Ngonjera na mbwembwe nje ya mahakama haitamsaidia Mbowe kushinda kesi, tujitafakari makamanda. Tukumbuke majaji wana mamlaka makubwa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,172
4,584
Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.

Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.

Unateseka nini hao akina mama wakimtia moyo Mbowe? Wacha wampe nguvu, si unaona Mbowe alivyo na amani na furaha na amenenepa tu vizuri, huenda ni kutokana na kuona watu wako Pamoja naye wanamtakia heri!

Kama Nyimbo za kumtia moyo Hazina athari yoyote kwenye maamuzi ya Jaji juu ya kesi ya Mbowe, sioni tatizo Kwa wao kumtia moyo!

Kuhusu suala kushughulikia suala la Mbowe kisheria, hivi kwani huoni uwakilishi wa wanasheria wake mahakamani?

Si ndio hao wanashughulika na kesi yake kisheria?

Naona huna hoja!
 
Sijateseka natoa ushauri tu.
 
Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.

Majaji na mahakimu wa kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.

View attachment 2108362
Kweli wanawake wanakuja kukata mauno huko mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?
 
Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.

Majaji na mahakimu wa kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.

View attachment 2108362
Pumbaf kabisa wewe sukuma gang.

Mbwembwe hizo na kukata mauno mnafanya nyinyi kwenu koromitje.

Kwa taarifa yako mh Mbowe atatoka tu na kuwa huru kama walivyofanya kina mwl JK Nyerere na Nelson Mandela
 
Unateseka nini hao akina mama wakimtia moyo Mbowe? Wacha wampe nguvu, si unaona Mbowe alivyo na amani na furaha na amenenepa tu vizuri, huenda ni kutokana na kuona watu wako Pamoja naye wanamtakia heri!

Kama Nyimbo za kumtia moyo Hazina athari yoyote kwenye maamuzi ya Jaji juu ya kesi ya Mbowe, sioni tatizo Kwa wao kumtia moyo!

Kuhusu suala kushughulikia suala la Mbowe kisheria, hivi kwani huoni uwakilishi wa wanasheria wake mahakamani?

Si ndio hao wanashughulika na kesi yake kisheria?

Naona huna hoja!
Hilo ni danga tu la kisiasa baada ya kufukuzwa cdm likakimbilia ccm na huko limekosa wa kuliunga mkono hata kwa uteuzi
 
Uko sahihi sana mkuu,

.. jamaa anateseka sana akimuona Mh Mbowe akiwa ktk hali ile ya ubashasha na furaha tele.

....nadhan jamaa angeshauriwa kuingii club house ya live mahakaman akayajua na kujifunza mengi juu ya hii kesi.
Unateseka nini hao akina mama wakimtia moyo Mbowe? Wacha wampe nguvu, si unaona Mbowe alivyo na amani na furaha na amenenepa tu vizuri, huenda ni kutokana na kuona watu wako Pamoja naye wanamtakia heri!

Kama Nyimbo za kumtia moyo Hazina athari yoyote kwenye maamuzi ya Jaji juu ya kesi ya Mbowe, sioni tatizo Kwa wao kumtia moyo!

Kuhusu suala kushughulikia suala la Mbowe kisheria, hivi kwani huoni uwakilishi wa wanasheria wake mahakamani?

Si ndio hao wanashughulika na kesi yake kisheria?

Naona huna hoja!
 
Tanzania ina vijana mafala wengi Sana akiwemo huyu lofa aliyepost mada hii.
Mbowe ni mwenyekiti WA chama cha siasa hata iweje wanachama lazima wajae mahakamani kwajili ya kumtia moyo,tatizo lako kichwani kimejaa ujinga unawaza upumbavu Tu WA kumfunga mbowe Jambo ambalo halitakuja kufanyika kama unasubiri kifungo utatachelewa kufanya yako
 
Kheri ya fala anayejitegemea kuliko wewe kibwetele unayetumia akili ya Gaidi Mbowe
 
Naona kama mtoa post alikuja kwa wema ila mmeamua kumkasirikia tu.Du nimejifeel bad.Ni kama hakuwa na lengo baya wakuu
 
Back
Top Bottom