mbowe

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa akamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuhamasisha maombi kwa ajili ya Mbowe

    Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi kwa wanachama wa Chadema wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kumuombea Freeman Mbowe , aliyewekwa gerezani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Renatus Nkwande asikitishwa na uongo wa Polisi kuhusu wana CHADEMA waliokamatwa ndani ya Kanisa

    Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20. OCD asubuhi ya leo...
  3. bahati93

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya na Mbowe ni makutano

    Habari watanzania, watanzania wapenda amani. Leo Jtatu nimeona nisiwache wanyonge hivi ni bora nitie neno kidogo kwenye hili Sakata la Mbowe sambamba na Sabaya. Maneno yapo mengi ya kusema lakini maneno bora nayoyaona ni haya “ HISTORY REPEAT ITSELF UNTIL LEARNED”. Msingi wa kuchukua msemo huo...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Mwanza mbaroni kwa sababu ya kumuombea Kamanda Mbowe

    Katibu wa Kanda ya Victoria Zacharia Obad pamoja na viongozi na wanachama kadhaa wamekamatwa na Polisi walipohudhuria misa leo Agosti 15, 2021 katika Parokia ya Kawekamo, Mwanza kumwombea mwenyekiti wa chama Mhe. @freemanmbowetz Tutaendelea kufuatilia tutatoa taarifa zaidi. https://t.co/P7Euv1cI2S
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro na wenzako kuna la kujifunza kutoka kwenye kisa cha Nelson Mandela

    ALIYEJISAIDIA HAJA NDOGO JUU YA KICHWA CHANGU NIKIWA GEREZANI” Nelson Mandela: “Baada ya kutawazwa kuwa rais niliwaomba Baadhi ya walinzi wangu wa karibu kutembelea mgahawa fulani mjini ili kupata chakula cha mchana. Tulifika kwenye mgahawa huo baada ya matembezi mafupi na kuagiza chakula”...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kesi ya Mbowe ni ya kitaifa au kimataifa?

    Nimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya Kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe. Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo. Ndio nauliza hii kesi ya...
  7. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Mbona Mbowe amesahaulika mapema hivi?

    Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hivi sabaya akisema kwamba "Hata mbowe alishinda ila nilitumwa nihakikishe anatangazwa wa ccm"! Itakuwaje.

    Nimewaza tu jamani. Mana sabaya anajua siri nyingi sana na katika watu waliokuwa hawajulikani au watu wasiojulikana wajati ule tayari yeye ni mmoja wao na amejifunua tayari
  9. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Tufute vyama vyote vya siasa tuanze upya.

    Tuanze na CCM chama ninachokipenda. Yaani CCM, ilikua mbovu kweli wakati mimi nakua. Siku zote hizo nilikua najipa moyo kwamba ndani ya CCM kuna watu wazuri na tutajirekebisha tu mimi mwenyewe nikiwemo. Alipoichaguliwa Magufuli nikaona chama ndo kimepoteza muelekeo kabisaaaa, lakini watu...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Mbowe wafungua kesi kuhusu Taasisi moja Kubwa nchini kuingilia Uhuru wa Mahakama

    Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu, ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao kutokana na ukubwa wa Taasisi iliyofanya hivyo. Wanaomba jambo lililofanywa na Taasisi hiyo kubwa likapate...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

    Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo. Ugaidi katika nchi ni jambo baya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA fanyeni haya ili Kesi ya Mwenyekiti wenu Taifa, Mbowe iwe rahisi kumalizika naye pia akapumzike

    1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama 2. Punguzeni Vitisho 3. Punguzeni Matusi 4. Punguzeni Mikakati ya Fujo 5. Punguzeni Kuhamasishana 6. Punguzeni Kukamia Kukomoa 7. Punguzeni Propaganda za hovyo 8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno 9. Punguzeni kuwa na Viherehere 10. Punguzeni kulalamika...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa, na limeahirishwwa hadi Agosti 27 litakaposikilizwa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe alitolewa Bungeni kwa kusema COVID-19 ipo. Leo yupo Magereza kwa kudai Katiba Mpya, mimi ni nani nisimuunge mkono?

    Mwamba Mbowe aliposema covid ipo serikali ilimwandama Hadi yeye na wenzake qakatolewa Bungeni na kukatwa posho kisa wameenda kinyume na mfalme aliyekuwepo. Naamini Wakati anapambana kuhusu taadhari ya covid Hawa waliochanjwa leo walikuwa wafuasi wake ila awakutaka kutoka adharani nakusema kwamba...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mahasimu wa CHADEMA, Mbowe na Chanjo tukutane hapa

    Baada ya kuchukua muda kufuatilia maoni na mitizamo ya wajumbe mbalimbali kiroho safi, nimejiridhisha pasi na shaka yoyote kuwa: "Pana wajumbe wenye kujawa na hasira kali isiyokuwa na maelekezo kuhusiana na Mh. Mbowe, Chadema, Chanjo za Corona na tahadhari zake." Wajumbe hao wakisikia moja...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Sijasikia nguli yoyote wa Sheria akijinasibu kumnasua Mbowe. CHADEMA sio kama NCCR ya akina Marando

    Tukubali ukweli tu kuwa chama chetu hakina watu mahiri na makini kama enzi za akina Marando wa Nccr mageuzi. Kesho mwamba ataletwa Kisutu na kisha kusomewa Commital. Naona wanasheria wa mwamba wanalalamikia kukamatwa kwake lakini hawajasema kama watamchomoa,means wamekubali yaishe. Enzi zile...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kesi ya 'Ugaidi' inayomkabili Freeman Mbowe kuendelea tena Ijumaa hii, Wanachama wote wa CHADEMA Mnakaribishwa Mahakamani kufuatilia

    Mwamba wa siasa za Tanzania usiotikisika , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadhi Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho anafikishwa tena Mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi waliyomtungia ya Ugaidi . Natoa wito kwa wananchi wote na hususani ni wanachama wa Chadema...
  18. Mtyela Kasanda

    JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kituo Mkurugenzi wa Rungwe ni kwa kushindwa kuwasimamia anaowaongoza

    Tunaoifahamu Halmashauri ya wilaya ya Rungwe tunajua Loema Peter hatoshi kuwa kiongozi. Ilikua ni ajabu kwa yeye kuendelea kuwepo kwenye mkeka baada ya madudu yaliyofanyika kipindi chake. Lakini hayo yamepita, kazi njema katika kituo chako kipya. Kwako Ndugu Mchau, waangalie hao wa chini...
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Minong'ono ya Mbowe kuhusishwa na kushambuliwa kwa Lissu ni mingi, isipuuzwe na Vyombo vya Usalama

    Hili suala na wao wanalijadili kumbe: Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi...
  20. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za ugaidi wa Mbowe "una-doubt" umakini wa Vyombo vya Usalama vya awamu iliyopita

    Nikiitazama hii picha, Nikitazama video nyingine za mtuhumiwa Mbowe akihutubia taifa na sehemu mbalimbali ambazo kulikuwa na viongozi wa kitaifa, kiserikali,kitaasisi, kidini na kisiasa napata tabu sana kufikiri walikuwa hatarini kiasi gani IKIWA Freeman Mbowe alikuwa ni Gaidi kweli. Walinzi...
Back
Top Bottom