Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,488
- 2,762
Heshima kwenu wakuu,
Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.
Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.
Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.
Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.