mbowe

  1. zitto junior

    JamiiForums Tanzania John Heche anastahili kuvaa viatu vya Freeman Mbowe

    Nimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na misimamo isiyoyumba Alipokuwa mwenyekiti BAVICHA ndipo tulishuhudia taasisi imara ya vijana iliyozaa...
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Sio kawaida ya Mbowe, CHADEMA tupeni Ukweli

    Huyu mwamba Yuko wapi? Ikulu haendi tena. Ndege imeanguka mwamba Yuko kimya, sio kawaida yake. Mama katoa kauli tata Arusha, mwamba katulia tu. Katiba inasusua mwamba katulia. Hamna maandamano. Hii sio kawaida ya mwamba kukaa underground muda mrefu kiasi hiki. Kama anaumwa tupeni taarifa ndg...
  3. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea kama Freeman Mbowe ana ubinadamu kiasi hiki!

    Heshima kwenu wakuu, Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee. Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe mishale mingi lakini hachoki, hapoi. Je ana mrithi?

    Mbowe ni mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo amedumu madarakani kwa muda mrefu akijaribu kumfukuzia Baba wa Taifa kwa muda ambao aliiongoza TANU hatimaye CCM tangu uhuru hadi alipoamua kung'atuka kwa hiyari yake. Ingawa tuampiga mishale mingi bwana Mbowe...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje CHADEMA mwakani Mbowe aking'atuka uenyekiti? Nani anafaa kumpokea kijiti?

    Bwana Freeman Mbowe alitangaza kuwa ataachia uenyekiti wa chama baada ya kukitumikia kwenye nafasi hiyo kwa miaka mingi. Unafikiri ni nani anastahili kumpokea kijiti huyu mwamba?
  6. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haina legitimacy ya kuokosoa Serikali hata kama kuna mapungufu ya kukabiliana na majanga. Kama Mbowe alitafuna bil 10 za chama. Hamfai kabisa

    Kama unadhambi ya ubadhirofu wa pesa za umma ambazo kama Chadema wasingelipwa ruzuku na kuzitafuna taifa lingenunua vifaa vya uokozi. Mlitafuna kama njugu pesa za umma. Nyie mna mikono gani mosafi kuilosoa serikali? Aliyemsafi ndio akosoe. Those with clean hands must come to Equity
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

    Nini kinaendelea? Hili ni swali linalogonga vichwa vya Watanzania wengi wenye shauku ya kujua majadiliano baina ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yatahitimishwa lini. Jana vigogo wa vyama hivyo wasiozidi 15 walijifungia kwa saa nne katika...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni zaidi ya msaliti na laghai wa kisiasa. Mimi nilitarajia awe Ngangari kama Lipumba wa CUF

    Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni? Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro. Daudi Mwangosi? Kisa tu asali za kuzaliti mapambano.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Haki Itendeke; Hili la Mbowe TCRA wafungieni gazeti la Mwananchi kama mlivyofanya kwa Kwanza TV

    Kwanza tv ya maria sarungi iliandika Gwajima apata ajali, ikala rungu la TCRA , soma sababu zake na uniambie kwa nini mwananchi wasile rungu kwa jinsi walivyoandika habari ya mbowe kushinda huko ccm HAKI ITENDEKE, ACHENI DOUBLE STANDARD kilichofanya kwanza tv ikala rungu hiki hapa, bwana Joseph...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA wengi hatupendi namna Mbowe alivyolamba asali ila hatuna namna maana hatuna maamuzi

    Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora. Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini. Mbowe amecollude na...
  11. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Profesa Kapuya na Mbowe jioni moja pale Bungeni

    Ila Mbowe amepitia mengi sana! Jioni moja pale Bungeni kwenye Ukumbi almaarufu sasa wa Msekwa uliibuka ugomvi wa maneno ya kejeli baina ya Waziri wa Elimu na Utamaduni kipindi hicho bwana Kapuya na bwana Mbowe uliopelekea wakubwa wale nusra wazichape. Kisanga kilianza pale Mbowe mchango wake...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chadema: Wabunge 19 wa viti maalumu waondolewe Bungeni kabla ya mwezi Novemba, 2022

    Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022 Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa kufuta sheria mpya ya tozo ambayo imekuwa mzigo mkubwa kwa watanzania. Serikali ije na mpango madhubuti...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mbowe na genge lako mliomchukia hayati Magufuli, mtaanza kwenda kula krismasi mkipita juu ya daraja la wami ambalo mlidai ni megastructure ovyo

    Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote. Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai. Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/h
  14. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Jifunzeni Siasa za Freeman Mbowe; Anachofanya Maria Sarungi ni ukosefu wa heshima kwa Mamlaka halali

    Maria Sarungi, Mwanaharakati na Mwanachama hai wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekuwa akiendesha kampeni za kutukana na kudhalilisha Viongozi/Mamlaka halali kwenye mitandao ya kijamii kwa mgongo wa kudai katiba mpya. Sio tatizo kudai anachokiamini, tatizo ni namna anavyoendesha hizo...
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dunia haimpatii Mbowe heshima yake?

    Juzi nilikuwa nafuatilia mjadala wa demokrasia ndani ya Al Jazeera, majina kadha wa kadha ya miamba ya upinzani yalikuwa yanatajwa cha ajabu hamna hata mara moja jina la Mbowe lilitajwa hata kwa bahati mbaya. Utasikia Chagulanyi, Miguna, Ingabire Victore, Odinga, Malema nk. Sidhani kama dunia...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Panya road wavamia nyumba 24, wanne wajeruhiwa

    Wakazi wa mtaa wa Kabaga Kinyerezi yamewakuta. Ilikuwa ana kwa ana na panya road usiku wa manane. Kwa takribani masaa 2 ikivunjwa nyumba moja baada ya nyingine. Wakazi hao macho pima walikuwa wakichungulia madirishani, wakiwa wameufyata vilivyo mmoja baada mwingine akisubiria zamu yake...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: James Mbatia yupo makini kuliko Mbowe

  18. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Concidence? Reporter wa Mbowe na serikali ni mmoja!

    Yote yalianzia jana Mbowe alipoongea kwenye eneo lisilojulikana lakini kilichonistaajabisha ni kwamba yule aliyeleta habari za Mbowe ndiyo yule yule ambaye huleta habari za Rais Samia na serikali kwa ujumla. Je, hii imetokea tu? Nijuavyo mimi kwenye siasa na watu fake mambo hayatokei tu.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anatutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga?

    Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushtuka Sana video inayomuonesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania. Ndugu...
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbowe tunamlaumu kwa sababu ipi hasa?

    Unakuta nalalama eti Mbowe kawa kimya kisa kalambishwa asali na watawala. Unakuta namlaumu Mbowe eti ooh, katishwa kidogo tu ameufyata! Ooh, Mbowe ni TISS kuipinga serikali ni gheresha tu! Kwangu mimi malalamiko yote hapo juu nimebaini hayana mashiko na ya kipuuzi hakika! Hivi Mbowe huyo...
Back
Top Bottom