Itakuwaje CHADEMA mwakani Mbowe aking'atuka uenyekiti? Nani anafaa kumpokea kijiti?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,232
12,733
Bwana Freeman Mbowe alitangaza kuwa ataachia uenyekiti wa chama baada ya kukitumikia kwenye nafasi hiyo kwa miaka mingi. Unafikiri ni nani anastahili kumpokea kijiti huyu mwamba?
 
Bwana Freeman Mbowe alitangaza kuwa ataachia uenyekiti wa chama baada ya kukitumikia kwenye nafasi hiyo kwa miaka mingi. Unafikiri no nani anastahili kumpokea kijiti huyu mwamba?
Nafikiri hili swali najiuliza sana kula uchwa! Hilda Newton au kenani kihongosi wanasitahili
 
Chadema kwa sasa inahitaji iongozwe na mtu mwenye maono kama Halima mdee. Mwenyekiti asitoke katika genge la hawa wachumia tumbo wa sasa.
 
Bwana Freeman Mbowe alitangaza kuwa ataachia uenyekiti wa chama baada ya kukitumikia kwenye nafasi hiyo kwa miaka mingi. Unafikiri ni nani anastahili kumpokea kijiti huyu mwamba?
Jamaa akiachia basi chawa wengi humu watakufa na njaa, na wengi wao hatutowaona tena hapa JF kwani zile data wanazotumiwa sasa na mwenyekiti watazikosa.
 
Bwana Freeman Mbowe alitangaza kuwa ataachia uenyekiti wa chama baada ya kukitumikia kwenye nafasi hiyo kwa miaka mingi. Unafikiri ni nani anastahili kumpokea kijiti huyu mwamba?
Mh Freeman Aikael MBOWE akifanikiwa kukipa CDM Dola, ataruhusiwa kukabidhi chama Kwa mwingine.

CCM hufanya hivyo hivyo.

Ameeeen.
 
Back
Top Bottom