Wengi ni wakereketwa wa CHADEMA, chama makini, lakini pia wengi wanamkubali Freeman Mbowe kama mwanasiasa mahiri.
Kama Mbowe atakwenda CHAUMMA wengi wetu itatubidi tuwe wanachama wa CHAUDEMA ili tufaidi vyote.
Habari wanaukumbi!
kujiondoa kwa CHADEMA uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 ni dhahiri shahiri ni pigo kwa taifa, hivyo basi lazima kupatikane jukwaa mbadala la kuandaa viongozi wa taifa hili kwa siku za mbeleni, mtu sahihi wa kufanya hivyo ni FAM, Sisi sote ni mashahidi katika uongozi wake...
Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufunga mjadala.
Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya muda mrefu sana.
Mwenyekiti huyu mstaafu wa CHADEMA kahusishwa mara nyingi sana na CHAUMMA, chama...
Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani Tanzania kaongea tena. Ni mwaka wa bilionea Hashim Rungwe, atamba na kusema yuko tayari kumuachia Mbowe uenyekiti wa chama. Piga picha mabilionea wawili wakae mahala pamoja! Watu waliooukwaa ubilionea tangu senti hamsini iko kwenye mzunguko wa fedha Tanzania...
Muda umefika wa kuongea bila kupepesa macho, bila kupaka mafuta kwenye sufuria chafu. CHAUMA sasa inageuka kuwa jalala la kisiasa, bandari ya masaliti, sehemu ya watu waliotimuliwa kwa sababu ya tamaa zao binafsi na sasa wanakimbilia huko kama paka waliomwagiwa maji moto. Sasa, nasikia eti...
Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!.
Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.
Sote tunaona yanayoendelea ndani ya CHADEMA ya leo. Uchaguzi ndani ya chama umezaa kizaazaa baada ya madalali wa kisiasa nchini kupigwa chini.
Takriban miaka 12 iliyopita, wakati huo Kijana Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba walipanga mkakati wa kumng'oa Freeman Mbowe, hoja yao kuu...
Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?
Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.
Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.
Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.
Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.
Sasa...
Mbowe namkubali Sana kwa hizi sifa mbili
1. Mbowe alikuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kujua potential za WATU na kuziibua .
2. Alikuwa na uwezo wa kukubalika kwa watu wenye upeo wa juu great thinkers na wasomi .
Ila udhaifu ambao nimeuona kwake ni ile kukumbatia falsafa ya kiswahili...
Mbowe amemaanisha yupo serious kwenye vita yake na Chadema, kuwapora wanachama na viongozi kadhaa, kuifungulia kesi kwa msajili was vyama na kuna kesi nyingine pia imefunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wake upande wa Zanzibar
Je Mbowe atatumia mbinu gani (akisaidiwa na dola) kuipora...
Salaam!
Kwa wajuvi wa kuunga dots, hebu tujaribu kuchakata jambo hili.
Mlinzi wa Mh Mbowe SI mwanasiasa, ni komandoo mstaafu,
Sasa mkubwa akitaka kufanya ziara Magu kwa mfano, nani hutangulia mbele kabla kuweka mambo sawa?
Sasa kupokelewa kwa mlinzi wa Mh Mbowe,CHAUMMA kuna move gani yaja...
Bado nipo dilemma kuelewa mchezo mzima wa siasa za CDM mara baada ya uchaguzi.
Sitaki kuamini kwamba kiongozi eti kapumzika kutokana na pirikapirika za siasa kwa miaka 20+ iliyopita, hivyo kaamua kutandika akili na kujihusisha na siasa za CDM.
Ikiwa ni mtu aliyeaminiwa na waazilishi wa hicho...
Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No...
Wakuu,
Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu?
Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini...
Nimemsikiliza kwa kina BONI YAI hoja zake ni za msingi sana na kwa kweli zimetufungua macho ila nilikuwa naomba Mbowe atoe kauli na kuwashauri walioondoka warejee Chadema. Awepo Lissu na Heche Mzee kwa heshima aliyebaki ndani ya chadema pamoja na wengine ni Mbowe. Huyu siyo wa kuondoka Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.