mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake kuanza kusikilizwa Ijumaa na Jaji Mustapha Siyani

    Kesi Na.16/2021, Makosa ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake inayomkabili mwenyekiti @freemanmbowetz na wenzake 3, itaanza kusikilizwa Ijumaa ya wiki hii, katika Mahakama Kuu, Division ya Uhujumu Uchumi na Rushwa. Kesi hiyo, itasikilizwa na Jaji Mustapha Siyani.
  2. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe ni nyepesi kuliko mtu aliyeiba simu Kariakoo

    Hayo si maneno yangu,ni maneno ya Wakili Msomi ingawa lipo katazo la Mh wa mjengoni kwamba tusitumie maneno wakili Msomi. Ikiwa kesi ya Mh Mbowe ni nyepesi kuliko ya kibaka aliyekwapua simu Kariakoo kwanini Serekali kupitia ofisi ya DPP isiiondoe kukwepa kuaibika siku za usoni ?. Nimemsikiliza...
  3. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kisheria watolewa kufuatia kujiondoa kwa Jaji Elinaza Luvanda kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi wa Freeman Mbowe na wenzake..

    Kufuatia kujitoa kwa Jaji Elinaza Luvanda anayesikiliza shauri linalowakabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake watatu katika kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi iliyoko mahakamu kuu DSM, baada ya mshitakiwa namba 3 Freeman Mbowe kuonesha "kutokuwa na imani" naye, wengi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

    Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Freeman Mbowe na wenzake, kesi kuendelea ikipangiwa Jaji mwingine

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inaendelea leo kwenye mahakama ya mafisadi. Pia soma > Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6 Mungu ampe wepesi mwanasiasa huyu nguli, amen Freeman Mbowe...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Baada ya Jaji Luvanda kutupa mapingamizi yote yaliyotolewa na Mawakili wanaomtetea Mbowe na wenzake, Mbowe amesimama na kumtaka Jaji Luvanda ajiondoe kuendesha kesi hiyo kwani ameonyesha upendeleo na taarifa zinasema ana maelekezo ya kupindisha sheria ili amfunge Mbowe na wenzake. Jaji Luvanda...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatetea ajabu hata wao hawachanji

    Chadema kimekuwa kimejinasibu kuwa ni chama chenye wafuasi wengi. Na wakati mwingine kimekuwa kikijitangaza kuwa kina wafuasi kuliko chama kongwe nchini na barani Afrika ukitoa ANC cha Afrika Kusini na MPLA cha Angola mnaweza mkanirekebisha wajuvi wa historia. Hivi karibuni viongozi wa Chadema...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe akitoka Mahabusu, atasema, "nimewasamehe, ila mapambano yanaendelea"

    Huu ndio utabiri wangu siku Mbowe anatoka Mahabusu. Atazungukwa na Media za kitaifa na kimataifa na ujumbe wake utakuwa ni huo au wenye kufanana na huo. Historia ya mapambano ya kudai Katiba Mpya inazidi kuandikwa, na picha za Mbowe kuwa Mahakamani na za kuachiwa huru au hata kufungwa gerezani...
  9. JamiiForums Tanzania Maombi kwa Ajili ya Freeman Mbowe kuvurumishwa kwa siku mbili mfululizo , ni kufunga na kuomba

    Hii ndio taarifa ambayo watu wote wapenda haki mnatakiwa kuifahamu , Ikumbukwe kwamba kumuombea Mbowe ni kuiombea nchi pia , ni kuomba haki itawale nchini na ni sawa na kuombea mafanikio ya KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI . Maombi haya Mazito yatavurumishwa kwa siku mbili , Tarehe 7 na 8...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Mbowe kuachiwa na siasa za Tanzania kuelekea 2025

    Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama. Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe hawezi kushinda hii kesi. Rais Samia amsamehe bure

    Hii kesi ni kesi ambayo wanataka kujadili mambo madogo tu ambayo hayana umuhimu wowote kwa taifa. Ikumbukwe alikuwepo Magufuli ambaye alikuwa mpole sana kwa raia wanyonge lakini mkali sana kwa mafisadi, mkali sana kwa wapinzani. Tumeona mambo ya ovyo yaliyokuwa yanawafika wapinzani...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wahisani wanasubiri hukumu ya Mbowe na wao watoe hukumu yao kimyakimya au vinginevyo

    Kitendo cha Wahisani/Wadau wetu wa Maendeleo kuhudhuria kesi ya Mbowe lengo lilikuwa ni kutuma ujumbe kuwa kesi hii tunaofuatili na tunasubiri kuona mwisho wake(hukumu itakuwa ni ipi). Baada ya hukumu kutolewa, ni wazi na wao wataamua nini cha kufanya na kwakuwa hawezi kuhoji maamuzi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kama ni gaidi apelekwe gereza la Gwantanamo?

    Wamarekani waliposhambuliwa na magaidi haraka haraka walitunga sharia kali za kupambana ugaidi na waliziingiza haraka katika sharia za kimataifa, haitoshi walimwaona gaidi kama kirusi cha hatari kuzidi cha Korona, fasta wakajenga gereza mbali sana nje ya nchi yao kule Cuba gereza la noma...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kwanini atashikiliwa kwa Muda Mrefu

    Kwa mujibu wa katiba yetu ambayo ina halalisha uwepo wa muhimili uliojichimbia zaidi, mahakama ni sehemu ya chombo cha dola. Ni kwa sababu hiyo japo mahakamani kulipaswa kuwa ni sehemu huru na kimbilio ambako haki ingetegemewa kupatikana si nadra kwa polisi au mamlaka kutishia kuwapeleka watu...
  15. JamiiForums Tanzania Je unamfahamu Jeremiah Mtobesya wakili msomi aliyewahenyesha mawakili wa serikali kwenye kesi ya Mbowe ?

    Huyu hapa Moto wake usipime !
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6

    Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu inaendelea kuunguruma kwenye Mahakama ya Uhujumu uchumi , Ambapo mvutano wa kisheria umekuwa mkali hasa baada ya Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Mbowe kuwa ya moto . Kesi imeahirishwa kwa muda ili kuiruhusu Mahakama kupitia...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hili, Bunge mmeliheshimisha Taifa

    Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa uhuru wa kujieleza kwa kila raia wake bila tashishwi ili mradi tu, uhuru huo hauingilii, kuvunja kutweza na kufanya dhalili haki ya watu wengine kutumia uhuru wao kama ulivyotolewa na katiba yetu. Ibara hiyo inatanabahisha wazi...
  18. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

    Gwiji la siasa za Mageuzi Nchini Tanzania Freeman Mbowe, ama Mtemi Isike, Laingwanan au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, sasa anatajwa kama ndiye mpigania haki, demokrasia na uhuru anayeheshimika zaidi barani Africa, wachunguzi wa siasa za dunia wanamuweka Mbowe juu...
  19. JamiiForums Tanzania Tunaposema Mbowe siyo gaidi, tunamaanisha hivi

    Kumekuwa na kundi moja la wananchi wanaoamini kuwa Mbowe amekamatwa kihalali kabisa Katika makosa anayotuhumiwa nayo ya ugaidi na ushahidi usio na shaka yoyote utatolewa mahakamani kuthibitisha tuhuma zake Kuna wale tusioamini kabisa kuwa Mbowe ni gaidi na tunaamini pia kuwa, mashitaka haya...
  20. JamiiForums Tanzania Baba yake Mbowe kusaidia kudai Uhuru sio defence ya Mbowe kutofanya uhalifu, tutumie busara kujenga hoja

    Mzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE katika HARAKATI zao za Kudai UHURU wa NCHI hii,Leo UTAWALA wa mama umempa kesi ya UGAIDI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…