mbowe

  1. chiembe

    Ester Bulaya: Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame

    Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa. Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
  2. Kyambamasimbi

    Mhe Freeman Mbowe atunukiwe PhD in political torelance and brotherhood.

    Mhe Freeman Mbowe atunukiwe PhD in political torelance and brotherhood. Habari wanajf, kabla ya kufunga Mwaka hayo ndio maoni yangu.....
  3. Wakili wa shetani

    Freeman Mbowe alisema kuwa mwaka 2023 anang'atuka. Mbona kimya?

    Niliwahi andika hili. Naomba niandike tean. Mheshimiwa huyu anatimiza ahadi yake lini? Pamoja na kwamba aliahidi mwenyewe hata hivyo upinzani unahitaji nguvu na mawazo ya mwenyekiti mwingine. Bahati nzuri akawa ameona hilo yeye mwenyewe na kuahidi kung'atuka mwaka huu 2023. Sasa anang'atuka...
  4. Kamanda Asiyechoka

    2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

    Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi. Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli. Chama kinatakiwa kije kukamata dola. Siasa siasa za kibiashara tu.
  5. Erythrocyte

    CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang, ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali, hata kama siyo kwa 100% Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI...
  6. Kamanda Asiyechoka

    Makamanda wenzangu, Mbowe hajafurahiswa na hukumu ya jaji Mkeha. Anachowaza ni ruzuku tu. Pia nyuma ya pazia ana jambo..

    Ill will ya mtu huonekana kwa vitendo tu. Tokea hawa Covid 19 wawekwe Bungeni kwa nguvu na Ndugai. Mbowe anaonekana kufurahia jambo Ndio maana hata hukumu ya jana kimtindo hajaifurahia. Mimi nimeona demeanor yake. Anachowza ni ruzuku tu.
  7. B

    Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

    Mada kama hizi huelekezwa kwenye vile vyama vyenye ule wito mtakatifu wa ukombozi. "Ikiwapendeza waheshimiwa, waungwana kabisa:" Falsafa ya chama ni jambo la msingi zaidi katika chama chochote. Falsafa hutoa utambulisho halisi wa chama. Ikaweza kutofautisha baina ya vyama. Ikazaa imani za...
  8. Chachu Ombara

    CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  9. Erythrocyte

    Freeman Mbowe na Tundu Lissu washiriki ibada ya Mazishi ya Askofu Kweka

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Viongozi wakuu wa CHADEMA, Tundu Lissu na Freeman Mbowe leo 06/12/2023 Wamebahatika kuwa miongoni mwa watu waliohudhuria Ibada ya mazishi ya Askofu Kweka . Akizungumza kwa Taabu kwenye ibada hiyo kutokana na kujawa na Majonzi makubwa, Freeman Mbowe amemtaja...
  10. Chachu Ombara

    Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

    "Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja...
  11. MamaSamia2025

    Soma alichokiandika Freeman Mbowe kisha utoe maoni yako.

    Binafsi ninamuunga mkono 100%. Serikali iwezeshe kwanza hii biashara ikue ndo ianze kukusanya kodi. Mwigulu na wenzako mjitathmini. Mbowe kaandika hivi: Kwa mtu aliyejielimisha kuhusu mabadiliko ya nne ya viwanda duniani, ataelewa kuwa Tanzania mabadiliko haya yanaanza na biashara ndogo...
  12. J

    Mbowe: Tozo ya Matangazo kwenye Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri

    Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri. Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma. Jumaa...
  13. R

    Lissu: Mimi na Mbowe ni watu wawili tofauti, lazima tuwe na mitazamo tofauti ya maoni na ndiyo afya ya chama cha siasa. Hatujawahi gombana hata kidogo

    Anasema chama cha siasa kisichokukwa na majadiliano ni chama mfu. Lissu anasema yeye na Mbowe ni watu wawili tofauti ambao wanaweza na iko hivyo kuwa na mtazamo tofauti juu ya kitu kimoja. Na hiyo ndiyo AFYA/UHAI ya chama cha sisasa. Anasema haijawahi kutokea kusuguana /kuzozanana Mbowe My...
  14. F

    Tunataka watu ambao tayari walishatajirika kama Mbowe wawe marais wetu kwani wanaujua uchumi na hawatatuibia

    Tanzania tofauti na nchi nyingi tunachagua marais maskini ambao hawajui hata kufuga kuku. Hawa watu wakiingia madarakani ndio huanza kuuza twiga, tembo na misitu yetu pamoja na kuingia mikataba mibovu na wageni ili wajipatie chochote. Lakini watu walioingia siasa tayari wakiwa matajiri kama...
Back
Top Bottom