mbowe

  1. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wenzake: Makomandoo 'wanaonewa'

    Jana nilikuwepo Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kuendelea kufuatilia kesi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Leo sikuweza kwenda kwakuwa ninatarajia kusafiri hivi punde. Nimemsikia na kumuona Luteni Denis Urio akitoa ushahidi wake. Nimemsikiliza kwa makini na kwa...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake Jan 27, 2022...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM imempa Mbowe nguvu isiyokuwa na mfano

    Wajuzi wa mambo wanaeema kwamba, kumuweka Mh. Freeman Mbowe ndani kwa kesi ya ughaidi, imemuongezea Nguvu kubwa mno kisiasa. Mbowe amepata nguvu kubwa mno na huruma kubwa mno kutoka kwa wananchi ambao wengi wao wanaamini kesi dhidi yake, ni kesi ya mchongo ambayo imeshabuma. Atakapotoka Jela...
  4. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

    IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 26/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. Kujua kesi ilipoishia soma: Yaliyojiri kesi ya Mbowe 24/01/2022: Shahidi wa 11, H4347 Goodluck amaliza ushahidi wake. Shahidi wa 12...
  6. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna uwezekano wa DPP Kufuta kesi ya Mbowe na wenzake Leo

    Kumekuwa na Tetesi toka vyanzo mbali mbali kuwa kesi ya Mbowe na Wenzake huenda ikafutwa leo. Kwa Mujibu waTwitter wa Reporter Mpambanaji ambaye amekuwa akireport kesi hii bila kuchoka toka awali Martin Maranja Masese amesema nanukuu " Leo kunaweza kuwa na Habari Njema wote tukasome Wagalatia...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mfululizo wa Kesi ya Ugaidi iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu

    Historia ya kesi ya Mbowe na Wenzake Freeman Akamatwa Mwanza 21Julai 2021 Mnamo tarehe 21 Julai mwaka 2021, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza lilimtia nguvuni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia, alipokuwa ameenda kwenye ziara za shughuli za chama chao...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CHADEMA hulipana posho za mamilioni kila wanapohudhuria kesi ya Mbowe?

    CHADEMA sasa ni kama haina uongozi, imekatwa kichwa, Mwenyekiti Yuko gerezani, Makamu anakula kuku ubeleji. Kuna taarifa kwamba viongozi hulipana posho za mamilioni Kila siku wanapohudhuria kesi ya Mbowe, kama taarifa hizi ni za kweli, basi Kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea. Nashauri...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe, nakushauri, DPP akiweka Nolle prosequi na ukaachiwa, fungua malicious prosecution ulipwe fidia

    Naona kama kuna Nolle prosequi inapigiwa chapuo ili Mbowe awe nje na kuachiliwa huru. Hii ni wazi kabisa kuwa atakuwa amekutwa bila hatia. Atakuwa amepata hasara za kiuchumi na hata heshima yake kuvunjika katika jamii maana ugaidi ni shitaka baya sana. Becket vs New southwales [2013]17
  10. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Barua ya ushauri: Freeman Mbowe omba msamaha ukajipange na maisha mengine

    KWAKO F.A MBOWE S.L.P GEREZANI Nianze kukupa pole na hongera gerezani siyo mahali salama na pazuri kwako. Nianzi kwa kusema .. Leo kuna kitu nimejifunza juu ya utatuzi wa migogoro hasa katika kipengele cha CONFLICT MANAGEMENT Ili uweze kuendelea na maisha ya furaha pasipo karaha muda...
  11. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Mzee Juma Duni Haji: Wanaotaka Mbowe aendelee kusota Mahabusu wako Ulaya

    Juma Duni Haji amesema akipata nafasi yoyote ya kumuwezesha Freeman Mbowe kutoka mahabusu na kuungana na familia yake, ataitumia bila kujali kama atatukanwa ama lah. Amesema serikali haijawahi kukiri kukosea, na wanaotaka aendelee kukaa mahabusu wako Ulaya wakila kuku na viyoyozi. Mzee wetu...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe 24/01/2022: Shahidi wa 11, H4347 Goodluck amaliza ushahidi wake. Shahidi wa 12 kuendelea tarehe 26/01/2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 24/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. Kujua kesi ilipoishia soma: Yaliyojiri katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake tarehe21/01/2021. Kesi imeahirishwa hadi 24/...
  13. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia anashikwa na "kigugumizi" gani kutoamuru Kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe ifutwe bila masharti yoyote?

    Ni dhahiri sasa kwa kila anayeifuatilia Kesi ya ugaidi ya kina Mbowe, ameshabaini kuwa hiyo Kesi ni ya michongo na mashahidi wanaoletwa hapo mahakamani pia ni wa michongo! Hivi unawatuhumu watu kwa ugaidi, halafu kila shahidi anayetoa ushahidi hapo mahakamani anaonekana kuwa amepangiwa ya...
  14. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake tarehe21/01/2021. Kesi imeahirishwa hadi 24/ 01/ 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 21/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. Kujua kesi ilipoishia soma: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake leo 20/01/2022. Shahidi 10 amaliza, shahidi wa 11 mwingine...
  15. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Eeh Mungu, Waadhibu vikali wote waliochonga kesi ya Mbowe

    Nilifanya Maombi kwa kupiga magoti na kufunga ili Mungu awaadhibu vikali wote waliodhamiliakumuuwa Mhe Tundu Lisu, ninaamini maombi yalipokelewa na yaliitikiwa kwa imani yangu. Huyu Mungu muumba wa ardhi na Mbingu, ndiye aliyeumba viumbe vyote na vyote viko chini ya himaya yake. Anatenda...
  16. Cathelin

    JamiiForums Tanzania Gerezani kuna nini maana Mbowe ananawiri kila kukicha

    Wanasema Jela ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu. Mfano Yusuph Manji, alikonda ndani ya Mwezi, Rugemalira ametoka yuko mnyonge sana, Sabaya sasa hivi amenyongonyea Sana. Lakini kwa Mweshimiwa Mbowe ni tofauti, anatabasamu, anafuraha na...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake leo 20/01/2022. Shahidi 10 amaliza, shahidi wa 11 mwingine kuanza ushahidi kesho 21/01/2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 20/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. Kujua kesi ilipoishia soma...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe Serikali iifute mara moja. Element ya "Beyond Reasonable Doubt Haipo"

    Katika kesi ja Jinai, ili mtuhumiwa apatikane na hatia, ni lazima apatikane na kosa "Pasipo Shaka" au kwa lugha nyingine, Beyond reasonable doubt. Hii ndio neno linalotumika kuthibitisha kwamba mtuhumiwa ahukumiwe kwenda Jela au Kufa! Kila ishara inaonyesha hii kesi haina merit to affirm a...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wana-CHADEMA mna chuki na Sabaya sababu alisimama kidete kumg'oa Mbowe Hai na kuifuta CHADEMA. Kwenye maisha lolote linaweza tokea msikariri

    Alichofanya ni kuwaambia watu wa Hai kuwa hawana Mbunge maana anashinda Dodoma akila bata. Watu wa hai wakampiga chini Mbowe. Sasa kuwa na kesi kama Armed robbery kwa aliyekuwa mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya mnaona kawaida? Tena kosa lenyewe analifanyia wilaya nyingine yenye mkuu wa...
  20. econonist

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Sabaya anataka kuzama na Mbowe

    Katika ushahidi wake leo, aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya ameendelea kudai kuwa Kuna watu walinipanga kuja kumuua. Ikumbukwe hata kesi iliyopita ya unyanganyi kwa kutumia silaha, Sabaya kwenye ushahidi wake alidai Kuna watu walipanga kumuua na amewahi kujificha na familia...
Back
Top Bottom