in terms of the charges, or the evidence to be adduced in that regard. U, and those subordinate to U, of whom we will cherish the opportunity to cross-examine thoroughly, are just witnesses. The DPP's...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe zimeonesha picha kamili CHADEMA sio chama makini, kimejaa wapiga kelele

    Kama kweli chama makini lazima kiwe na watu makini basi Chadema ni chama mfu. Hakina watu makini kimejaza wapiga kelele wasiojitambua. Mwenyekiti wao amepata tuhuma, tena tuhuma nzito. Wao kama wanajumuia wa Chadema tulitalajia watupe mrejesho kuwa Mbowe kama chairman na mfanyabiashara mahiri...
  20. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe kesho: Kisutu hapatatosha, maandalizi yanaogofya

    Kesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai. Kwake binafsi, Mbowe anashtakiwa kwa mashtaka ya kula...
Back
Top Bottom