Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa haukuwa wa Hayati John Magufuli pekee, bali na uongozi wa chama chake- Chama cha Mapinduzi (CCM).
Mbowe ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 22, 2023 katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
Wamesikika chawa wa Mama wakijinasibu na tafsiri zao kuhusiana na alichosema Mbowe Mwanza.
Kwamba Mbowe kalazimika kusema kushughulika na CCM ni kama hivi:
Na bado chawa wa Mama wanakenua?
Wanaelewa uzito wa kauli kama hii ukizingatia Mbowe ni mtu mzima mwenye familia yake?
Si kuwa kauli...
Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta.
Wananchi wameona, wanaona. Mbowe wa jana siyo Mbowe wa leo ....ona, ona, ni kweli alipata maumivu. Wananchi, wana...
Huwezi kutoa kauli kama hii kisa tu ulitia pesa zako kujenga chama. Unatamka hadharani kuwa ulishaumia sana. Ina maana sasa unafanya michongo ya kurudisha pesa zako?
N.b Ndio maana makamanda wapo kimya hata kama bil 10z ilipigwa maana wanajua mkuu wetu anapiga na faida.
Mbowe ana takribani miaka 60,
Ni age mate wa Hayati Magufuli, japo mmoja anaonekana kijana kuliko mwenzake,
Kwa umri wake na harakati zake za kisiasa hawezi kurudi darasani tena.
Na ikumbukwe yeye ni form six leaver ila ana akili na maarifa mengi kuliko maprofesa wengi tu waliojiingiza kwenye...
Hongera Mbowe umeshinda mchezo wa kisiasa.
Kwa masaa 24 nimekuwa nikierejea Hotuba ya Mh Mbowe ya jana pale Mwanza na nimekuwa nikisikiliza mapokeo ya watu nje na ndani ya Chama katika mitazamo tofautitofauti, Wengi tumeelewa na tulitarajia hotuba kama hii, lakini wapo ambao hawajang'amua hasa...
Sijui imekaaje hii kisiasa mimi sio mwanasiasa ila naamini nguvu yoyote bila legitimacy ya umma haiwezekani.
Mbowe alikuwa akimwaga sifa kwa Mama Samia uku akiiponda serikali ya Magufuli.
Maoni yake yamewakera sana wananchi na wameonesha hisia zao kupitia kurasa ya Instagram ya jamiiforums...
Wabongo ni taifa la wapumbavu
Leo hii Mbowe alianza kutumia pesa za baba yake kujenga chama miaka ya 2000 leo ndiye anaitwa mlamba asali?
Mbowe mwaka 2005 alikodi helicopter kuzunguka nchi mzima wakati chama hakina hata ruzuku leo watu wanasema kalamba asali?
Aisee Mbowe kavunjiwa club yake...
Mbowe ameweza kupambana na watu wengi wa mfumo chinichini Bila kuonyesha adharani mashinikizo yake. Waliobomoa Mashamba yake huko Hai wote wameondolewa kwenye mfumo, viongozi waandaminizi waliokuwepo wakati ananyanyasika nao wametupwa nje Kwa fedhea. Walioitwa viongozi WA dola waliamini mfumo...
Wasalaam.
Leo ilikuwa ni Ufunguzi wa Mikutano ya Hadhara kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), iliyofanyika uwanja wa Furahisha mkoani Mwanza.
Pamoja na mengine mengi, hotuba ya Mwenyekiti wa Chama, Mh Freeman Aikaeli Mbowe imebeba dira na mwelekeo wa Chama hicho.
Katika hotuba...
Nahisi Mwenyekiti Mbowe amelewa, hii sio sauti yake ya kawaida. Ametumia mkutano huu kujisafisha kuhusu kulamba asali.
Japo Rais Samia Suluhu anafanya vziuri lakini ametumia muda mrefu sana kumsifia.
Is MBOWE OKAY?
Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza.
Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoani Kilimanjaro limeikatia umeme hoteli ya Aish hotel inayomilikiwa na Mbunge wa Hai (CHADEMA), Freeman Mbowe kwa madai kuwa wamebaini inatumia umeme wa wizi na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi milioni 10.8.
Akiungumza, Meneja wa Tanesco Mkoa wa...
Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu...
Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo...
~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi.
~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola.
~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde.
Hufai kuwa kiongozi.
Freeman Mbowe ni matunda ya harakati za mapambano dhidi ya dhuluma, uonevu na ukoloni. Amerithi hulka ya mapambano ya kudai haki za wananchi wenzake kwa baba yake Aikaeli Mbowe aliyekuwa mwana Afrika shupavu na mpigania uhuru hodari. Freeman (Uhuru) alizaliwa katika miaka ile ambapo watanganyika...
Kuna watu wa Chadema ndaki ndaki wanaoenda kupinga kila kitu kiasi cha kumpiga madongo mwenyekiti wao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza Mbowe lakini vilevile hawawezi kupongeza Rais hata kama kafanya mazuri.
Lakini kuna kundi la CCM nalo ni kama Chadema...
Kawaida, maamuzi ya chama lazima yaheshimiwe.
Lakini Martin Maranja Masese ameunda kundi la kumpinga Mbowe.
Nashauri Mbowe amuonyeshe Martin Maranja Masese kilichomtoa kanga manyoya. Baada ya hapo, amalize na Mdude
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.