Halafu ukiitwa taahira utasema umetukanwa kumbe ni wasifu wako. Ungeweka na picha ya Mbowe kidogo ingeleta sense.
Asali inaweza kukunyamazisha tu wakati unailamba, asali ni tamu, ukilamba sana inakereketa lazima ukohoe. Tozo! Tozo! Koh! Koh!ameleshwa
Umakini wa kuvaa suti sale na pm?